mbowe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo, iwe ni Marufuku kwa CHADEMA /Wanaharakati kumzungumzia Mbowe, kumzungumzia ni kumfanya aonekane ana umuhimu

    Mkimuona Mbowe popote pale, awe kwenye Mradi wa Serikali, awe añaupiga picha na Samia, Awe kwenye chombo chochote cha habari, MPUUZENI, MSIMUONGELEE KWA NAMNA YOYOTE ILE. Hana jipya, keshajifia kisiasa. Kauli ya Leo ya Mh Lissu , Mandela wetu, imemzika Rasimi Mbowe, Hana Tena msaada wowote...
  3. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maridhiano wanayomaanisha CCM ni yale ya Mbowe na Samia

    1. Kwanza kutumika na CCM kupoteza watu wenye maono wanaochipukia ndani ya chama. Yani Mbowe alimtoa kafara Ben saanane yeye anajua, Mungu anajua na Atalipia yeye na kizazi chake. Hasa watoto wake. 2. Kukaa kimya kuchaguliwa cha kusema na kufanya. Sasa wanampeleka wanavyotaka. 3. Kupambana na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: Nimesikia Mbowe yuko kwenye uzinduzi wa bwawa, wakati Mwenyekiti wake yuko Ukonga

    Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu inaendelea Jumatatu Agosti 24 ambapo mshtakiwa anajitetea mbele ya mahakama. Lissu: Ukiangalia miaka kabla ya 2020 tume imekuwa ikifanya hivyo. Lakini 2020 kuna matokeo ya urais hayakuchapishwa. Sina uhakika kama ya mwaka jana...
  5. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Lissu na Mbowe ni washirika ama ni mahasimu wa kisiasa?

    Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu. Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa? Mbowe...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mbowe ametupa somo kuacha siasa za kijinga

    Kushiriki kwa Freeman Mbowe katika ufunguzi wa bwawa la maji la Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) ni tukio lenye ujumbe mpana kwa Watanzania, linatuonyesha kuwa masuala ya maendeleo ya taifa yanaweza kuwaunganisha watu wenye mitazamo tofauti ya kisiasa. Tukio hilo linatukumbusha...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Niwaombe radhi niliowabishia kwamba Chadema ni SACCOS ya Mbowe

    Niombe mpokee radhi yangu. Katika harakati zake kumbe kuna watu waliujua mchezo wa Mbowe kuwauza wanachama. Siwezi kubisha tena kwamba Mbowe alimuuzia ugombea urais Lowasa. Siwezi kubisha tena kwamba kuwapa vyeo vikubwa kina Dr.Mashinji na Katambi haikuwa bahati mbaya. Sote tunaona Mbowe...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kudumu ndani ya chama ni mambo ya CCM, ndio athari za kina JK. CHADEMA tujisahihishe, tubadili katiba yetu, tumnyopoe Mbowe Kamati Kuu.

    WE WANT A CLEAN BREAK WITH THE PAST Haya sasa, tumekwama naye maisha. Kwa aliyofanya jana huwezi kusema ignore the traitor. Huwezi kumu ignore. Ni kiongozi wa kudumu ndani ya chama kwa mujibu wa katiba. Na kwa sababu tumempa hadhi kubwa ya kiongozi wa maisha, kila atakalosema na kulifanya...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Ukomavu wa Kisiasa wa Freeman Mbowe ni wa kupongezwa

    Ukirejea falsafa ya 4 R na nia ya dhati ya Mhe. Samia Suluhu Hassan ya maridhiano leo tena tunamuona Freeman Mbowe akiwakilisha ukomavu mkubwa wa kisiasa na kuwapa funzo vijana wake wote aliowaibua kutoka vyuo vikuu kuwa siasa za upinzani sio ushindani usio na tija bali ni hoja mbadala...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe uliwauza watoto wa watu kumbe ulikuwa mchumia tumbo. REST IN PEACE BEN SAANANE

    Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO. WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you. Warudishe watoto wa watu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Juma Duni Vs Mbowe: Wote wenyeviti wastaafu

    Wote wenyeviti wa wastaafu vyama vyenye nguvu kwa kila upande. Zanzibar vs Tanzania Bara. Juma Duni bado tunamuona yupo kimkakati na ACT WAZALENDO, anaongea kauli za ACT za mwenyekiti wake, yupo karibu na nwenyekiti wake. Jee MBOWE bado pamoja na chadema? Kama yupo mbona hatumuoni kuhusu swala...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kigaila waipongeza Serikali kwa kutimiza ndoto ya Watanzania

    Mbowe: "Vilevile nawapongeza TANESCO kwa upande wao na Wizara wamefanya kazi kubwa kusimamia jambo hili na kutimiza ndoto ya Watanzania kupata umeme wa uhakika. Megawati 2,115 kwa wakati mmoja so sio jambo la kitoto, ni jambo kubwa sana. Hasa inapokuwa kwamba fedha hizo zinatokana na kodi za...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CHADEMA sasa wamethibitisha kuwa Mbowe ni msaliti wa mapambano ya haki

    Kitendo cha Mbowe kuonekana pamoja na wauaji kwangu mimi nimekifurahia sana kwa sababu zifuatazo 1. Wanachama wa CHADEMA sasa wamethibitisha kuwa Mbowe ni msaliti wa mapambano ya haki na hayuko na CHADEMA. Bali yuko na CCM. 2. CHADEMA watakuja na mikakati ya kumdhibiti katika baraza kuu kwa...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

    Kuonekana kwa Freeman Mbowe hadharani leo katika uzinduzi wa Serikali wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, ambao wanaona hatua hiyo kama usaliti kwa mapambano ya sasa ya chama hicho. Wafuasi wengi wa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmemuona Freeman Mbowe kwenye ‘suti sare’ na Mawaziri wa CCM?

    Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
  16. L

    JamiiForums Tanzania God bless Lema Amekuwa na Adabu na Kucha Uropokaji. Anajutia Kumuunga Mkono Lissu na Kumsaliti Mbowe Aliyemlea na Kumkuza Kisiasa

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu kinamtesa na kitamtafuna Lema Maisha yake yote basi ni kitendo cha Kumsaliti na kumchafua Mheshimiwa Mbowe mtu ambaye amemkuza,kumpa nafasi na kumlea kisiasa mpaka kumpa umaarufu halafu mwisho wa siku akamsaliti na kumdhalilisha hadharani. Kosa hili...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania CCM hatukutaka kabisa Lissu na Heche wawe wenyeviti. Hawa jamaa hawafai wataiua CHADEMA. Tunaona pengo la Mbowe.

    Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali. Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Heche anajua namzidi akili, kwahiyo siwezi kumuiga uongozi kutoka kwake

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya watu wanapohamasishwa kuandamana huwa tayari wamejiandaa kuondoka nchini endapo hali itabadilika. Katambi amesema baadhi yao hubeba pasipoti zao mfukoni na mara maandamano yanapoanza, hutumia usafiri wa pikipiki (boda boda)...
  19. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mnyika aomba DPP afute mashtaka ya uhaini dhidi ya Tundu kama alivyomfutia Mbowe

    Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa. Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Naona Paul Chacha kachangikiwa maana mateso waliofanyiwa akina Mbowe ni Makalii mno

    Ona huu unyama hao wapinzani waliopitia 1. Maalim seif alinyang'anywa uraisi na zecha .aliteswa sana na CCM machafuko ya 2001 2. Lipumba alipigwa hadi kuvunjwa mkono huko zanzibar 2001 na mhanga wa mauji hayo.na juzi kafanyiwa fitina akaporwa uenyekiti. 4.Dr slaa alipigwa na kuvunjwa mkono...
Back
Top Bottom