Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
"Unajua huyu kuna kipindi aliteleza, Huyu Kitila Mkumbo alikuwa mwenyekiti wa vijana UVCCM mkoa wa Singida, sijui Mbowe alikuja kudanganya nini yule pale, kwahiyo anayo fanya haya ni ya ki-CCM, anakumbuka kule alikotokea. Na hio siri nimeitoa ili watu wajue kwamba uliteleza kidogo lakini umerudi...
Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
Wote ni wachumia tumbo,
Wote Ni matapeli,
Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo,
Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na magenge yote ambayo baada ya maslahi yao kuguswa ndio waliibuka kujifanya watetezi wa wananchi...
Kila ninavyojaribu kutathimini na kufanya hisabati zangu za siasa naona similarities nyingi sana.
Kubwa kabisa ni kitu kilikuwa kinaitwa Kamati ndogo ya Kamati Kuu (Decision Making group) na Chadema ni Msingi (Network formation). Wanachama wengine na viongozi walibakia kuwa watekelezaji na...
Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa...
Huyu jamaa kaijenga CHADEMA kwa maarifa makubwa sana.Busara,hekima na karama ya uongozi zilimbeba sana.Alifanya siasa siyo uharakati.
Sijawahi kumsikia akitukana ,kutumia lugha chafu au kudhalilisha wengine.Nasikitika kuona chadema ikiangamia kwa kukosa maarifa.Hotuba ya mama leo imebamba
Na kwamba uongozi ni kuonesha njia na sio kuwachochea chuki na fujo wanachama dhidi ya wenye maoni tofauti na yao, uongozi sio kukiuka sheria kwa kuropoka, kuwatapeliwa wanachama pesa zao au kuwarubuni na kuwalaghai wanachama wanaowaongoza uhuru na haki zao za kikatiba kama vile kushiriki...
Kama ulikuwa hujui kuwa FREEMAN MBOWE jina lake alipewa na MWALIMU NYERERE, basi wacha nikufahamishe.
Watu wengi hudhani kuwa familia ya MBOWE na ile ya MWALIMU NYERERE ni maadui kwa sababu FREEMAN MBOWE ni mpinzani wa kisiasa.
Hili si kweli. Ukweli ni kwamba familia hizi mbili ni marafiki wa...
Nimevutiwa sana na mahojiano ya EATV na mbunge mstaafu wa Kilwa kusini, ndugu Suleiman Abdallah, almaarufu Bwege ya tarehe June 9, 2025.
Mahojiano hayo yaliyohusu mambo mengi ikiwemo, hali yake kiafya, vyama vya siasa na madai ya reforms kuelekea uchaguzi mkuu October 2025, nafasi ya ndugu...
Heshima sana wanajamvi.
Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana.
Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana.
Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na...
Wale wote waliojiunga CHAUMMA nafikiri sasa wanajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kukurupuka.
Mbowe umetumia akili nzuri sana kutest zari kwanza nafikiri umeona jinsi ambavyo ungeaibika kama ungejitokeza CHAUMMA.
NO REFORMS NO ELECTION!!!
Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini.
Je ameamua kutudhira watanzania?
Ni kama alivyofanya Trump
Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti wa Chadema kama ataona Chama kinayumba kwa huu uongozi wa Sasa. Katiba inamruhusu
Mkutano mkuu wa Chadema umeazimia Uchaguzi mkuu ujao ufanyike mwaka 2028 Ili kukwepesha Uchaguzi kufanyika miaka ya Uchaguzi wa Serikali za...
Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo imara. Yule ni mtu ambaye amepitia mengi – kifungo, mateso, siasa za vurugu – lakini hajawahi...
Salut wanaJF!
Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao.
Je Mwamba anasubiri...
Chadema wamemaliza ziara Mkoa wa Kilimanjaro. Ajabu ni kwamba wamepita Wilaya zote isipokuwa Wilaya ya Hai.
Hakika wanamuogopa Mbowe, wanawaogopa wana Hai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.