Mbowe:
"Vilevile nawapongeza TANESCO kwa upande wao na Wizara wamefanya kazi kubwa kusimamia jambo hili na kutimiza ndoto ya Watanzania kupata umeme wa uhakika. Megawati 2,115 kwa wakati mmoja so sio jambo la kitoto, ni jambo kubwa sana. Hasa inapokuwa kwamba fedha hizo zinatokana na kodi za...
Kitendo cha Mbowe kuonekana pamoja na wauaji kwangu mimi nimekifurahia sana kwa sababu zifuatazo
1. Wanachama wa CHADEMA sasa wamethibitisha kuwa Mbowe ni msaliti wa mapambano ya haki na hayuko na CHADEMA. Bali yuko na CCM.
2. CHADEMA watakuja na mikakati ya kumdhibiti katika baraza kuu kwa...
Kuonekana kwa Freeman Mbowe hadharani leo katika uzinduzi wa Serikali wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, ambao wanaona hatua hiyo kama usaliti kwa mapambano ya sasa ya chama hicho.
Wafuasi wengi wa...
Hii ni leo Agosti 22, 2026 wakati Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani.
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu kinamtesa na kitamtafuna Lema Maisha yake yote basi ni kitendo cha Kumsaliti na kumchafua Mheshimiwa Mbowe mtu ambaye amemkuza,kumpa nafasi na kumlea kisiasa mpaka kumpa umaarufu halafu mwisho wa siku akamsaliti na kumdhalilisha hadharani.
Kosa hili...
Mbowe ndo alikuwa anafaa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Nikiangalia naona hiki chama kwa sasa kinakuwa cha misimamo mikali.
Lissu na Heche hawa ni wabishi na hawataki kusikiliza ya wenzao. Wao wanataka kusimamia wanachomini tu. Wanasahau kuwa kuna wakati wanatakiwa kulegeza wanachikichia...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema baadhi ya watu wanapohamasishwa kuandamana huwa tayari wamejiandaa kuondoka nchini endapo hali itabadilika.
Katambi amesema baadhi yao hubeba pasipoti zao mfukoni na mara maandamano yanapoanza, hutumia usafiri wa pikipiki (boda boda)...
Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa.
Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
Ona huu unyama hao wapinzani waliopitia
1. Maalim seif alinyang'anywa uraisi na zecha .aliteswa sana na CCM machafuko ya 2001
2. Lipumba alipigwa hadi kuvunjwa mkono huko zanzibar 2001 na mhanga wa mauji hayo.na juzi kafanyiwa fitina akaporwa uenyekiti.
4.Dr slaa alipigwa na kuvunjwa mkono...
Matukio yanayoendelea tangu uchaguzi wa ndani wa CHADEMA, Januari mwaka jana,unanipelekea kufanya tafakuri na kuhutimisha kuwa ushindi wa Lissu na Heche, umekuea " game changer" kwa siasa za Tanzania.
Jaribu kufikiri misukosuko ambayo CDM imepitia, kisha Mbowe na wafuasi wake wangekuwa...
Katika nafasi yake Lissu alifanikiwa kupindua meza na kuufuta utawala wa Mbowe katika mazingira ambayo hayakutarajiwa.
Nchimbi nafikiri anahitaji mtu wa nafasi/Role ya Mnyika na Heche. Same playbook
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,
https://www.youtube.com/watch?v=vskxiEQ9IMc
Brunatnica
Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
Natoa wito kwa Watanganyika wote na Wazinzabari kuichangia Chadema hii maana ipo kwa ajili ya ukombozi wa taifa letu.
Kutoa ni moyo. Watu wachangie bila kuwa na hofu . Pesa na michango ipo salama tofauti na zama za Mbowe.
Propaganda mfu za wanaCCM waliokosa sera zisisikilizwe.
Mimi binafsi...
Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake
Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu
Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA
Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni makinda bado hawajakomaa vizuri wanastahili kufundishwa na baba yao Mbowe
Enzi za Mbowe CHADEMA ilikuwa...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Wilhem Mligo, amefunguka kuhusu changamoto zinazovikabili vyama vya upinzani nchini, akidai kuwa kuna njama za makusudi zinazofanywa na serikali ili kuvigawa na kuvidhoofisha vyama hivyo.
Amesema hayo katika mahojiano...
Nina Imani, kama Abdul hasingekuwa mtoto wa Rais,hasingekuwa mzanzibari akawa mtanganyika hasiye ona hata upande wa kitambaa cha bendera ya Tanganyika, akakosa ajira,akaishia maisha magumu kama vijana wa kibara wenzake hakika, lazima angetaka au angeona kuwa Lissu anaonewa nae angeandamana pale...
Freeman Aikaeli Mbowe,
aliwahi kua mwenyekiti wa chadema taifa kwa kipindi kirefu kiasi, lakini tangu uongozi mpya wa chama hicho ulivyoshika hatamu, Chadema masalia nayo imekosa utulivu wa kisiasa, lakini pia Chadema masalia haina agenda, sera wala hoja ya kueleweka.
Chadema masalia imekua...
Mwana demokrasia mahili ni yule anaye kubali kushindwa na kuendelea kushirikiana na walio mshinda
Chaguo alilochagua Mbowe la kukaa kimya na kuwatelekeza walio mshinda, ni wazi siyo sahihi. Chaguo hilo linamtambulisha kama kiongozi asiye kubali kushindwa na mtu wa kununa
Unawezaje kuwanunia...
Hamjambo!
Mbowe hata awe na hasira kiasi gani. Bado hawezi kuukata mtoto WA mwanaye kisa ameunyea.
CHADEMA ni moja ya Mambo ambayo yamempa heshima Freeman Mbowe.
Mwenyekiti Mbowe ametumia ujana wake wote kuikuza na kuieneza CHADEMA hapa Tanzania.
Asilimia tisini ya watu hapa Tanzania na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.