mbowe

  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu. Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania James Mbowe: Wanaoshangilia vifo wamrudie Mungu

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa. Akizungumza na Jambo TV leo, Agosti 9, 2025, alipofika kuhani msiba wa Spika wa Bunge Mstaafu, Hayati Job...
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais - Serikali yako ilitenda wema kwa Lema, ikatenda kwa Mbowe kisha ikatenda kwa Ole Sabaya - fanye hivyo kwa Lissu

    Rais wetu mpendwa! Salaam! 1. Nakupa hongera sana kwa kufika muda wa kuchukua fomu wewe na mgombea mwenza Dkt Nchimbi; 2. Dunia inafahamu wema wako na Serikali iliyopita kupitia msamaha kwa Lema (mbunge wa zamani wa Arusha); inatambua wema tena wako kwa Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti wa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

    "Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli" Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  5. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

    Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu. Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Freeman Mbowe akubali kushiriki Mkutano Mkuu wa CHAUMMA. Nimekutana naye akipima Suti

    Asilimia kubwa ya Waliokuwa Viongozi katika kipindi cha Mbowe (alipokuwa CHADEMA) wamehamia CHAUMMA. Viongozi hao wamekuwa wanamuomba Mbowe ajiunge nao. Pia zimekuwepo tetesi kwamba anatakiwa kuhamia CHAUMMA. Hata hivyo ameweza kudhami Mkutano huo Mkuu unaoendelea Dar Es Salaam. Baada ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage

    Mbowe na Kikwete ni Elvis Presley wa Tanzania. Hawapendi kuondoka kwenye stage. Huyu mwanamuziki alijulikana kwa kungangania kubaki kwenye stage kwa kupenda kushangiliwa. Msinshangae Mbowe na Kikwete nao hawawezi kukubali muda wao umepita
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Mbowe ametanguliza Watoto kuangalia kama watafaulu

    Mahojiano haya ya Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege) alifanya mahojiano na East Africa Radio ambayo yalirushwa hewani Juni 10, 2025, aligusia kuhusu hali ya siasa inavyo upande wa CHADEMA.
  9. Mzee

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbowe na Mpina: Mfano wa Wanasiasa wasio na Mioyo ya Shukrani

    Habari za leo Watanzania Tukiwa tunaelekea ktk Uchaguzi mkuu, zimefika zile nyakati za Wanasiasa kuhama Chama hiki kwenda kile kwa Maslahi ya Kisiasa. Naomba kuwagusia hawa Wanasiasa wawili kama mfano wa namna Wanasiasa wasivyo na Mioyo yenye Shukrani. 1.Freeman Aikael mbowe ameingia ndani ya...
  10. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuhusu Mbowe kwenda CHAUMA, Bwege alishasema: "Amewatanguliza Watoto Kama Bata"

    Akina Yericko Nyerere na James Mbowe ndiyo watoto wenyewe, tena watoto wa karibu sana, mmoja akiwa mtoto wa damu. Ukiona wametangulia hao, jua baba yao yuko nyuma anausoma mchezo, wakifanikiwa basi naye atakuja kwa speed ya chopa.
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache, basi muachie huru Lissu

    Rais Samia kama ulivyomuachia Mbowe ambaye alikuwa na maslai ya watu wachache ukiwemo wewe, lakini ukimuachie huru Lissu tutakuwa na uhalali wa mjadala wa taifa, lakini mjadala auwezi kufanikiwa kama kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani ayupo. Amesema Polepole
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anajiunga lini Chaumma?

    Sio siri wala kificho tena. Mliopo karibu na Freeman Mbowe mwambieni asijifiche tena, atoke kichakani na kulitangazia Taifa siku gani anahamia Chaumma. NB Poleni kwa msiba wa spika mstaafu Job Ndugai. Atapewa mazishi ya kitaifa?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nawalilia waliopoteza maisha yao kipindi cha Mbowe wakipigania mageuzi kumbe haikuwa hivyo! Inasikitisha sana!

    James kujiunga Chauma ana baraka za Mbowe. ni dalili kuwa na Mbowe yuko njiani kwenda chauma.. Watoto wa watu wamekufa wakiamini kuwa wana Kiongozi wa upinzani kumbe sivyo! ULAANIWE MBOWE NA UZAO WAKO https://youtu.be/IBiQWxmh8qQ
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  15. City Thunder OKC

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpango wa Mbowe kwenda CHAUMMA umeshindikana

    Nimekua nikitoa updates za Vita, basi leo niweze kuzungumza hili ili watu wajue maana mimi hufatilia kwa ukaribu siasa na hupata vyanzo vya uhakika. Mpango ulikuwepo wa mbowe kujiunga chaumma imeshindikana. Pamoja na kushiriki ulaghai mwingi kwenye siasa lakini mpango huo wa kuhamia chaumma...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kujificha ficha sana hatimaye Yericko Nyerere ajiunga CHAUMMA

    https://www.youtube.com/watch?v=d650ZU07JKQ Ameambatana na James Mbowe Tunawatakia kila la heri kwenye Usaliti wao huo na Tunamuomba Mungu awalipe kwa kadiri ya Haki yao, Amina.
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani chini ukimwacha Marehemu Maalim Seif Sharfifu Hamadi

    Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi. Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa upinzani. Sinto shangaa kama anajiunga na Chauma kuendeleza mapambano. Kwa sasa Chadema imetekwa na...
  18. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Nasubiria Polepole atuambie Mbowe na kundi la Wanamtandao wanajuana ama lah

    Nasubiri kusikia kwa Mh polepole. Hapo ndio tutajua kwanini Mh Magufuli alimshughulikia sana Mbowe na sasa Mbowe anataka kuikacha Chadema kwa manufaa ya nani?
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  20. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mbowe kaamua kuchagua fedha na sio heshima

    Wengi wa watu wanachukia sana wanasiasa kwa sababu wanawaona wana sifa mbaya ni ukweli wako wenye sifa mbaya na nzuri ni kama tu Kwenye biashara kuna ambao ni wafanyabiashara waaminifu na ambao sio waaminifu, hata makazini ni hivyo hivyo kunawapigaji na ambao ni waaminifu Wanasiasa ni rahisi...
Back
Top Bottom