The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Tangu kushindwa katka uchaguzi wa ndani wa Chadema katka nafasi ya uenyekiti kwa mwenyekiti wa mda mrefu Freeman Aikael Mbowe na mwenyekiti wa sasa Tundu Antiphas Lissu ni kuwa jamaa alikipotezea moja kwa moja chama hiko.
Japo kikatiba alibaki kua mwanachama na mjumbe wa Baraza kuu la CHADEMA ila mbowe hakuwahi kushikiriki wala kujitokeza katika shughuli yoyote ya chama.
Pili hajawahi kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya aliekua rafiki na vice chairman wake Tundu.
Kwa kifupi tunaweza kusema labda alikuwa na kinyongo fulan hivi na Tundu Lissu na CHADEMA yake baada ya kushindwa.
Sasa juzi jamaa kaonekana kwa mara ya kwaza Dodoma katika mkutano ulioandaliwa Samia wa dira ya 2050.
Za ndani kabsa ni kua mbowe atakihama CHADEMA mda wowote na kujiunga na Chaumma ambako atagombea urais badala ya mzee wa ubwabwa.
Mwisho atakuja kuteuliwa kua mbunge viti maalumu bungeni.
.