Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahairisha mkutano uliokuwa ufanyike leo kwenye Jimbo la Hai hadi itakapotangazwa tena

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,375
138,533
Nimesoma hii taarifa kupitia ukurasa wa CHADEMA kule Twitter.

Haijaelezwa bayana sababu za ahirisho hilo la mkutano muhimu jimboni kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe ambaye anakabiliwa na ushindani mkali sana.

Taarifa zaidi zitakuja nafuatilia kwa karibu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ije mvua ije jua chama lazima kipiganiwe.Kuenzi fikra na mawazo ya mwenyekiti na mapinduzi.Ndio morale ya wananchi kwa sasa
 
Yani umechukua habari kwenye akaunti fake unatuletea humu? Mkutano ukiahirishwa anayetoa taarifa ni meneja wa kampeni Marcus Albanie au Tundu Lissu mwenyewe ndipo chama kinatangaza. Sasa hizi umetoa uchochoroni usije nazo humu. Sawa?
Wenzio wanatafakari kilichojiri....wewe malizia kunywa mtori!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom