mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Huduma ya RITA inatia mashaka, nawashauri wajitathimini

    Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo! Ukichunguza kwa makini vyeti 8 kati ya 10 vilivyotolewa na RITA lazima utakuta dosari au changamoto! Miongoni mwa dosari hizo ni kama zifuatazo! 1. Mteja anaweza kuwa anaitwa ABDALLA lakini...
  2. S

    Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  3. Nakanusha: Hospitali za Umma hazipendi kutoa huduma mbovu isipokuwa majukumu yanawalemea

    Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi. Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote! Naomba nikanushe na nijibu...
  4. P

    Huduma katika hospitali za umma ni mbovu sana na zinatesa wananchi!

    Hali ni mbaya katika hospital za serikali, Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na huduma ya haraka! Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri...
  5. Usajili mbovu kumuondoa Ronaldo Man United

    Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoa Manchester United ikiwa timu hiyo haitafanya usajili wa kueleweka katika dirisha hili la sasa. Ronaldo ambaye alirejea klabuni hapo mwaka jana baada ya kuondoka miaka 13 iliyopita kwenda Real Madrid, yupo tayari kubaki lakini ni kama usajili utakuwa mzuri...
  6. Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  7. R

    Umasikini wa Tanzania ni matokeo ya mfumo mbovu wa Elimu yetu, kujaza wenye Degree mtaani ni ujinga mkubwa sana

    Nchi yetu ni Maskini sana na wananchi wake ni maskini sana ,kiasi kwamba bado kuna wanakufaa kwa kukosa Matibabu ,Njaa na kukosa malazi. Najiuliza sana Hawa Wasomi waliopo serikalini na kwenye Uongozi wanatudia kweli? Sababu kubwa ikiwa ni Siasa ndani ya mfumo Elimu .Nchi yetu ina Mali asili...
  8. T

    Sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu wa Afrika ni kusifiwa na wazungu

    Ukitaka kujua sifa ya kwanza ya kiongozi mbovu kwa Africa ni kusifiwa na Wazungu. Kiongozi yoyote wa Afrika anaesifiwa na wazungu ujue huyo ni bure kabisa, ni bomu. Hakuna kiongozi wa Afrika ambae analinda rasilimali na maslahi ya wananchi wake akasifiwa na wazungu, hayupo. Na wazungu hata...
  9. Unawezaje kuzijua spark plug mbovu?

    Kuna vitu kadhaa vinavyokuwezesha useme spark plug ni mbovu au lah. Hebu tuziangalie hapa haraka haraka. 1. Nyufa kwenye Insulator Ukiikuta spark plug ina nyufa kwenye Insulator ibadilishe. Spark ikiwa na cracks kwenye Insulator ina maana kuna muda inaweza kuleak voltage na kuignite...
  10. M

    Ukraine yaitishia USA: Yasema isipopewa makombora ya masafa marefu "itaibwatukia na kuisemea mbovu mbovu kwa kiwango ambacho kitakuwa cha mfano”

    Nilishawahi kusema kuwa mwisho wa siku Zelensky na Ukraine yake watajakuwa maadui wakubwa sana wa Marekani na NATO kwa ujumla. Kisa ni kwamba haiwezekani kuipatia Ukraine kila inachokitaka bila kuangalia athari yake kwa usalama wa dunia! Kwa mfano Zelensky alikuwa anataka NATO waweke NO FLY...
  11. N

    Siasa mbovu za Tanzania zimewaacha vijana wasomi wamepauka

    Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Tanzania tuna siasa mbovu ambazo kimsingi zimechangia kuua ndoto za vijana wengi wenye fani na taaluma mbalimbali ambazo wamezihangaikia tangu wakiwa wadogo mpaka wanakuwa watu wazima. Siasa kwetu sio taaluma bali ni ajira ambayo walafi wa madaraka ( power...
  12. B

    Rostam alikimbia nchi, Seth, Rugemalila et al walikaa Gerezani; matajiri hawa wamejifunza nini kuhusu mfumo mbovu wa siasa Tanzania?

    Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda? Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la...
  13. TRA mfumo wenu wa e-fillling na utendaji kazi wenu ni Mbovu sana

    Kwa taasisi kubwa kama TRA inakosa back up, eti wanaweza wasifanye kazi siku nzima eti mtandao hakuna seriously Yaani unaenda asubuhi mpaka mchana wakati mwingine siku nzima hawatoi huduma eti mtandao hakuna, Are you serious? Ina maana TRA inakosa back up? Bora ingekuwa tatizo la Mara moja...
  14. NITASIKITIKA NA KULAANI NIKISIKIA TARURA WAMEREJESHA MABILIONI WAKATI KWETU NJIA MBOVU.

    Nimekuwa nafuatilia ripot ya CAG na tunasikia fedha zinarudishwa kwa kukosa matumizi. Ikiwa imebaki miezi miwili naomba wahusika kuanzia serikali yangu ya mtaa wa bomba la mafuta kingolwira,CCM,Diwani wangu, mbunge wangu wa Morogoro na mamlaka ya TARURA. Nimewataja hao wote ili washirikiane kwa...
  15. INAUMA SANA HUU UTARATIBU MBOVU.

    Huu utaratibu wa kuwakata hela yao wapangaji wanaponunuwa umeme unawatesa wapangaji,kwakuwa wananchi wapole na wanalia na machozi yanaishia ndani ndiyo mana hamjali?Juzi nilikuwa wananunuwa umeme wa5000ukagoma,nikaongeza wa 1000 ukagoma.Nikaweka 12000ndipo wakakubali tena umeme wa2000tu ile...
  16. Maxence Melo: Nilipoteza marafiki wengi, tuna Sheria mbovu ya Makosa ya Mtandao. Tuna haki ya kuhoji

    Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi. Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo: “Hitaji la Jamii Forums wakati...
  17. Liverpool 4-0 Man United, Gary Neville asema "Sijawahi kuiona Man United mbovu kama hii ya sasa"

    Mabao ya Luis Diaz katika dakika ya 5, Mohamed Salah (22 na 86) na Sadio Mane (68) yameipa ushindi #Liverpool dhidi ya Manchester United katika Premier League kwenye Uwanja wa Anfield. Nahodha wa zamani wa United, Gary Neville wakati mchezo ukiendelea alinukuliwa akisema: “Nimeiangalia United...
  18. Heko kwa Kufuzu, ila kwa Mpira 'mbovu' tuliocheza na kwa Timu tunayoenda Kukutana nayo, tukifuzu Nusu Fainali mnizamishe Baharini na Jiwe

    Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh) Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
  19. Kuna Watu Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro alipovaa Jezi yao 'mbovu' Walifurahi na Kumsifu, leo kapiga 'Dongo' Kwao anaonekana 'Adui' yao

    Vumilieni tu kama ambavyo nasi pia mara kwa mara Mwenzenu Waziri wa Fedha Dk. Nchemba akiwa anatuchamba mpaka Kutudhihaki huwa tunavumilia na wala hatumfanyi kuwa ni Adui yetu kwani tunajua kuwa huo ni Utani wetu akina Kulwa na Doto wa Kariakoo Mmoja akiwa Mafurikoni na mwingine akiwa Sokoni kwa...
  20. N

    Interview ya MKUTA ni moja ya interview mbovu niliyowahi kuhudhuria katika maisha yangu

    Mwitikio wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukimwi Tanzania (MKUTA) Hawa jamaa niseme tu kwamba hawapo serious au hawajui nini wanatakiwa kufanya Kama mwezi umepita walitangaza nafasi moja ya kazi wakanialika interview kupitia Zoom Meeting, chakushangaza kuna rafiki yangu mmoja nae aliniambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…