Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali kadhaa, ambayo mengi sikuwahi kuyapitia majibu. Kwa mtazamo wangu, nadhani kukosekana kwa ushindani kwenye sekta kadhaa, kunafanya hata upatikanaji wa huduma hasa za kijamii ziwe mbovu/hafifu.
Ushindani ni nyenzo kuu linapokuja swala la huduma bora...
Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show.
Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena sanaa.. Sitaki kusema ni mbovu kiasi gani.. Ila nahisi ntakuwa nashika mkia.
Ila kizuri ni kwamba...
Kutokana na tatizo la Upatikanaji wa huduma Bora za Maji safi Nchini baadhi ya Wadau wamekuwa na mawazo tofauti.
Kwa haya na mengine mengi, ungana nasi katika Mjadala unaoendelea kwenye mtandao wa Twitter.
Bonyeza kwenye Kiunganishi hiki kushiriki mjadala: >>> JF SPACES
Baadhi ya hoja...
Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.
Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia.
Mwanamke akiamua kuuza "Papa"...
Habari wananchi wenzangu!
Serikali ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali mito, maziwa na bahari kukimesha tatizo la upatikanaji wa maji kwa wananchi.
Dar es salaam sehemu zenye miundombinu ya maji safi na salama ni chache tena hizo sehemu chache sasa hawapati kabisa.
Huku Chanika hakuna...
sizungumzii wale waliokaza mafuvu wanafanya tabia kwa kujielewa na walishakataa ushauri, hapa ni wale ambao tabia wanazofanya zinakera wengine ila hawana hatia kamili kwenye tabia zao aidha wao hawajui kwamba wanachofanya ni tabia mbaya, wameishi na watu au sehem flan kwa mda mrefu iliyowafanya...
Hotuba za mkuu wa Mkoa wa Kagera zinajaa aina fulani ya ucheshi na ni wa kipekee. Huwa ni wa kwake mwenyewe haufanani na wa mwanasiasa mwingine yoyote. Maongezi yake yanafikirisha lakini yanawekwa hadharani kwa njia ya kuchekesha.
Wapo wanaodhani kuwa ameupata ukuu wa Mkoa kama bahati tu, kama...
Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari).
Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
Mbali ya kwamba ni tabia ya wana CCM kuwatukuza viongozi wa chama chao au wale wanaoongoza Serikali kutokea kwenye chama hicho, lakini imekuwa ni kawaida ya Marais ama wasaidizi/wapambe wao toka chama hicho, kuongea maneno kuashiria kwamba Rais aliyetangulia amemuachia mzigo mzito wa kurekebisha...
Nakumbuka wakati Jenerali akiwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Wilaya hii iliongoza kwa uchafu Tanzania nzima, malundo ya taka, madampo, barabara chafu, zenye mashimo, usimamizi wa hovyo kabisa wa shughuli za umma na ufisadi ulitamalaki.
Katika utawala wake, hakuna mradi wowote wa maendeleo...
Sisi abiria tunaosafiri na Basi la Kampuni ya Shabiby kati ya Dodoma na Dar es Salaam tunayo malalamiko yetu makubwa kutokana na huduma mbovu mjini Morogoro ambapo basi la Shabiby husimama kwa ajili ya huduma ya chakula na kuchimba dawa.
Mazingira ya hoteli hiyo ni machafu sana na hayaendani na...
Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
Kwa mziki huu unaachaje kuipenda Yanga SC kwa mfano.....?
1. Djigui Diara
2. Djuma Shaaban
3. Lomalisa Mutambala
4. Dickson Job
5. Yannick Bangala
6. Khalid Aucho
7. Abubakary Salum
8. Feisal Salum Fei Toto
9. Fiston Mayele
10. Stephane Aziz K
11. Bernard Morison
Na hawa ndiyo Mabingwa tena wa...
Ni ndani ya kipindi kifupi sana kabila hili ambalo lilikuwa halijulikani na kuchukuliwa poa kwa sasa linafanya maajabu, Mafanikio waliyopata si ya kubeza hasa kwa kuimiliki kariakoo kwa asilimia kubwa ambayo zamani ilijaa wachaga na wapemba.
Mafanikio yao yamefanya hata makabila mengine ambayo...
Wakat wa wa vita ya pili ya dunia moja ya Siri kubwa Kwa USA na washirika wake kupata ushindi ni kuwasikiliza waliokuwa front line yaani kwenye uwanja wa mapambano , na maoni Yao yalisikilizwa moja Kwa moja na high command na kufanyiwa kazi haraka iwezekanavyo bila mtu wa Kati kuleta siasa...
Habari !
Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!,
Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
Maneno haya yalizungumzwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria akizungumzia hayo katika Mkutano wa Miaka 30 ya Demokrasia ya Vyama Vingi.
Mkutano uliohudhuriwa na baadhi ya viongozi wa serikali na vyama vya kisiasa kama vile ACT, Chadema na wengine lakini Chama Tawala kilitoa Udhuru kutokana na...
PS3 yangu imepata hitilafu.
Naskia kuna mafundi wananunua PS3 mbovu ndio maana nimekuja hapa.
Ilikuwa inafanya kazi vizuri toka nilipoizima jana (27/07/22). Ila sasa leo nimeamka niiwashe, inawaka(inaonyesha kitaa cha kijani) bila kuonyesha picha kwa sekunde 30 hivi halafu inajizima yenyewe...
Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.