mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mbona katika utawala wa Jumanne kaseja wapinzani walikuwa wanatangazwa, je aliyeua demokrasia kabisa ni Jumanne au Mzee wa Push -Up.?.

    Tuwe wakweli ikiwa Jumanne kaseja aliruhusu partial democracy wapinzani wakawa wanatangazwa na kushinda je anabidi kulaumiwa sana tofauti na yule mzee wa Push up ambaye kwa sasa yupo motoni.?..
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu Professor Neema Kumburu aliyepata kura 8 za wajumbe mbona kama anajidhalilisha?

    Huko jimbo la Moshi mjini kwenye kura za maoni, kuna professor anaitwa Neema kumburu ,yani kapata kura 8 tu za wajumbe. Huyu mtu mbona ni kama anadhalilisha taaluma yake?
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo hawavui viatu wakiingia Kanisani? Mbona Musa aliambiwa avue viatu?

    Katika kitabu cha Kutoka 3:5, Mungu alimwambia Musa: "Usikaribie hapa, vua viatu vyako miguuni, maana mahali unaposimama ni ardhi takatifu." Kwanini basi Wakristo wa leo hawatii agizo hilo la kuvua viatu wanapoingia kanisani, ilhali Musa aliambiwa hivyo? Sababu ya Musa kuambiwa avue viatu...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PolisiTz walikosa taarifa za kiintelijensia juu ya vurugu za WanaCCM? Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa?

    WanaCCM wanabomoana mangumi Wanachomeana magari! Polisi hawakuwa na taarifa za kiusalama Mbona masuala ya CHADEMA huwa wanapata taarifa ?
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wagombea kugawa hela mbona inachukuliwa kawaida wakati NI rushwa ile

    Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Kama Uislamu ulibuniwa kurekebisha Ukristo, mbona Quran ije na mikanganyiko zaidi

    Hapa Quran 67.5 nimesoma eti shetani hushambuliwa kwa kurushiwa mizinga ya nyota, hii ina maana gani, au zile huwa tunaona kama shooting stars ndio hiyo mizinga dhidi ya shetani. Kwa walio bahatika hata ilmu ya msingi tu, wanajua nini maana ya shooting stars, au pia ilivyo ujuha kusema nyota...
  7. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mbona kama wamekanyaga moto, hawatulii muda wote ni mwendo tu shida nini wakuu?

    Mbona watu wa Dar muda wote wako mbiombio? Shida nini hasa? Ni kama wamekanyaga kaa la moto! Kifupi imenishangaza sana. Yaani muda wote watu wa Dar wapo resi. Kila mtu ni fulu mwendo. Utaona watu hawa wanaingia kwenye madaladala wengine wanaingia shop almradi muda wote watu wapo kwenye...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi south Africa mbona kunatisha Kuna dogo wa mtaani kapigwa risasi Leo huko aisee ni huzuni

    Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
  9. AskariKanzu

    JamiiForums Tanzania Tamaduni za kabila la Kalabari kutoka nchini Nigeria zinatija?

    Utaratibu wa sherehe za kabila la kalabari nchini Nigeria, Bibi harusi hacheki wala kutabasamu mbaka atosheke na pesa anazopatiwa na Bwana harusi wakati wa ndoa za kikabila. Tazama video hapa👇
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Uchwara na mwana Yanga SC lia lia Hans Rafael uliwaaminisha Watu kuwa Elie Mpanzu iwe isiwe anaenda Yanga SC, mbona yuko Simba SC bado?

    Yaani kununuliwa tu hiyo Laptop na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ndiyo umeamua sasa kuwa Mnazi na Mtu wa Hovyo hapo Crown FM?
  11. Setfree

    JamiiForums Tanzania ChatGPT ni Mlokole? Mbona ana tabia za kilokole?

    Katika zama hizi za teknolojia ya hali ya juu, akili unde(AI) imeingia katika kila nyanja ya maisha—ikiwemo mazungumzo kuhusu imani, maadili, na tabia. Jina maarufu la AI linalosikika mara kwa mara ni ChatGPT. Swali ninalojiuliza ni hili: “Hivi ChatGPT ni mlokole?” Mbona inaonekana wazi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ohoo! Tayari huko ni, mbona umeme wamekata?

    Mara nyingi mambo haya hufanywa ktk mazingira ya Giza na Kiza kinene. Kukatwa kwa umeme majira ya usiku nchi nzima kwa masaa 6 siyo Jambo la kawaida. Huwenda ndiyo mpqngou nakamilika. Eeh Mungu! Na iwe hivyo.
  13. T

    JamiiForums Tanzania NACTVET website yenu kwa ajili ya udahili mbona haifunguki ?

    Wakuu, husika na kichwa hapo nimelimdanyia maombi ya chuo ndugu yangu kwa ngazi ya diploma lakini kila siku nikijaribu kuingia kwenye website ya nactvet CAS mfumo unagoma. Nashindwa kujua hii shida ni kwangu tu au ja wengine mmekutana na hii changamoto?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hivi akina Mzee Chenge mbona wapo kimya hivi?

    Ameishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ujio wa DP World mbona haujatupunguzia kero ndogondogo Wafanyakazi wa Bandarini?

    Huku Bandarini tangu DP World wamekuja mambo yamekuwa magumu kwa Wafanyakazi, hatuna over time. Pia wafanyakazi wengi wamehamishwa, yaani tafrani tupu, kubwa zaidi ni kuwa hatulipwi kwa wakati, mfano sasa hivi tulipaswa kupewa pesa zetu za rent tangu June mpaka leo tunaitafuta August 2025 bado...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mke wa tatu halafu mwenye mke kumbe naye alishakuwa bosi wa watu mbona kama sielewi

    Sisi tulijua bosi huyu bosi wetu kama mama yetu ana mume ila tukumuona mume wake hata kanisani ila tunamuona bosi aliyekuwepo kipindi cha nyuma kuwa naye karibu. Ina maana bosi hata mtoto wako pendwa japo hayupo ofisini anaweza kuwa na kaka yake mtoto wa bosi wa zamani ambaye ni yule mtumishi...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Polepole: Ripoti za CAG zinakwenda kwa watu, watu wanauliza mbona hatua hatuchukui? Na mbona chama kimekaa kimya?

    Humphery Polepole ameeleza kuwa ripoti za CAG zinaeleza vitu vibaya na zinakwenda kwa watu na watu wanauliza mbona hatua hazichukuliwi na chama kimekaa kimya? "Ningewachambulia hapa ripoti za mkaguzi na mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali namna zinasema manenomabaya. Hizi ripoti...
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mbona kama nashindwa kufanya Diet! Wakuu mnawezaje?

    Nawezaje kuepuka ugali. Nawezaje kuepuka wali. Maisha ya kigeto kigeto. Ugali una wanga ambao ni hatari. Wali una sukari ambayo ni hatari Sasa ntafanyaje mana migahawani hakuna diet wenzangu mnawezaje?
  20. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Wadau wajuvi wa sheria hivi polis wa Tanzania wana operate kwa kutumia sheria zipi zinazobagua yupi akamatwe na kupewa mashitaka?

    - vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!! 2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
Back
Top Bottom