mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni mbona maandamano Yana trend sana kuliko uchaguzi?

    Huyu aliyepanga maandamano siku ya uchaguzi nimpe maua yake Sasahivi kwenye Kampeini za uchaguzi wazungumzaji wote wanazungumzia maandamano tu. Madaraja makubwa kama Tazara,Kuta za majengo ya serikali yameanza kuchorwa SAMIA MUST GO. Hii kwangu sio good sign. Leo hii Samia ni wakuwaambia...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nyie watu wa JF nipe msaada, mbona mnakuwa wakorofi?

    Ni VPN gani naweza tumia kwenye desktop computer?
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

    Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh! Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au? Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
  6. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Kuna usalama hapa? Mbona kama kikohozi ni kingi, haumwi kweli?

    Hapo jijini Mwanza wakati akitoa hotuba yake alianza kulalamika kikohozi kihozi dadeki tupo naye mpaka october 29 hafiki mbali huyu amini nawaambia afiki mbali.
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona Instagram haipatikani.?

    Kama Uzi unavyosema ni kwangu tu?
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jimmy Mafufu, Stivin Mangele, Mbona hamumjibu Captain Tesha? Jitokezeni mjue vizuri tuko serious !!

    Wakuu Mama sianaupiga Mwingi? Jitokezeni Wakuuu ,au nyie Hamlindwi?? 🤣🤣
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  10. FK21

    JamiiForums Tanzania Mnaowapondea Wapare, mbona huyu wangu hana hizo tabia?

    Ile trend ya wapare wachoyo +wachawi mbona uyu MARIAM wangu Hana hayo anapenda tu makande Mzuri mcha Mungu muelewa au bado navutiwa timing?
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tucheke kidogo, mbona wapalestina wa Tanzania hawawasaidii wenzao wa Gaza?

    Japo ni utani, bado nashangaa kwanini wapalestiina wa Tanzania aka wamachame hawawasaidii wenzao wa Gaza?
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi kupiga picha Mahakamani kwenye kesi dhidi ya Lissu, ni utaratibu au vitisho?

    CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa chama hicho. ---- Tukio la Jeshi la Polisi kupiga picha...
  13. braza bonge

    JamiiForums Tanzania Polisi wetu ni watu wa aina Gani Mbona wanafanana?

    Habari Wana bodi, niende kwenye mada Moja kwa Moja!. Polisi wetu Wana tabia zinazofanana, wanapenda kutumia nguvu kuliko akili(labda hawana akili), wanapenda ubabe na wanafurahia kupiga raia. Wanashindwa kufanya na kukamilisha upelelezi kwenye mambo ya maana, ila ya kijinga upelelezi...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

    ISLAMIC FOOTBALL CLUB
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jamani mbona JF hakuna kibaya kinachoandikwa?

    Ni maoni ya kawaida..... Sasa wanavamia JF kwa kosa gani? si wamwambie kuwa usipost hiki na hiki na hiki...au wanaopita JF wanamwambia hii futa .....
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

    Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona. Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo. Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona Kampeni za mwaka huu zimedoda sana

    Nipo Tanzania Kwa Sasa,ila nilichokiona kimenishangaza sana. Nakumbuka Uchaguzi wa 2010 na 2015 na Kwa mbali wa 2020, ulivyokuwa na hamasa,mshikemshike na burudani kama zote. Uchaguzi wa mwaka huu ni aibu tupu kabisa, Uchaguzi umepoa, umepwaya umekosa Ile political will. Wagombea wa udiwani...
  18. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amekumbwa na nini? Mbona anajivuruga kiasi hiki kwenye hotuba zake

    Wasalam. Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
  19. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani) Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84...
  20. D

    JamiiForums Tanzania hizi jezi za Simba, mbele wapi? nyuma wapi? mbona hazieleweki.

    I will be short hizi jezi , mbona kama makengeza, mbele wapi, nyuma wapi?? mcheki kapombe amkuwa kama kanyongwa , ajulikani kageuka mbele au nyumA.
Back
Top Bottom