Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 302
- 295
Ameishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?
Yanayoendelea wapi, mbn mpumbavu hivyo? Mzee wa watu anajua yanayoendelea ktk hilo bichwa lako?Ameishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?
RubbishAmeishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?
Yupo anakula maisha tuAmeishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?
Wazee wa ovyo kama Chenge hata wasipoongea ni sawa tu!Ameishilia wapi huyu Mwamba? angalau angesema kitu kwa yanayoendelea! Au mambo ya "vijesenti" vya mboga bado yamemkaba?