mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Safari beer 🍺 mbona kama mnatubania wateja?

    Zile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch Oya Acheni hizo basi wazeee Hivi Leo polepole atakua live?? NIMEWEKA BANDO LA 50K namsubiri
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya WESTERN SAHARA imeanza lini mbona sijaisoma shuleni

    Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
  3. monotheist

    JamiiForums Tanzania Hizi simu zinashida gani mbona bei kitonga sana

    Naomba mnisanue kabla sijayakanyaga
  4. R

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mbona picha ya kwanza hakuna friendly/ cordial environment kati yao? Ya pili/tatu zipo more friendly/cordial kuliko ya kwanza

    Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu: 1. Utawala Bora na Demokrasia – tukisisitiza...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yaani Uchaguzi wa mwaka huu hata wadhamini wa wagombea hawatafutwi? Mbona Samia sijaona popote akitafuta wadhamini

    Hili ni swali kwa wajuvi wa sheria je takwa hili la wagombea kuhakikisha kwamba wana wazunguka na kupata wadhamini kwa nafasi za urais kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani halipo tena? Au wadhamini wanaweza kupigiwa simu na kusaini kwa mfumo wa kidijitali?
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wastaafu Zanzibar wapo Kimya, wa Tanganyika mbona hawatulii walisahau nini madarakani?

    Zanzibar inawastafu wawili wapo kimya kabisa na huwezi kuwaona wanajitia kimbelembele. Hawa watanganyika walisahau nini madarakani wanarudirudi? Waaambieni waache Tamaa wapumzike wanalipoteza Taifa.
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona Ridhiwani hajatupwa ametupwa Fredy Lowassa!?

    Hapo vipi. Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi. Mimi ni mmojawapo wa mtu ambaye sijapendezwa na maamuzi ya kumkata Fredy Lowassa. Kuna familia naziona wanafikiri ya kwamba...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hii fomu ya kujisajili na CCM mbona kama inasomana na NIDA?

    Hapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
  9. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania na Wakenya ni ndugu? Mbona ugomvi na mambo zao ni kama wakaka au wadada wanagomabana

    Hawa jamaa siwaelewagi? Wakenya na watanzania ugonvi wao usijaribu kuuingilia. Wanapakana mipaka na kugawana makabila wajaruo na wamasai na mlima kilimanjaro. Wanautani usio kwisha. Huyu akifanya hiki mwingine anaiga ili aonekane kamzidi. Hatari sana!
  10. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mbona habari ya Polepole ya kuiba kura haipewei airtime? Ina maana media zote zimeshikiliwa na CCM?

    Kuanzia , JF na mitandao mingine yote habari ya Polepole ya CCM kuiba kura kwanini media hawataki kuiweka ili wananchi waipate .
  11. N

    JamiiForums Tanzania Fredrick Sumaye mbona yeye haonekani na hasikiki au kapigwa ban ya Jumla?

    Fredrick Sumaye alikuwa waziri mkuu kwa miaka 10 lakini sioni kama ccm au nje ya ccm anaongelewa kabisa. Alikosea wapi huyu mtanganyika mwenzetu? Mkapa anapewa sifa lukuki lakini yeye aliyekuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili vya uongozi wa Mkapa hana hata moja zuri alilolifanyia taifa hili...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Haji Juma Omar: Mishahara Midogo kwa Walimu inachangia wengi wao kuishi kwa madeni

    Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Zanzibar, Haji Juma Omar amesema changamoto ya ulipaji wa mshahara mdogo kwa baadhi ya Walimu Zanzibar imesababisha kuwaingiza katika madeni makubwa na kusababisha kutafuta kazi nyingine za kuwaingizia vipato ili kuweza kujikimu. Akizungumza katika Mkutano Mkuu...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video hii ya RC Kihongosi akitoa adhabu ya viboko kwa watu wazima ni ya mwaka 2025?

    Halafu RC wa Arusha Kihongosi yawezekana ana Uzoefu wa Kuchapa Bakora kwani si kwa Bakora za maana alizowachapa.
  14. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Mbona kama kapotea huyu mchezaji wa dunia, Ronaldinho Gaúcho

    MAISHA YA MSTAHAFU 😎 Hivi ndivyo anavyoishi mtu aliyeshinda kila kitu kwenye soka la dunia hii. Alimpa mama yake kila alichoweza, pesa, furaha na hata umaarufu. Aliifurahia kazi yake ya soka kutoka mwanzo hadi mwisho. Alifanya makosa, lakini yalibaki kuwa sehemu ya safari yake. Alinyakua...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mbona nyuzi hizi zilikuwa hazifutwi na tunasema kabisa Jamaa atakufa 2021?

    Huu Uzi niliuandika nikiwa Corridor za Kremlin kuna jambo tulikuwa tunajadili na diplomat fulan https://www.jamiiforums.com/threads/ya-kabendera-aman-upendo-tukielekea-mwaka-mpya-tusihukumu.1672937/
  16. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona rais Samia, ameanza kujitenga Kimataifa?

    Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari. Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

    Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!! Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa. Huyu jamaa kweli anajielewa?
  18. Griss

    JamiiForums Tanzania Mpina, Gwajima na Polepole Mbona hawakamatwi Kama Lissu ?

    Wanadunda tu mtaani Juzi tu Gwajima na Mpina wamelipwa mafao ya mamilioni ya ubunge Wanalindwa na CCM Wanakula CCM Wanalala CCM Wanaishi ndani ya CCM Lakini Wala hawakamatwi kubambikiwa kesi why ? Lissu alifanya Nini special mpaka kupewa kesi? What's wrong with Samia ? Samia Kama...
  19. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hili draft mbona silielewi

    Salam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore. Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa nimelifungua lakin kuna Mambo siyaelewi Kwanza huyu sijui ndo dalmax anajifikiria sana yaani...
  20. Black nyeti

    JamiiForums Tanzania Watu wa jf muko wapi mbona hamuonekani????

    Watu mumepotea kabisa hamuonekani au tatizo bando??????
Back
Top Bottom