mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, huyu ndiye mrithi wa El Mencho? Lakini mbona kama AI

    Wakuu Naona kuna watu wanasambaza picha inayodaiwa kuwa ndiyo ya mrithi wa El Mincho lakini mbona kama imetengenezwa na AI
  2. JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo. Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli? Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi? Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
  3. JamiiForums Tanzania Kama tatizo ni mabeberu mbona viongozi wetu ni matajiri?

    Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu. Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kigoma mna nini? Mbona sio wastaarabu nyie

    Umekuja mjini toka kigoma fuata taratibu za ulipofikia sio vizuri kujiamulia kila kitu hapa mjini bana sio ujiji. Unakuta mtu anatafuna dagaa wabichi mabarabarani yaani kuweka mfukoni kabisa kama karanga kuhalibu bajeti za watu tu, mkirudishwa kigoma mnaanza fitina zenu . Mbaya kabisa anapika...
  5. JamiiForums Tanzania Mh Rais Nina hoja nisikilizwe, waliochoma soko la kariakoo wapo mbona mnawaacha? Sasa ushahidi tulio utoa mbele ya kamati tulikuwa na tumepoteza Muda?

    Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
  6. JamiiForums Tanzania Mbona hii ni habari njema! !

    Ni nani aliita polisi? ? Nimesikitika sana! Kwa hali zilivyo karne hii ya 21, Nikipata habari kuwa kijana wangu wa miaka 13 ametia mimba mwanamke wa miaka 33: Nitamuita nimuulize hizi habari ni kweli au si kweli? Swali ni rahisi sihitaji maelezo. Akisema ni kweli, namuambia haya nenda...
  7. JamiiForums Tanzania Matajiri mbona hamtangazi nafasi za kazi?

    Heshima yenu Wakuu Niruke moja kwa moja kwenye mada Humu kuna maCEO, MaHR, watu wana mabiashara yao makubwa wengine wana maconnection mbona hamtangazi hizo nafasi wadau tuingie mzigoni? Mnaenda kutafuta wafanyakazi kwenye platforms nyingine za ovyo mnaacha kuchukua vijana machachari wa JF...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi mbona wanawake ni warahisi ukiunganishishiwa na mwanamke mwenzao

    Yaani kuna demu najuana naye Sasa nimetaka namba ya rafiki yake aisee dakika siguri tu nimeunganishiwa na mpaka Sasa mtoto anaelekea kibra sikujia kama Kuna kitonga namna hii
  10. JamiiForums Tanzania Mbona vipepeo wameadimika sana siku hizi? nitumie njia gani kuwavutia au kuwafugia shambani?

    Wakuu, Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani. Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

    Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku. Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao? Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nzi wanalalaga wapi usiku? Mbona mchana ni wengi lakini usiku sioni wanapolala?

    Eti nzi wanalalaga wapi usiku? Mi sijui
  13. JamiiForums Tanzania Mchambuzi IBRAHIM RAHBY ni mzuri sana wa mataifa sio imani yako ila swala la IRAN mbona unakwepa na mda mwengine unakwepa nchi yako

    Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC. Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake. Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
  14. S

    JamiiForums Tanzania ICC mbona wanachelewa sana?

    Hii Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu(ICC), mbona inachukua muda mrefu sana hata kutoa taarifa ya wapi wamefikia au ni kinaendelea? Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu hayajapoa maana ni juzi tu tumetoneshwa kidonda kwa kauli za kiburi cha hali ya juu.
  15. JamiiForums Tanzania Maandamano ya IRAN yamegusa imani za watu mbona wapo kimya

    Hapa JF na mitandao mingine yani ukiona mtu anavyoichambua Israel,GAZa, Venezuela na nchi nyingine zilizokuwa kwenye mivuruguano unaweza kusema jamaa noma. Ila tokea IRAN kuanza maandamano hata watu wa msikiti wapo kimya kabisa.
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kimara Suka tunapata maji kwa saa 6

    Aweso hii Gaza ya Kusini anzia pale Over Mataa mlipoweka wanajeshi wa Uganda wale shuka mpaka Mbuzi Online Suka mlipoua boda akiwa na abiria ingia na hiyo njia hapo vuka uwanja mbele dukani mlipoua mtu akiwa dukani nenda mbele kidogo pandisha kimlima hayo maeneo mnafungua maji masaa 6 tena muda...
  17. JamiiForums Tanzania Mbona yeye bado hajaolewa?😂

    Ila CCM kila muuni,mjinga,chawa,vichaa,walamba miguu na kila aina ya sampuli unazipata huko. Msikilize huyu
  18. M

    JamiiForums Tanzania Leo Christmas? Mbona tofauti ni kubwa?

    Leo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox. Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication) Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa wanafanya nini ili iwe fundisho na kwa wengine, Je wamekufa kwa UKIMWI, Je wamekufa wakiwa wanaiba na...
  20. JamiiForums Tanzania Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…