Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,925
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.

Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
 
Kwani Africa ni kwa wazungu?
Pumbavu kwani hakuna Wazungu wenye Asili ya Afrika kutokana na kuwa na Wazazi wenye Asili tofauti?

Umeshajiuliza ni kwanini Zakaria Hanspoppe hatambuliki sana kama Mtanzania ( Mwafrika ) na anatambulika ni Mjerumani?

Huwa unakuwa na 'Kiherehere' mno cha kufungua 'threads' zangu hapa na Kujibu 'Kipumbavu' na 'Upumbavu' ulionao.

Huna IQ ya Kuzielewa 'Threads' zangu.
 
Akili ndogo tulizonazo ni bima ya afya na ya maisha ile...mtu anaamini amemkinga na maradhi, vijicho vya watu asirogwe....kiuhalisia naskiaga ata kinyaa kubeba mtoto mwenye amebebeshwa huo mzigo
 
Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri.

Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.

USIJUMULISHE WAAFRICA WOTE IKIWA HATA WEWE HUKUVALISHWA: HIZO NI FAMILIA ZA KICHAWI NA/AMA USHIRIKINA. UKIONA MTOTO KAVALISHWA HAYO MADUDE UJUE UKA KATIKA FAMILIA YA WASHIRIKINA AMA WACHAWI. HAKUNA MAELEZO WALA MBADALA WOWOTE. NI UCHAWI NA USHIRIKINA.
 
Back
Top Bottom