mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipo Rwanda, hao Wanawake mnaowasifia kwa uzuri mbona siwaoni?

    Nipo Kigali kikazi, hao wanawake wa kinywaranda mnaowasifia kila siku kwa uzuri huko Instagram na hapa Jamiiforums mbona siwaoni? Huku mitaani nawaona wanawake wa kawaida sana tena hawafikii uzuri wa dada zetu wa kitanganyika. Pumbavuuu
  2. D

    Dondosha ''MBONA'' yako nyingine hapa mdau👇😂😂

    (1) Mbona Taifa Stars haichezi na Yanga?😂 (2) Mbona Bocco amefungia kichwa na ni mpira wa miguu😂 (3) Mbona refa hawampi pasi na amevaa njumu😂 (4) Mbona mchezaji akifunga golini kwake wanashangilia timu pinzani😂 (5) Mbona kocha haingii kusaidia team yake na yeye ndo anajua kuliko wao😂
  3. T

    Mbona Japan wameturuka?

    Waziri Mkuu wa Japan atatembela Egypt, Ghana, Kenya na kuturuka na kwenda Mozambique Kulikoni Mozambique, yaani sisi tunaona karuka mkojo na kukanyaga. Au ni kinyume chake. ========= Prime Minister Fumio Kishida’s one-week diplomatic tour of Africa — his first trip to the continent since...
  4. Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

    Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
  5. T

    Mwenye maono akifa vitu vyote hufa kibudu, viwanda vilivyoanzishwa na Magufuli mbona havikuwa magofu?

    Shida ni nini? Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa, Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea kuwa magofu! Hawa wawekezaji walioanza kujenga viwanda barabara ya Bagamoyo to Tanga, Dar to Moro...
  6. Waislam hizi sheria mbona hamzifuati tena, au kuna agano jipya?

    1. Kukata kucha siku ya Alhamisi. 2. Kutokula kwa kutumia kijiko. 3. Kutokula ukiwa umekaa kwenyekiti. 4. Kutokula kwa mkristo a.k.a kafiri kwa hofu ya kulishwa kwa vyombo vilivotumiwa kwa kupika nguruwe au nyamafu. 5. Kutokwenda nyumbani au kuongea na mtoto wako aliyeamua kubadili dini. 6...
  7. Wakristo, tena nyie Roman mbona padri akipanda madhabahuni anakuwa hajavaa viatu?

    Naomba jibu, waumini wa Roman Catholic. Padri wenu havai viatu nyie mnaingia na viatu kanisani. Mnajifanyaga mko na akili sana.
  8. R

    Hizi bilioni Kumi za vikundi mbona hakuna kikundi kijijini kinachodaiwa? Waliolipwa ni wakina nani?

    Hizi fedha zilitolewa Kwa ajili ya viongozi wa CCM, wakagawana Kwa mgongo wa kijiji. Hakuna mwana ACT wala CHadema wala chama kingine cha siasa aliyepewa hizi fedha. Zilichukuliwa zikapelekwa kwenye matawi ya CCM wakagawana. Hii NI mara ya pili zoezi kama ili linafanyika, yalitolewaga mabilioni...
  9. Hivi mbona ndege ya jeshi la marekani( c-17 globemaster) route zake haziishi kwenye anga letu

    Na leo imepita tena. Kuna kipi kilichojificha.😭😭😭
  10. Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

    Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter “Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa...
  11. Wanawake wa kiislamu mbona hawangaiki na ndoa?

    Hawa wanawake wa kiislamu huwezi kukuta wanakosa mwanaume wa kumuweka ndani. Kumbe ukivaa vizuri, ukajitunza, basi wanaume watakuweka ndani. Sasa hawa wanajipoa weee then wanaishia kuwa single mother na kujiingiza katika kampeni uchawara za feminist. Nimegundua hili jambo kuwa mwanaume mwenye...
  12. Mbona Kikwete anacheka kila wakati 🤔

    Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu Hata hotuba zake anacheka tu Akipiga picha ni kicheko Akifanya hivi ni kicheko Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii Kitu ni...
  13. Wana Songea, mbona mji wenu haukui? Tatizo ni nini?

    heshima kwenu Wana JF wote Nipo Songea kwa matembezi kidogo,nimekuja kwa ajiri ya mazao kipindi hichChcha maharage,na wilaya hii nishawahi kuishi Sana miaka hiyo mzee alikuwa anafanya kazi hapa Songea. Kwa kiasi chake Songea imebadirika lakini sio Sana ni baadhi ya maeneo. hasa pale mjini...
  14. Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

    Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia. Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa...
  15. Mbona Professor Jay hakupewa Uwaziri?

    Hizi nafasi za Uwaziri zinatolewa kwa upendeleo au ukipata kama zali? Mbunge wa zamani Jimbo la Mikumi na Msanii mkongwe wa Hip-Hop Joseph Haule (professor Jay), alihudumia Bunge kwa miaka mitano ila hakupewa hata Uwaziri. Kama sifa walizotumia kumpa Uwaziri Mwana FA mbona Professor Jay...
  16. Zitto kabwe na genge lako kama mnatuonea wivu na nyie ombeni asali mulambe. Mbona mnamsakama Mbowe?

  17. Mlitamba nae, Mlijivunia nae, mkafurahia Mashuti yake na Kumfananisha na Chama mbona leo mmemchoka?

    Simba SC haijawahi Kumkosa Mchezaji yoyote mkubwa Afrika hii na ukiona haimtaki jua huyo Mchezaji ana Majeraha au hana Kiwango cha Kuwazidi walioko. Simba SC waliachana nae mapema tu baada ya Kudokezwa na Mtu kutoka Kwao Burkinafaso na Wakala aishie Ufaransa na Afrika Kusini kuwa hakuna...
  18. Swali: Kwenye vita ya Kagera maafisa wanajeshi wa kike hawakushiriki? Mbona huwa hawatajwi?

    Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete, Kinana, Makongoro Nyerere, Sijasikia Mwanamke akitajwa popote! Ni kwamba hawakushiriki au historia...
  19. No hate, no fear. Very good slogan lakini mbona jamaa wanaendelea kuonesha hate kali dhidi ya hayati?

    Hata mheshimiwa rais ameipa big up hiyo slogan ya hawa jamaa zetu wapendwa. Lakini tunawaona jamaa zetu hawa hawaitekelizi hiyo slogan. Kila siku tunawaona na kuwasikia wakiendelea kuonesha hate kali dhidi ya JPM ambaye sasa ni marehemu. Ni vyema sasa wakaacha kufanya hivyo. Yaliyopita...
  20. M

    Kuna ramli kuwa Mdee na wenzake 18 watasamehewa

    Habari ya kazi wana jukwaa. Kuna habari zinatembea sana mitandaoni kwamba kesho kwenye sherehe za siku ya wanawake duniani ambapo BAWACHA wataadhimisha siku hiyo mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi atakua mh.Rais Samia Suluhu Hasan. Watu wengi sana wanadai itakua nisiku rasmi pia kuwasamehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…