mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kama ac Milan sio timu ndogo mbona Haina uwanja

    Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu inayoitwa kubwa imeanzishwa 1899 lakini bado inakodi uwanja hapa hamna timu ni wahuni tu wa italia...
  2. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Mbona Wenje anatoa siri za Kamati upande wa pili wanamwona shujaa akisema Lissu mnasema mropokaji kweli Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa anaelekea kufa

    Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji, Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
  3. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

    Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba unijubu maswali haya, 1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
  4. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Halotel mbona hivi?

    Mtandao wenu mmeufanya kuwa wa hovyo. Hakuna kutoa pesa iwe benki au kwenu wenyewe. Hamtoi taarifa kuwa kuna changamoto. Mbona mnafanya dunia kuwa ya kizamani sana?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tangu mwaka 2017, naona kama hakuna international hit song yoyote toka marekani

    Habarini, International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya. Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Abduli mbona amekuwa maarufu sana?

    Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri 1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet Ati ametembelewa na ugeni wa Mseveni na wameingia mkataba ya nishati na Tanzania Sasa Abduli alienda kama...
  7. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

    Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
  8. Brojust

    JamiiForums Tanzania Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi ili uwe muokota makopo lazima kichwani ziwe zimepungua?

    Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi...
  10. KENZY

    JamiiForums Tanzania Wanachadema mbona mnakata tamaa mapema..?

    Mbowe kutangaza tu kuwa atagombea tayari kuna wanachama mmetangaza kukiacha chama!, hata uvumilivu hamna!. Kwani wapi amevunja sheria ya kwamba haruhusiwi kutangaza nia yakugombea..? Hata hivyo si uchaguzi utafanyika akishinda huyo mnaemtaka ndo mtarudi ama!, hebu kaeni mpige kura, ili kura...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

    Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona. Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hii pesa ya Iran ikoje.? Mbona kama karatasi tu wakati wanatumia pesa nyingi kufadhili ugaidi..😲😲

    CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi. Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni...
  14. pabro11

    JamiiForums Tanzania MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

    Wakuu msaada izi simu za galaxy a series za fb ni OG kweli? Mbona bei zinafanana? Na ipi bora kwenye A series?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kinara wa nishati safi mbona unaturudisha kwenye diesel?

    Naona TRC wanataka kwenda kununua treni la diesel for emergency lakini me najiuliza kwani haliwezi kutumia gas? Diesel tunanunua nje ila gas tunazalisha hapa sasa kwanini tusitumie la gas ili dollar zibaki hapa hapa. Mbaya zaidi President wetu ndo kinara wa nishati safi Africa halafu eti nchi...
  16. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Kwenye matembezi ya kuombea Aman leo Arusha mbona sijaona padre yeyote? Je mapdre hawakualikwa?

    Amani kwenu watumishi Leo kwenye matembezi ya Aman kule Arusha yalikuwa yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha yalishilikisha viongozi wa dini, lakin cha ajabu katika matembezi hayo sijamuona askof wa Arusha wala Padre kutoka kigango chochote kile Au mapdre hawakualikwa ? Uzi huu...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jaji Warioba: Tusipochukua hatua, uchaguzi mkuu utakuwa kama huu wa Serikali za Mitaa

    Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana na ule wa mwaka 2019, lakini matokeo yake ni vilevile. Uchaguzi wa mwaka kesho (2025), kama...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi mbona hamsemi Benk aliyehusika na utekaji wa Bonge ni ulinzi shirikishi Stendi ya Magufuli na pingu zimetoka hapo kituoni?

    Wakuu, Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri? Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio la bonge hakuonekana tena hapo Magufuli, na yule kaka mfupi kwenye video ni mdogo wa Benk! Hapo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

    Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk. Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu. Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbona Rais Samia hajakipongeza chama chake kwa ushindi wa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wadau, vipi mbona Bi. Mkubwa hajajitokeza kupitia mtandao wa X kukipongeza chama chake na wana-CCM kwa ujumla baada ya kupata ushindi wa kishindo kwennye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika tarehe 27/11/2024? Mpaka jana tarehe 29/11/2024, mtandaoni anasomeka, ila tunasoma habari...
Back
Top Bottom