Wakuu nimeona hii ishu inawezekana nikikaza….
Nataka kila siku niwe nalaza laki 2 nifanye ishu ipi?
Au niwe natabia zipi zinazoendana na kiwango hicho cha return
GT
HIi ndo ilkuwa nafasi yangu pekee yakuwa billionea hapa mjini. Nakumbuka nikiwa na rafiki.yangu tulikuwa kila siku tunsoma na kufuatilia graph za crypto na uwezo wa kununua tulikuwa nao.
Nakumbuka pamoja na price fluctuations lakini BTC ilikuwa ina range between $3200 mpaka $3800 kipindi...
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.
Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku...
Hivi kuna sababu gani kwa polisi wetu kutumika vibaya na CCM kwa kuteka, kukamata, kuumiza na kumbakia kesi ya uhaini Mh Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA wakati tunaweza kushindana kwa hoja na hoja zinazoshinda ndizo zitoe mwelekeo wa taifa na nchi hii...
TUAMUE TU NA TUFANYE HIVI:
Tuwe na...
Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho.
Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 umeanza leo Aprili 8, 2025 Jijini Dodoma, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, miongoni mwa shughuli...
Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
Fremu ninayo tayari. Ninacho hitaji ni Video Camera, Still pictures Camera na video camera. Kwa kiasi hicho cha pesa naweza kupata hivyo vifaa?
Wajuvi nipeni muongozo na ushauri
Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?.
Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la Kampuni ya Osaka lililokuwa likielekea Dar es Salaam, ambapo ilisababisha kifo...
CAREER SPECIALIZATION, PROFESSIONAL GROWTH, AND MARKET VALUE
The world has changed significantly, and no one will value your education (profession) alone. Employers today do not hire based solely on academic qualifications, although they still look for some connection to professional...
Vituo karibu vyote vya redio pamoja na vya madhehebu ya dini vimehamia kwenye mpita.
Vituo hivyo, mbaya zaidi, kuanzia asubhi mpaka usiku wanajadili timu mbili za Kariakoo.
Inasemekana vijana wanaojadili mpira mpaka kusahau wake zao na kuchapiwa na wasio washabiki wa mpira ni wengi na wangeweza...
Ninamshangaa yeye na walio nyuma yake kwa kupinga mchakato wa uteuzi wa mwenyekiti kuwa mgombea wa urais uchaguzi 2025....
Niwafikirishe hivi ;
Ikiwa utaratibu wa "awamu mbili" ni ada na kawaida isiyo ndani ya katiba iweje leo tuikimbilie KATIBA ya chama kwa kuwahoji wale walioisigina ...
Millie na Christine McKoy walikuwa mapacha wa Kiafrika walioungana waliozaliwa Julai 11, 1851, na Jacob na Monemia McKoy, ambao walikuwa watumwa.
Waliuzwa mara tatu kati ya umri wa miezi 6 na miaka 6. Walikuwa wameungana kwenye uti wa mgongo wa chini. Ili kudhibiti mwendo wasianguke watembeapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.