Ikiwa utatangaza nia yako ya kuuangamiza ouvu, tambua ya kuwa hayatakuwa mapambano ya wazi. Mchezo wa ouvu ni wa vita ya kisaikolojia, si vita wa kimwili.
Unasema utauangamiza uovu. Uovu hautopinga azimio lako. Badala yake, utakupatia zana na rasilimali nyingi zinazoonekana kutokuwa na mwisho...