Mshahara laki mbili mkoani, au nijilipue Dar?

Mkuu komaa mkoani kwanza, huko uki jiongeza una pata ka msingi ka kuongeza side hustle.

Dar wapo wanao ishi kwa hadi 150k, ila mazingira yalisha jiseti kidogo kuliko we wa kuja bila ramani.

Tafuta madogo 2-3, nunua mayai ya kuchemsha wape wazungushe.
Kijijini nani anunue mayai na kila mtu anayo?
Anapajua kijijini kweli?
 
Umesomea nini?
Unaujuzi gani?
Umri wako?
Unapenda kufanya nini zaidi?
Ukifika downtown nakianzio?
1.Maendeleo ya jamii
2.ujuzi udereva class D na A², computer application
3.umri 27
4.Napenda kufanya chochote kinachoingiza pesa ila napenda kuhustle night kali mchana nk
5.kianzio Nina Kodi na akiba ya 200k

Karibu kwa mawazo mengi mengi mkuu
 
Mkuu komaa mkoani kwanza, huko uki jiongeza una pata ka msingi ka kuongeza side hustle.

Dar wapo wanao ishi kwa hadi 150k, ila mazingira yalisha jiseti kidogo kuliko we wa kuja bila ramani.

Tafuta madogo 2-3, nunua mayai ya kuchemsha wape wazungushe.
Ushauri mzuri nitafanyia KAZI
Karibu kwa mawazo zaidi
 
Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili

Miaka 25
Elimu shahada

Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha???

Ahsante

Hakunaga mshahara WA laki mbili Zama hizi mkuu.

Shahada
Miaka 25
Kijana(mwanaume)

Hiyo pesa ni ndogo haikufikishi hata robo ya popote.

Huwaga nasema kama malipo ya kazi hayafiki angalau 500k Bora ujiajiri hata kuuza karanga, udalali, uwinga, n.k.
 
Nenda kafanye hyo kazi kwanza, Mawazo mengine utayapaya huko huko.

NB: nimekumbuka mbali sana, Mshahara wangu wa kwanza nililipwa hyo 200,000/= baadae wakaniongezea ikawa 300,000/= baada ya miezi mitatu nikaonhezewa ikawa 450,000/= Na baada ya mwaka nikaacha kwenda kufanya kazi kwingine.

Kama huna mishe nyingine we nenda tu, na ujitahidi utoke hapo kwenu.
 
Upo sahihi mkuu
Karibu napokea ushauri wako kaka
Karibu
 
Nenda kafanye hyo kazi kwanza, Mawazo mengine utayapaya huko huko.

NB: nimekumbuka mbali sana, Mshahara wangu wa kwanza nililipwa hyo 200,000/= baadae wakaniongezea ikawa 300,000/= baada ya miezi mitatu nikaonhezewa ikawa 450,000/= Na baada ya mwaka nikaacha kwenda kufanya kazi kwingine.

Kama huna mishe nyingine we nenda tu, na ujitahidi utoke hapo kwenu.
Kwasasa sipo nyumbani tayari nipo kwnye hiyo kazi ila ndio napata mawazo kuja dar nikiamini harakati ni nyingi huko
 
Back
Top Bottom