mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand: Kwa sasa naingiza fedha mara mbili ya nilivyokuwa nalipwa Man United

    Beki na nahodha wa zamani wa Manchester United na England, Rio Ferdinand ameweka wazi kuwa kwa sasa kazi zake zinamfanya alipwe kiwango kikubwa mara mbili ya kili alichokuwa akikipata alipokuwa akiitumikia klabu hiyo. Akiwa United alikuwa alilipwa Pauni 120,000 (Tsh. Milioni 422.5) kwa wiki...
  2. JamiiForums Tanzania Juma na Ali Safari Mbili za Maisha

    Maisha ni kama hadithi Pindi tu unapozaliwa, ukurasa mpya wa hadithi hufunguliwa Unajikuta kwenye dunia ukiwa mgeni kabisa, na jambo la ajabu zaidi ni kwamba hujui ulipotoka Ukiachana na simulizi za Biblia na Qur’an, bado huna uhakika mkubwa kuhusu safari yako ya kuja hapa duniani wewe ni...
  3. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao cha Thelathini Na Mbili Tarehe 19 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=e57lhdpRXFg
  4. JamiiForums Tanzania WATANZANIA kwa hizi Tume mbili haifai tuamini hakutoa amry yamauaji ILA aliujumiwa na hasio wajua?

    Mpaka Leo Samia suluhu hajui aliyetoa amri ya mauaji ni nani, JE watanzania hatuamini yakuwa mama yetu kipenzi hakuusika katika ushenzini huu? Nakutabilia ushindi mama Samia jipange icc court
  5. JamiiForums Tanzania Temeke: Ukidakwa na hawa Wrong Parking unalipishwa laki mbili Papo kwa papo! Muda wa mavuno kwa Watawala

    Kwanza Kabisa Bandari ipo Temeke, Uwanja wa Ndege Temeke, Uwanja wa Taifa Temeke. Lakini wamekosa ubunofu wa kukusanya kodi, wanaamua kukudandia ukipark kidogo tu gari inabebwa unapigwa faaini. Kwamba ndo ubunifu wa kuingiza kipato Halmashauri. Ukiwauliza Parking kwa Temeke zipo wapi hata za...
  6. JamiiForums Tanzania NIMENUSURIKA MARA MBILI KUBAMBIKIWA MIMBA ZISIZO ZANGU, EEH MOLA NIEPUSHE INSHAALLAH

    Sitaki hata kuwapa salama pliz nimevurugwa. kwa jina naitwa, zachariano alexido. Picha la kutisha linaanzia chugastani, mtoto mzuri Moja mdogo wake na aliekua meneja wetu, mtoto wa kitanga, kanikubalia tuwe pamoja. Sijui ni nini tu kilinifanya nisikaze kumla hako katoto umri miaka kumi na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunalipa nauli mara mbili kutoka Tandika kwenda Pugu, hii sis awa

    Nauli ya kutoka Tandika kwenda Pugu imekuwa ni kubwa sana, ukipanda bus Tandika linaishia Gongolamboto then tunalipa Shilingi 900 kisha ukifika Gongolamboto wanatushusha wanaanza kupakia tena kwa kutumia nauli ya shilingi 700, so jumla tunatumia shilingi 1,600 kutoka Tandika kwenda Pugu
  8. JamiiForums Tanzania Uraia wa nchi mbili ni sawa ila sio kwenye uongozi na utumishi wa umma

    Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili. Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia...
  9. JamiiForums Tanzania Mnaonaje timu mbili zikicheza dhidi ya moja.

    Kwa zile timu dhaifu ambazo kila mara huwa zinafungwa ili kuwepo na usawa. Mnaonaje timu mbili zikacheza dhidi ya moja . Yaani mfano simba icheze dhidi ya jkt na pamba. Au Man City icheze dhidi ya Brighton ba Leeds. Brazil dhidi ya Rwanda na Burundi yaani kuwe na fareness kidogo .
  10. JamiiForums Tanzania Wairan wenyewe ni mashabiki wa US na Israel ila wewe mwenzangu wa daraja mbili unalaani vikali matendo ya mabwenyenye😁😁

    Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
  11. JamiiForums Tanzania binadamu walikua wanalala mara mbili, badala ya masaa 8 mfululizo tunayoshauriwa sasa

    Kuamka saa 9 usiku (3 a.m.) si tatizo. Ni mabaki ya mfumo wa kale wa usingizi uliowahi kuwa wa kawaida kwa binadamu. Kabla ya wazo la kisasa la kulala saa nane mfululizo, usiku wa binadamu ulikuwa umegawanyika katika sehemu mbili. Mwanahistoria Roger Ekirch ameonyesha kupitia zaidi ya...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna namna yale maeneo ya dada zetu yamekua sugu sana hasa hawa wa buku mbili

    Kwa masikitiko makuu Mwanaume ukipewa kula na ukishiba ondoka zako Ndugu zangu, dada zetu wa siku hizi wamekua sugu sana yale maeneo hata usugue papuchi kiasi gani hakika unakua kama hakuna ulichokifanya huku wewe ukiwa hoi taabani, 1: kuna kila sababu ya kuwaza na kukubaliana kwamba asilimia...
  13. JamiiForums Tanzania Mshahara laki mbili mkoani, au nijilipue Dar?

    Kwasasa Niko mkoani nyumbani kabisa nilipozaliwa mshahara kazi laki mbili Miaka 25 Elimu shahada Je ni Bora kukomaaa Huku huku au nijilipue TU Dar es salaam kutafuta maisha??? Ahsante
  14. C

    JamiiForums Tanzania mtu ajaribu kuni mention mara mbili au tatu kwenye post moja

    kuna utafiti naufanya, naomba kuwashirikisha watafiti wenzangu katika research hii muhimu hapa jukwaani. hivyo kwa heshma na taadhima naomba mtu ataae ni mention kwenye post yeyote zaidi ya mara moja. na pia nitawaletea mrejesho baada ya kukamilisha utafiti huu.
  15. JamiiForums Tanzania Russia & US: Hebu soma kwa makini ili ujue kipi cha kujifunza kati ya hizi nchi mbili zenye nguvu duniani

    Niaje waungwana Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea. Njia ya kwanza ni Russia. Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha lengo wala nia ya kutaka vita hiyo isimame. Vita hiyo iliyoanzishwa na Russia yenyewe ikiongozwa na...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wiki mbili zijazo nina safari ya kwenda Pennsylvania

    Kutokana na safari yangu ambayo ni wiki mbili zijazo sitaki kwenda mwenyewe nataka nipate mwanadada wa hapa JF ikipendeza awe Mod kama yupo Kwa hiyo wanadada wa huku kama hujawahi au unataka kusafiri kuelekea Pennsylvania kwaajili ya kurefresh kwa siku kadhaa na kurudi Tz, basi utaniambia ili...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi Shilingi mia mbili za sasa hivi mnazielewa wakuu?

    Samahani wakuu Kwa wataalamu naombeni msaada ufafanuzi kuhusu hizi shilingi mia mbili za Sasa hivi ni kama Kuna kitu kimepunguzwa. Yaani zinalia kama bati tu la kawaida siyo kama zamani. Kule zinakotengenezwa Kuna madini au Kuna mabadiliko fulani yamefanyika? Pia soma: Sarafu bandia za 200 ni...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utozaji mara mbili wa Ushuru wa stendi (Double Taxation): Stendi ya Mabasi Nyegezi

    Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu. Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia Ushuru sh 300. Kuhoji naambiwa ety Kodi hiyo ni ya halmashauri ya Jiji la Mwanza. Jambo kama hili...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Gongo la Mboto maeneo ya Bomba Mbili - Njia Nne Mbondole ni mbaya na inatugharimu sana

    Hili ni barabara iliyopo Gongolamboto maeneo ya Bomba Mbili kuelekea Njia Nne Mbondole, njia ni mbaya kuanzia Moshi Bar hadi unafika Njia Nne, ili uweze kufika eneo hilo unatakiwa kufika hadi Gongolamboto Kituo cha Mombasa ndipo ilipo njia ya kuelekea Bomba Mbili. Kiukweli Wananchi tunateseka...
  20. JamiiForums Tanzania Mbuzi mwenye jinsia mbili (kike na kiume) kufanyiwa Maombi

    Tukio la kuzaliwa kwa mbuzi mwenye viungo vya jinsia zote mbili (kike na kiume), limeibua mshangao na taharuki kwa wakazi wa Mtaa wa Nyantorotoro B, Kata ya Nyankumbu, Manispaa ya Geita, huku mmiliki wa mbuzi huyo akimtelekeza kwa balozi wa shina ili apatiwe maombi, akiamini huenda angeweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…