mbezi beach

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Uhalifu Kawe na Mbezi Beach Mamlaka za Usalama chukueni hatua

    Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
  3. P

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yanatoka Mbezi Beach lakini presha ni ndogo sana hata kama una tenki la akiba ni kazi bure, maeneo mengine Dar hali ikoje?

    Wakuu kwema, Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile, ndogo sana. Mpaka leo hii maji yanatoka kidogo kidogo sana kiasi kwamba hata kama mtu una tenki la...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Responded Hatimaye maji yameanza kutoka Mbezi Beach kwa Zena, JF mbarikiwe

    Wakuu, kumbe vitu vikiruka kupitia JF mambo yanaenda eeeh? Baada ya JF kurusha maji yamerejea, hapa ndio pa kuleta kero zetu Wakuu. Tukaoge vizuri na kuosha vyombo vichafu vya siku mbili. JF iishi milele🔥🔥🔥 Pia soma: KERO - Mbezi Beach kwa Zena hatuna maji siku ya 3 leo tatizo ni nini?
  5. P

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mbezi Beach kwa Zena hatuna maji siku ya 3 leo tatizo ni nini?

    Wakuu kwema? Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji. Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA? Ni kama mmetuamulia wakazi wa huku, haipiti muda lazima tupate changamoto ya kutokuwa na maji kwa siku...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa furniture maeneo ya Mbezi Beach

    Natafuta fundi wa furniture mzuri awe dar eneo la kazi Mbezi Beach kwa ajili ya kufanya nae kazi ya kutengeneza furniture's mbali mbali vifaa nahitaji
  7. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Rent Mbezi Beach: 2 Storeys Standalone House For Rent - Dar

    • Direction: Sea Side • Facilities: 4 bedrooms, 5 washrooms, swimming pool • Rent: USD 3,500/month (payment in TSH accepted) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba ya ghorofa 1 ✓ inapangishwa na samani zake ✓ Vyumba vinne self, sebule, jiko, dinning, public washroom, Stoo ✓ madirisha vioo...
  8. complex31

    JamiiForums Tanzania Interchange ya MWENGE na MOROCCO imepotelea wapi?

    Habari, Kwa watumiaji wa barabara ya Bagamoyo, Ali Hassan Mwinyi pamoja na viunga vyake vya Sam Nujoma kuna ujenzi unaendelea wa BRT phase ya 4. Awamu iliyopita bwana Humphrey PolePole alisema kua kuna Interchange zitajengwa Makutano ya Bagamoyo na Sam Nujoma Road (Mwenge) Makutano ya Ali...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania IGP to polisi wa Kawe watu wanakufa maeneo ya Mbezi Beach Rainbow mpaka Tanki Bovu

    Mh. IGP shkamoo popote ulipo. Naomba nikujuze tu, kuna watu wamekufa ndani ya wiki hii na haijaandikwa kwa magazeti. Wapo waliokatwa mapanga nayo haijaandikwa popote. Mh. IGP kutokea Rainbow mpaka Tanki Bovu hali si sawa baba yetu, watu wanauawa, wanakatwa mapanga sana. Mbaya zaidi ni mita 30...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

    DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya? Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi...
  11. dalaliadam

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach Tsh Milioni 150

    #001. NYUMBA YA VYUMBA 3 (KIMOJA MASTA) SEBULE, SEHEMU YA KUPATA CHAKULA, JIKO NA CHOO CHA FAMILIA. LOCATION- MBEZIBEACH GOIGI MITA MIA KUTOKA BAGAMOYO ROAD BEI - TSHS 150,000,000/= (MAONGEZI YAPO) UKUBWA WA ENEO - 441 SQM UMILIKI - NI HATI SAFI YA WIZARA MAELEZO ZAIDI - 0679268006 HII...
  12. P

    JamiiForums Tanzania KERO Shukran DAWASA kurekebisha palipokuwa na shida hadi kutengeneza shimo, TARURA lini mtakuja kuweka lami/zege maeneo ya Mbezi Beach kwa Dr. Hiza?

    Wakuu, Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi soma hapa: Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali mnasubiri mpaka sehemu hii ya barabara iwe handaki? Ni kero kubwa kwa wakazi wa Mbezi Beach

    Wakuu, Kipande hiki cha barabara ni maeneo ya Mbezi Beach Dar upande wa chini, ambako si mbali sana kutoka ilipo supermark ya Shopaz (kwa ambao si wenyeji wa maeneo haya), kipande hiko cha lami kinachoonekana hapo mwisho kwenye video ndio kinashuka na kupita ilipo supermarket ya Shopaz. Sehemu...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  15. P

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA mna nini na wakazi wa Mbezi Beach? Hatuna maji siku ya 3 sasa

    Wakuu salam, Wakazi wa Mbezi Beach hatuna maji ni siku ya tatu sasa, kuna nini? Au kuna matengenezo yalitangazwa na yamenipita? Maana sijasikia popote, hata kama kuna matengenezo ndio siku tatu jamani? Mnafikiri tunaishije? Halafu maji hayajaacha kuwa na machafu/vumbi! Sasa vumbi kwenye maji...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa jinsi ya kufika Chanika kutokea Mbezi Beach usafiri wa daladala

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa kwa mtu aliye Mbezi Beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala . Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya photoshoot wasiliana nami

    Kwa maitaji ya photoshoot wasiliana nami stoney lens kupitia namba 0654726672 kwa wàle wote ndani na nnje ya nchi ila napatikana Dar es salaam Tanzania
  18. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA maji ya makazi mapya Mbezi Beach yana udongo mwezi sasa, nini shida?

    Nimejaribu kuwasiliana kiofisi nikahisi kuna marekebisho yanafanywa, sasa naona imekuwa kero. Wananchi wa makazi mapya Mbezi Beach wanateseka na maji ya udongo mwezi sasa. Kila bomba ukichota ndoo imejaa udongo, kutumia maji ni mpaka usubiri yatulie uchuje. Mnatupeleka wapi maana hatujui...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Mbezi Beach tunapata maji ya bomba machafu, na yana harufu mbaya. Mlipuko wa magonjwa unakuja

    Habari JF, Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya. Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na tatizo hilo nikitaka kufahamu huenda ni mimi tu, naye akasema yapo hivyo na kwake pia (maji yalikatika...
Back
Top Bottom