mbezi beach

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika hilo Jengo lililobomolewa mwaka 2014 hapo Makonde jirani na Shekinah Garden linaachwa ili lipendezeshe Jiji na Mbezi Beach au?

    Haiingii Akilini nililishuhudia likibomolewa mwaka 2014 cha Kushangaza hadi leo mwaka 2022 lipo vile vile na kama Mwenye Jengo kaamua Kulisusia au Mamlaka nayo imeamua Kulisusia. Tafadhali Mamlaka husika ama mumwambie mwenye Jengo alijenge upya au kama sasa lipo chini ya Mamlaka basi...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ajali ya magari junction ya Salasala, Mbezi Beach na Kunduchi

    Hii imetokea leo asubuhi Salasala junction, Mbezi Beach/Kunduchi. Ile down ya Kunduchi, gari inaelekea imefeli breki.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa njema ya kuanza kunyesha mvua muda huu Maeneo ya Mbezi Beach

    Muda huu ni majira ya saa 8:33 usiku Manyunyu yameanza kudondoka taratibu Hali ya hewa imeanza kupoa taratibu kidogo Tunasema kuwa Mungu ni Mungu kwani amesikia maombi yetu Tupeni taarifa za maeneo mnayoishi hali ikoje Aksanteni
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ajali za Bodaboda ni janga la taifa. Ajali nyingi kwa Dar ni Barabara ya Bagamoyo maeneo ya Mbezi Beach, Tegeta na Goba

    Kwa kweli wadau wa JF ajali za Bodaboda boda zitatumaliza. Kwa muda mfupi jijini Dar es Salaam kumetokea vifo vingi na ulemavu vilivyosababishwa na ajali za bodaboda. Usafiri huu unapendwa sana na akina dada lakini ni hatari sana kwani madereva wengi wa bodaboda hawana leseni na hawafati...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kidada cheupe pale TANESCO Mbezi Beach Afrikana nani anakipa jeuri namna ile?

    Kama mwezi hivi umepita! Baada ya kusikia bei ya umeme imeshuka, Nilimtuma mdogo wangu kuomba umeme pale afrikana Tanesco! Kwasababu nyumba ile anaishi mdogo wangu, hivyo nikamwambia aingize umeme kwa jina lake! Dogo alipofika pale ili kuchukua fomu, Alikikuta kidada cheupe hivi kina nywele...
  6. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Tunauza Vitu mbalimbali (Magari, Nyumba, Mashamba na Viwanja)

    Toyota Rav4 Old Model Model 1998 Engine 3S Cc 1990 Kilometer 82095 Colour Silver New Tyres & Rims Price 14.5ML simu 0677 818283
  7. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach - Africana (upande wa bahari)

    Kiwanja kipo Mbezi Beach Africana upande wa chini. Kina ukubwa wa sqm 800, HATI IPO Bei ni milioni 130 tu. WAHI SASAA. MAWASILIANO 0677 818283
  8. L

    JamiiForums Tanzania Bar zinavyochipuka ukanda wa Mbezi Beach

    Kwanza naunga mkono kauli ya RC mstaafu wa Mwanza kuwa "watu wanywe bia maana bia ni uchumi" Lakini pamoja na hilo siku za karibuni kumeibuka mfululizo wa bar ukanda wa mbezi beach ya chini hali inayopelekea mtaa kukosa utulivu hii imepelekea hata baadhi ya wasanii kuhama mjini sinza na kufata...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tanki Bovu maeneo ya Puma na Rainbow sio salama tena kutembea usiku

    Majuzi nilikuwa natoka msibani saa sita usiku kuelekea home. Nilipofika puma Tanki Bovu nashuka kuelekea Rainbow nilichokiona ni hatari kwa bahati mbaya sikuwa na uwezo wa kuwasaidia Pale kona ya Makaburini Luventry nilikuta kijana mmoja na Girlfriend au Mke wake wamekatwa mapanga...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  11. P

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Mbezi Beach

    NYUMBA
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Shule ya Msingi ya Kikristo iliyopo Goba, Mbezi, Madale, Kunduchi au Mbezi Beach

    Wadau, Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu shule ya namna hii iliyoko eneo lolote jingine Dar es Salaam. Naomba pia kufahamishwa ingawa kipaumbele...
  13. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
Back
Top Bottom