mbeya

  1. GE2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

    Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli. Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa...
  2. GE2020 Baraza la Uongozi la CHADEMA Mkoa wa Mbeya lakutana na watia nia wa Ubunge na Udiwani

    Huu ni ushahidi mwingine kwamba sasa kumekucha , na kwamba kama kuna anayedhani ccm itaambulia chochote Mbeya basi bila shaka atakuwa amelogwa
  3. GE2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

    Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini niliwahi kuandika kuwa Sugu ASIMBEZE DR TULIA.... Niwakumbushe kidogo, bado msimamo wangu na analysis...
  4. GE2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

    Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo. Kila la heri watia nia.
  5. Hivi ni kweli Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya CHADEMA au kuna jambo limejificha?

    Kuna mjadala unaendelea kwamba Mbeya inanyimwa maendeleo sababu ya Chadema, kwahiyo akipewa Dkt. Tulia, Mbeya itasonga mbele. Kuna wemgine wanapinga wanasema kama suala ni Chadema mbona Arusha, Moshi, Kawe, Ubungo nk kuna miradi mikubwa tu imejengwa na serikali wakati wabunge wa hapo ni...
  6. GE2020 Mbeya bhukile : Mabaraza ya Majimbo yaanza kuwahoji watia nia kwa lengo la kuchuja pumba na mchele

    Chadema Mkoa wa Mbeya imeanzisha program maalum kwa ajili ya kuwasaili Watia nia wote kwenye Udiwani ili kufahamu uwezo , dhamira na uaminifu wao kwa chama na wananchi kwa lengo la kuwapata wagombea bora wasio mamluki .
  7. Tuhuma za matumizi mabaya ya fedha: Wabunge wa CHADEMA waanza kuhojiwa TAKUKURU

    Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika. TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika...
  8. Ajali Mbeya: Mmoja afariki na wengine wanne wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Hiace na Lori la mafuta

    Kumetokea ajali asubuhi ya leo Juni 07, 2020 katika eneo la Mbembela jijini Mbeya iliyohusisha gari dogo la abiria aina ya Hiace, lori la mafuta, lori la bidhaa na Bajaji. Katika ajali hiyo Mtu mmoja amefariki na wengine wanne kujeruhiwa baada ya lori hilo lililokuwa limebeba mafuta kufeli...
  9. Kwanini Mbeya waweze Mwanza mshindwe?

    Iweje jiji dogo kama la Mbeya waweze kuwa na usafiri hadi jioni lakini jiji kubwa kama Mwanza washindwe kuwa na usafiri wa uhakika wa kutoka Mwanza -Dar (jioni) Sio wote tuna uwezo wa kukwea mwewe jamani. wekeni coaster jioni jamani walau mara 2 kwa wiki! Wadau wa usafirishaji hii imekaaje...
  10. RC Mbeya ateka Mafarisayo mchana kweupe

    Katika hali ya kushangaza ulimwengu, mkuu wa mkoa wa Mbeya ndugu Chalamila, amekusanya mafarisayo na masadukayo kuiombea na kuzindika ujenzi wa ofisi mpya Toya mkuu wa mkoa baada ya ile ya awali iliyojengwa na Wajerumani mwaka 1952 kuvunjwa. Maajabu ni pale Sadukayo mmoja alipokuwa akisali...
  11. Hivi hii njia ya Mbeya Singida inapita wapi

    Nataka kujua hii njia ya kushoto yenye blue kwenye Ramani kutoka Mby kwenda Sngd inapita mikoa gani pia nataka kujua route ipi ni convenient kati ya hii na ya kulia kupitia Iringa - Dodoma- Manyoni- Singida kutokea Mbeya Singida - Mbeya route Mbeya - Iringa - Dodoma - Manyoni - Singida...
  12. J

    RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

    Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar. Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku. Amemalizia kwa kusema Mbeya...
  13. B

    CCM Mbeya yalaumiwa kwa kukosa utaifa

    May 15, 2020 MWASISI wa shirikisho la Vyuo na vyuo vikuu, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Amani Kajuna amesema Jimbo la Mbeya kuendelea kushikiliwa na chama pinzani ni kutokana na baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi CCM kuweka...
  14. RC Chalamila: Ningekuwa Spika ningewacharaza bakora wabunge wa upinzani walioacha kuhudhuria Bunge, wana hoja za kitoto

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema angekuwa Spika wa Bunge, angewacharaza bakora wabunge wa vyama vya upinzani waliotoka Bungeni wakishinikiza vikao vya Bunge viahirishwe kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona. "Simfundishi Spika kazi lakini ningekuwa mimi ndio Spika...
  15. Heri ya siku ya kuzaliwa Mh Sugu , Mbunge uliyechaguliwa kwa kura nyingi kuliko Wabunge wote Africa , Mbeya inakutegemea mno

    Wewe kijana Mungu akupe Maisha marefu mno , umeileta heshima kubwa sana Mbeya , umeiondoa kutoka kwenye utumwa wa wananchi kuabudu viongozi na sasa tunaona viongozi wakipiga magoti kuwaabudu wananchi . Wewe ni Rais wa Mbeya , tunakuahidi lundo la kura OCTOBER ili uendelee kuwanyuka ngumi za...
  16. JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Na Thompson Mpanji,Mbeya. JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19. Mwandishi wa Habari hizi ameshuhudia Baadhi ya Askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Usalama Barabarani katika vituo vya Nane...
  17. Masihara dhidi ya COVID-19 yamtokea puani, adakwa na Polisi

    Polisi Ruvuma wanamshikilia Ibrahimu Bukuku kwa kusambaza ujumbe WhatsApp kupotosha kuhusu dawa ya Corona, ukisomeka, " Dawa ya corona twanga pilipili kichaa sufuria 1 halafu changanya na maji vikombe 5, kunywa kutwa mara 7 kwa siku 3, siku ya 4 chuma upupu kisha jipake". Jeshi la Polisi...
  18. Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

    Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
  19. J

    Mpya: Askari polisi wa kituo cha Mbalizi Mbeya wafanya Ibada kituoni kuomba Mungu atuepushie janga la Corona

    Askari polisi wa kituo cha Mbalizi mkoani Mbeya leo wamefanya Ibada kituoni hapo kutimiza maelekezo ya Rais Magufuli ya kufanya maombi dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Ibada hiyo iliongozwa na mkuu wa kituo afande Lusekelo na kuhudhuriwa na mkuu wa wilaya. Source ITV habari. My take; Tukio hili...
  20. Anahitajika full technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering

    Kampuni ya Ukandarasi iliyopo mbeya inahitaji. -Full Technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering. -Lazima awe registered na Bodi ya Wahandisi yaan ERB -Ajira ni ya Mkataba wa miezi 4 hadi 6. -Uzoefu miaka mitatu nakuendelea wa kusimamia barabara. -Mshahara kulingana na Maelekezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…