Mbeya, Ooh! My dear Mbeya!

Mwalaye

Senior Member
Jun 17, 2021
171
232
Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa.

Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!
 
Wapi Nzovwe! Wapi Kalobe! Wapi Mbembela! Wapi Mwanjelwa, wapi ukumbi wa Dhando! Sokomatola, Meta, Mama John, Mbalizi, Simike, dah!! Mbeya patamu sana.

Niliishi hapo miaka 20 iliyopita. Na nilikuwa ni mteja mzuri sana wa kile kipimo cha Ndonya wakati nanunua mchele, nk.
Kweli wewe uliishi miaka 20 iliyopita, ukumbi wa Dhando?! A long lost memory.
 
Wapi Nzovwe! Wapi Kalobe! Wapi Mbembela! Wapi Mwanjelwa, wapi ukumbi wa Dhando! Sokomatola, Meta, Mama John, Mbalizi, Simike, dah!! Mbeya patamu sana.

Niliishi hapo miaka 20 iliyopita. Na nilikuwa ni mteja mzuri sana wa kile kipimo cha Ndonya wakati nanunua mchele, nk.
Pale ilomba nimenunua sanaaaaa ndonya zile na dox nimeuza sanaaaa mtumba wa kurusha mpaka soko linaungua nikaamua kubadili maisha
 
Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa.
Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!
ulizaliwa na kukulia eneo la wezi, wavuta bangi na wachawi. Nonde ni sehemu hatari mno ambayo serikali inatakiwa kulitwaa na kufuta nyumba zote ijenge nyumba za serikali, kwasababu pamejaa harufu ya uovu wote.
 
Wapi Nzovwe! Wapi Kalobe! Wapi Mbembela! Wapi Mwanjelwa, wapi ukumbi wa Dhando! Sokomatola, Meta, Mama John, Mbalizi, Simike, dah!! Mbeya patamu sana.

Niliishi hapo miaka 20 iliyopita. Na nilikuwa ni mteja mzuri sana wa kile kipimo cha Ndonya wakati nanunua mchele, nk.
Mbona hujaitaja Iyunga mkuu?
 
Wapi Nzovwe! Wapi Kalobe! Wapi Mbembela! Wapi Mwanjelwa, wapi ukumbi wa Dhando! Sokomatola, Meta, Mama John, Mbalizi, Simike, dah!! Mbeya patamu sana.

Niliishi hapo miaka 20 iliyopita. Na nilikuwa ni mteja mzuri sana wa kile kipimo cha Ndonya wakati nanunua mchele, nk.
Hahaha ukumbi wa dhado ni moja ya kumbi maarufu mbeya enzi hizo ila saiz yamekuwa makazi ya popo
 
ulizaliwa na kukulia eneo la wezi, wavuta bangi na wachawi. Nonde ni sehemu hatari mno ambayo serikali inatakiwa kulitwaa na kufuta nyumba zote ijenge nyumba za serikali, kwasababu pamejaa harufu ya uovu wote.
Umenikumbusha Nairobi maeneo ya embakasy mpaka nyayo estate miaka ya 1994s kulivyokuwa but now kama no vibaka serikali ilijenga apartment za walalahoi.
 
Back
Top Bottom