mbeya

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mbeya umeme unakatika kila siku zaidi ya masaa matano, mnatuumiza

    Habari wana jukwaa, Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana. Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu...
  2. JamiiForums Tanzania Mbeya: Bibi ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa mwaka mmoja kwa kumkata kwa jembe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia bibi mmoja aitwaye MALOGI LUOBELA [75] Mkazi wa Kijiji cha Ikoho Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumuua mjukuu wake aitwaye VISION ERICK mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitano kwa kumkata kwa jembe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tulia ni mali kwa Jimbo la Mbeya hebu ujivunie na turinge naye

    Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya mimi siwezi kueleza nikaeleweka vizuri. Kwa sasa alama anazozitengeneza Dr. Tulia Ackson hususani kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Mashindano ya siku Tatu ya drafti kitaifa yameanza leo huko Chunya, Mbeya. Leo yamechezwa makundi na 16 bora. Walioingia 16 bora ni hawa. RATIBA RASMI YA MASHINDANO YA DRAFTI KITAIFA IMESHATOKA. YATAANZA RASMI TAREHE 30 AGOSTI 2023 HADI 01 SEPTEMBA 2023. MASHINDANO YA KUMTAFUTA BINGWA WA...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nionavyo: RC Mbeya hakutakiwa kuchukua uamuzi Sasa wakati ripoti ya uchunguzi kuhusu ufisadi wa Mbeya haijatoka

    RC ambaye ni Mwenyekiti wa vikao vya RCC ameshindwa kuyaona yaliyokuwa yanaendelea mkoani Mbeya ,mpaka Rais aliseme hii inaonesha utendaji wake unatia mashaka. Baada ya Rais kujua juu ya ufisadi akaunda tume kuchunguza suala hilo na mpaka hapo hatukusikia RC akichukua hatua zozote Kwa wahusika...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hili la Mbeya, wafanyakazi kuiba mapato ya Serikali, linasitua sana

    Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana. Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali! Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa. Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani! Tumeshaanza kula mabua!
  8. JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

    Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo. Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  10. JamiiForums Tanzania Mwakyembe alimtembelea Dr. Slaa Serena Hotel, lakini Kashindwa Kumtembelea Korokoroni Polisi Mbeya

    Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo. 2015 wakati Dr. Slaa anajiondoa CHADEMA, Mwakyembe alienda Serena Hoteli Dar es Salaam kumpongeza na kudai ni...
  11. JamiiForums Tanzania CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao chake maalum, kilichofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, leo Alhamis, Agosti 17, 2023. Pamoja...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

    Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili. Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo . --- Zaidi ya mawakili 100 kutoka...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa, Mwambukusi na Mdude kufikishwa mahakamani Mbeya

    Philipo Mwakilima ambaye ni Wakili wa Wakili Boniface Mwambukusi na Mdude Nyangali amesema kuwa taarifa alizopewa na maafisa wa Jeshi la Polisi ni kuwa wateja wao ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya uhaini pamoja Dk. Slaa wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani Mkoani Mbeya hii leo Agosti 16, 2023...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

    Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao. Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya. Dr. Ulimboka...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbali, lakini ulichofanya Nanenane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbaki lakini ulichofanya nane nane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  17. JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  18. JamiiForums Tanzania Hukumu ya bandari Mbeya yamuibuwa mwanazuoni mbobezi wa IGA duniani Johanne Poirier

    Johanne Poirier Full Professor Peter MacKell Chair in Federalism New Chancellor Day Hall 3644 Peel Street Room 604 Montreal, Quebec Canada H3A 1W9 514-398-3296 [Office] Email Website: Peter MacKell Chair in Federalism List of Publications Recent media appearances The Sunday Magazine (hosted...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie Watoza Ushuru wa Mbeya wanatunyanyasa Wafanyabiashara wa mbao

    Sisi Wafanyabiashara wa mbao tuliopo Mbalizi, Mbeya Vijijini tuna malalamika kuhusu Watoza Ushuru wanaosimama kwenye mageti. Wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kutaka kutupiga faini na kututaka tukate ushuru wa TP (Transportation Permit) mara mbilimbili. Utaratibu uliopo tunaopewa na Wakala...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia ameliheshimisha Jiji la Mbeya. Sasa linasikilizwa na kupewa heshima yake

    Ndugu zangu Watanzania, Ujio wa Dkt Tulia Jimbo la Mbeya umekuja na neema na umekuwa wa Baraka.Sasa jiji Linasikilizwa masikioni mwa viongozi wakuu wa serikali,sasa linapewa majibu ya kueleweka kutoka serikalini,sasa linapewa hadhi na heshima yake ya kuwa jiji,sasa lina kumbukwa ,sasa lipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…