Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbaki lakini ulichofanya nane nane Mbeya Mungu anakuona

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
237
239
Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru.
Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae uliowasemelea Kwa Rais wamevamia eneo la Taasisi Kilimo Uyole..sijui kama umefanya research ya kutosha juu ya huu mgogoro huu ambao una miaka zaidi ya 50. Lukuvi anaujua vizuri ndiyo maana aliongea hadharani kuwarejeshea wananchi maeneo Yao akisema kwamba ametumwa na Rais wa wakati huo. Mgogoro huu ulishaisha lakini Kwa makusudi umeufufua. Na kama au busara ya Rais Samia pale nane nane uliwachomea wananchi hai ambao hawana kosa lolote.
Mheshimiwa Bashe hai vijana wanajeshi wanaojenga ukuta eneo Hilo ungewasimamisha kwanza kama alivyoagiza mheshimiwa Rais kwamba mazungumzo yaendelee kutatua mgogoro huu.
 
Back
Top Bottom