Dkt. Tulia ameliheshimisha Jiji la Mbeya. Sasa linasikilizwa na kupewa heshima yake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,290
9,720
Ndugu zangu Watanzania,

Ujio wa Dkt Tulia Jimbo la Mbeya umekuja na neema na umekuwa wa Baraka.Sasa jiji Linasikilizwa masikioni mwa viongozi wakuu wa serikali,sasa linapewa majibu ya kueleweka kutoka serikalini,sasa linapewa hadhi na heshima yake ya kuwa jiji,sasa lina kumbukwa ,sasa lipo katika mipango Kede Kede ya serikali,sasa linasogezewa na kupewa kila aina ya miradi ,sasa linasikika na limetulia muda wote baada ya kutulizwa na Dkt. Tulia.

Yote hayo yanafanyika, kutokea na kutekelezwa jijini Mbeya kwa kuwa jiji limepata mbunge sahihi anayeendana na hadhi yenyewe ya jiji, Mbunge anayejitambua, anayejuwa na kufahamu wajibu wake, majukumu yake, afanye nini juu ya wapiga kura wake, ashirikiane na nani kutatua kero za wananchi, apeleke wapi kero za wananchi, apitie mlango upi na atumie funguo zipi kufungua fursa kwa wana Mbeya.

Jiji limetulia kwa kuwa limepata mbunge mtulivu aliye Tulia na kuwa na maono makubwa ya kiuongozi,limepata kiongozi mwenye uchungu na maisha ya wana Mbeya, kiongozi mwenye kiu ya maendeleo na aliyejitoa na kujitolea kwa ajili ya kuleta matumaini kwa wengi. Kiongozi au mbunge ambaye yupo Tayari kutoa chochote kwa ajili ya kusaidia wenye shida na mahitaji maalumu, kama ambavyo amefanya mara nyingi katika kuwasaidia na kuwawezesha yatima, wajane, wazee, vijana na watu wenye ulemavu ili kuwainua kiuchumi, kuwapunguzia makali ya maisha ,kuwaondoa katika utegemezi wakipato na kuwawezesha kujitegemea na kuishi maisha bora yenye kuleta faraja na matumaini.

Tofauti na hapo awali ambapo jiji na jimbo lilikuwa kama halina mbunge ,kwa kuwa lilikuwa na mtu ambaye alikuwa hajuwi wajibu wala majukumu yake, kiongozi ambaye alikuwa mavurugu ndio majukumu yake, kiongozi ambaye alikuwa hana ushirikiano wala kujuwa ashirikiane na nani,apitie wapi wala afanye nini katika kutatua kero za wananchi. Alikuwa hajuwi afanye nini katika kulifanya jiji lipate na kupewa miradi ya maendeleo,alikuwa hajuwi azungumze nini wala lugha gani ili aweze kueleweka.

Sasa Lugha ya dkt Tulia inaeleweka na kusikilizwa mbele ya Rais ,sasa Sauti za wana Mbeya na midomo yao inasikika kupitia kinywa cha Dkt. Tulia. Ukisikiliza akizungumzacho Dkt. Tulia jukwaani ni kama wamezungumza na kuwasikiliza wana Mbeya wote, kwa kuwa wakati wote Dr Tulia anazungumza lugha za wanambeya, kero zao, changamoto zao, mahitaji yao, kiu yao, maombi yao na ndoto zao.Hii ndio maana ya kupata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa wana Mbeya, hii ndio sababu ya kuheshimika na kupendwa kuliko pita kiasi kutoka kwa wana Mbeya, hii ndio sababu ya kuona mikutano yake ikifuatiliwa kwa karibu sana na wanambeya.

Wana Mbeya sasa wametulia baada ya kumpata Tulia wao,msemaji wao,sauti yao ,nguvu yao ,mbunge wao aliyekidhi matarajio yao. Sasa wanajiandaa kumpatia zawadi ya kura za kishindo uchaguzi ujao. Hawapo Tayari kumpeleka mbunge anayefanya mambo ya hovyo bungeni na kulitia aibu jimbo, hawapo tayari kupeleka mtu ambaye hata lugha tu hajui atumie lugha gani mbele ya Rais .wana Mbeya hawapo Tayari kuwakilishwa na mtu ambaye anashindwa kutambua ukubwa na upekee wa nafasi yake.

Jiji la Mbeya haliwezi kuongozwa kihuni huni, limepita hatua hiyo na haliwezi kurudia hatua hiyo wala kosa hilo. Hata Rais Samia Suluhu Hasssan atawashangaa sana wanambeya na kuwaona kama hamnazo na hawajitambui kwa kumuondoa mtu aliyelibeba jimbo katika moyo na kifua chake kwa upendo mkubwa sana na anayewasaidia watu bila mipaka wala ubaguzi wa aina yoyote ile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
We jamaa kwa kusifia hata kina Mwijaku wakasome.

Sivuti picha huyo Tulia akiponyokwa na ushuzi mbele yako. Utamwagia kila sifa, kuwa anajamba kwa vibration maridhawa, ushuzi wake unanukia mawaridi, anajamba kwa mapozi.
Huna staha wala adabu katika uandishi wako. Maneno unayotumia katika uandishi wako hayawezi kutumiwa na mtu mwenye adabu ,staha ,heshima ,ustaarabu na aliyepevuka kiakili.
 
Toka zako huko. Kwani wewe hujambi au??

Punguza uchawa usiokuwa na faida.

Wenzio unaowasifia wanatembelea ma V8 wewe una kazi ya kuandika namba zako za simu kwenye kila uzi kama mganga wa kienyeji wa kutibu nguvu za kiume.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ujio wa Dkt Tulia Jimbo la Mbeya umekuja na neema na umekuwa wa Baraka.Sasa jiji Linasikilizwa masikioni mwa viongozi wakuu wa serikali,sasa linapewa majibu ya kueleweka kutoka serikalini,sasa linapewa hadhi na heshima yake ya kuwa jiji,sasa lina kumbukwa ,sasa lipo katika mipango Kede Kede ya serikali,sasa linasogezewa na kupewa kila aina ya miradi ,sasa linasikika na limetulia muda wote baada ya kutulizwa na Dr Tulia.

Yote hayo yanafanyika,kutokea na kutekelezwa jijini Mbeya kwa kuwa jiji limepata mbunge sahihi anayeendana na hadhi yenyewe ya jiji,mbunge anayejitambua ,anayejuwa na kufahamu wajibu wake,majukumu yake ,afanye nini juu ya wapiga kura wake,ashirikiane na nani kutatua kero za wananchi,apeleke wapi kero za wananchi,apitie mlango upi na atumie funguo zipi kufungua fursa kwa wana Mbeya.

Jiji limetulia kwa kuwa limepata mbunge mtulivu aliye Tulia na kuwa na maono makubwa ya kiuongozi,limepata kiongozi mwenye uchungu na maisha ya wana Mbeya ,kiongozi mwenye kiu ya maendeleo na aliyejitoa na kujitolea kwa ajili ya kuleta matumaini kwa wengi.kiongozi au mbunge ambaye yupo Tayari kutoa chochote kwa ajili ya kusaidia wenye shida na mahitaji maalumu ,kama ambavyo amefanya mara nyingi katika kuwasaidia na kuwawezesha yatima ,wajane ,wazee ,vijana na watu wenye ulemavu ili kuwainua kiuchumi,kuwapunguzia makali ya maisha ,kuwaondoa katika utegemezi wakipato na kuwawezesha kujitegemea na kuishi maisha bora yenye kuleta faraja na matumaini.

Tofauti na hapo awali ambapo jiji na jimbo lilikuwa kama halina mbunge ,kwa kuwa lilikuwa na mtu ambaye alikuwa hajuwi wajibu wala majukumu yake,kiongozi ambaye alikuwa mavurugu ndio majukumu yake , kiongozi ambaye alikuwa hana ushirikiano wala kujuwa ashirikiane na nani,apitie wapi wala afanye nini katika kutatua kero za wananchi.alikuwa hajuwi afanye nini katika kulifanya jiji lipate na kupewa miradi ya maendeleo,alikuwa hajuwi azungumze nini wala lugha gani ili aweze kueleweka.

Sasa Lugha ya dkt Tulia inaeleweka na kusikilizwa mbele ya Rais ,sasa Sauti za wana Mbeya na midomo yao inasikika kupitia kinywa cha Dr Tulia,.ukisikiliza akizungumzacho Dr Tulia jukwaani ni kama wamezungumza na kuwasikiliza wana Mbeya wote,kwa kuwa wakati wote Dr Tulia anazungumza lugha za wanambeya ,kero zao,changamoto zao,mahitaji yao,kiu yao, maombi yao na ndoto zao.Hii ndio maana ya kupata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa wana Mbeya ,hii ndio sababu ya kuheshimika na kupendwa kuliko pita kiasi kutoka kwa wana Mbeya,hii ndio sababu ya kuona mikutano yake ikifuatiliwa kwa karibu sana na wanambeya.

Wana Mbeya sasa wametulia baada ya kumpata Tulia wao,msemaji wao,sauti yao ,nguvu yao ,mbunge wao aliyekidhi matarajio yao. Sasa wanajiandaa kumpatia zawadi ya kura za kishindo uchaguzi ujao,.Hawapo Tayari kumpeleka mbunge anayefanya mambo ya hovyo bungeni na kulitia aibu jimbo,hawapo tayari kupeleka mtu ambaye hata lugha tu hajui atumie lugha gani mbele ya Rais .wana Mbeya hawapo Tayari kuwakilishwa na mtu ambaye anashindwa kutambua ukubwa na upekee wa nafasi yake,. Jiji la Mbeya haliwezi kuongozwa kihuni huni ,limepita hatua hiyo na haliwezi kurudia hatua hiyo wala kosa hilo.Hata mh Rais wetu mama samia suluhu Hasssan atawashangaa sana wanambeya na kuwaona kama hamnazo na hawajitambui kwa kumuondoa mtu aliyelibeba jimbo katika moyo na kifua chake kwa upendo mkubwa sana na anayewasaidia watu bila mipaka wala ubaguzi wa aina yoyote ile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hebu tujuze, pamoja na kuwa na vichwa vizuri tu Mbeya , kwa nini hawakusikilizwa?
Kulikuwepo Prof Mwandosya, Prof Mwakyusa, Dr Mwakyembe.
CCM kwa nini iliusasa mkoa, au kwa sababu Prof Mwandosya aligombea urais?
 
Toka zako huko. Kwani wewe hujambi au??

Punguza uchawa usiokuwa na faida.

Wenzio unaowasifia wanatembelea ma V8 wewe una kazi ya kuandika namba zako za simu kwenye kila uzi kama mganga wa kienyeji wa kutibu nguvu za kiume.
Ukikua na kukomaa akili utaacha mwenyewe, ila kwa sasa bado unatambaa kiakili na kuokota kila kitu kilicho chini na kuweka mdomoni .
 
Kwa sasa hata usipoweka namba ya simu maana kwa kujikomba uko, Kama wako serious watakuwa waneishaweka hiyo namba
 
Ndugu zangu watanzania,

Ujio wa Dkt Tulia Jimbo la Mbeya umekuja na neema na umekuwa wa Baraka.Sasa jiji Linasikilizwa masikioni mwa viongozi wakuu wa serikali,sasa linapewa majibu ya kueleweka kutoka serikalini,sasa linapewa hadhi na heshima yake ya kuwa jiji,sasa lina kumbukwa ,sasa lipo katika mipango Kede Kede ya serikali,sasa linasogezewa na kupewa kila aina ya miradi ,sasa linasikika na limetulia muda wote baada ya kutulizwa na Dr Tulia.

Yote hayo yanafanyika,kutokea na kutekelezwa jijini Mbeya kwa kuwa jiji limepata mbunge sahihi anayeendana na hadhi yenyewe ya jiji,mbunge anayejitambua ,anayejuwa na kufahamu wajibu wake,majukumu yake ,afanye nini juu ya wapiga kura wake,ashirikiane na nani kutatua kero za wananchi,apeleke wapi kero za wananchi,apitie mlango upi na atumie funguo zipi kufungua fursa kwa wana Mbeya.

Jiji limetulia kwa kuwa limepata mbunge mtulivu aliye Tulia na kuwa na maono makubwa ya kiuongozi,limepata kiongozi mwenye uchungu na maisha ya wana Mbeya ,kiongozi mwenye kiu ya maendeleo na aliyejitoa na kujitolea kwa ajili ya kuleta matumaini kwa wengi.kiongozi au mbunge ambaye yupo Tayari kutoa chochote kwa ajili ya kusaidia wenye shida na mahitaji maalumu ,kama ambavyo amefanya mara nyingi katika kuwasaidia na kuwawezesha yatima ,wajane ,wazee ,vijana na watu wenye ulemavu ili kuwainua kiuchumi,kuwapunguzia makali ya maisha ,kuwaondoa katika utegemezi wakipato na kuwawezesha kujitegemea na kuishi maisha bora yenye kuleta faraja na matumaini.

Tofauti na hapo awali ambapo jiji na jimbo lilikuwa kama halina mbunge ,kwa kuwa lilikuwa na mtu ambaye alikuwa hajuwi wajibu wala majukumu yake,kiongozi ambaye alikuwa mavurugu ndio majukumu yake , kiongozi ambaye alikuwa hana ushirikiano wala kujuwa ashirikiane na nani,apitie wapi wala afanye nini katika kutatua kero za wananchi.alikuwa hajuwi afanye nini katika kulifanya jiji lipate na kupewa miradi ya maendeleo,alikuwa hajuwi azungumze nini wala lugha gani ili aweze kueleweka.

Sasa Lugha ya dkt Tulia inaeleweka na kusikilizwa mbele ya Rais ,sasa Sauti za wana Mbeya na midomo yao inasikika kupitia kinywa cha Dr Tulia,.ukisikiliza akizungumzacho Dr Tulia jukwaani ni kama wamezungumza na kuwasikiliza wana Mbeya wote,kwa kuwa wakati wote Dr Tulia anazungumza lugha za wanambeya ,kero zao,changamoto zao,mahitaji yao,kiu yao, maombi yao na ndoto zao.Hii ndio maana ya kupata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa wana Mbeya ,hii ndio sababu ya kuheshimika na kupendwa kuliko pita kiasi kutoka kwa wana Mbeya,hii ndio sababu ya kuona mikutano yake ikifuatiliwa kwa karibu sana na wanambeya.

Wana Mbeya sasa wametulia baada ya kumpata Tulia wao,msemaji wao,sauti yao ,nguvu yao ,mbunge wao aliyekidhi matarajio yao. Sasa wanajiandaa kumpatia zawadi ya kura za kishindo uchaguzi ujao,.Hawapo Tayari kumpeleka mbunge anayefanya mambo ya hovyo bungeni na kulitia aibu jimbo,hawapo tayari kupeleka mtu ambaye hata lugha tu hajui atumie lugha gani mbele ya Rais .wana Mbeya hawapo Tayari kuwakilishwa na mtu ambaye anashindwa kutambua ukubwa na upekee wa nafasi yake,. Jiji la Mbeya haliwezi kuongozwa kihuni huni ,limepita hatua hiyo na haliwezi kurudia hatua hiyo wala kosa hilo.Hata mh Rais wetu mama samia suluhu Hasssan atawashangaa sana wanambeya na kuwaona kama hamnazo na hawajitambui kwa kumuondoa mtu aliyelibeba jimbo katika moyo na kifua chake kwa upendo mkubwa sana na anayewasaidia watu bila mipaka wala ubaguzi wa aina yoyote ile.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hongera lucas mwashambwa! Shikilia hapohapo hadi utoboe
 
Ni kweli CCM kimepiga marufuku uChawa au ni gheresha tu?

IMG-20230806-WA0007.jpg
 
Wadanganye Mabwege sana ! Na msipomsikiliza Yule Mzee mwenyekiti wa ccm wa Mkoa wa Mbeya , mtakwisha , tunaambiwa mlipanga kumteka ila mmeogopa nguvu ya Umma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom