mbeya

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Sugu, kusikika Clouds TV 23/11/2023

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara, Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, asubuhi ya 23/11 /23, atakuwepo kwenye Clouds TV kwa mahojiano Maalum. Usibadili Channel kwa Mawe Matakatifu.
  2. JamiiForums Tanzania ATM Maalum ya kutolea Huduma za Vipimo vya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU yazinduliwa Mbeya

    ATM maalum ya kutolea huduma za vipimo vya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU ijulikanayo kwa jina la “Jipime”, ( HIV Self Testing) imezinduliwa Jijini Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupima na kutambua afya zao ili kujilinda dhidi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Huduma hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo. Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala...
  4. JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji atapeliwa Mbeya, aenda kulalamika kwa mkuu wa mkoa

    Katika hali isiyo ya kawaida Mganga wa kienyeji Edward Mwansasu mkazi wa Kijiji Cha Ndubi Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulalamika juu ya kutapeliwa na mteje wake aliye mhudumia kwa kumpa dawa za biashara. Mganga huyo amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wakati...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mbeya: RC Juma Homera amsafishia njia Dkt. Tulia 2025, asema watamlinda kwa mvua na jua

    Dar es Salaam. Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera inayoweza kutafsirika kama anamsafishia njia ya kuja kushinda ubunge Dk Tulia Ackson, imeibua mjadala unaoshinikiza marekebisho ya kuwabana watendaji wa Serikali kutumia madaraka yao kinyume na Katiba. Dk Tulia ambaye ni Spika wa Bunge...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: Aliyeuza Pori la Akiba akamatwa

    Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoani Mbeya vimefanikiwa kumtia nguvuni Andrea Ngombeni mkazi wa Kijiji cha Kambikatoto Wilayani Chunya Mkoa Mbeya kwa tuhuma za kuuza kipande cha ardhi katika pori la akiba la hifadhi Rungwa South linalopakana Mikoa ya Mbeya na Tabora. Mtuhumiwa Andrea ametiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wahamiaji haramu 16 kutoka Ethiopia wakamatwa kwa kuingia Nchini bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu 16 raia wa nchini Ethiopia, wote wanaume, umri kati ya miaka 18 - 53 kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. Watuhumiwa walikamatwa Novemba 09, 2023 majira ya 2:00 asubuhi huko kijiji cha Kasumulu, Wilaya ya Kyela, wakati Askari wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lawanasa watu wawili wakiwa na noti Bandia za Sh 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia. Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia aitetemesha Mbeya. Atua kijeshi na ndege ya Jeshi

    Ndugu zangu watanzania, Haijapata kutokea ,haijapata kuonekana kwa mapokezi makubwa aliyoyapata mh Dkt Tulia Acksoni Mwansasu mbunge wa Mbeya mjini,speaker wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani ni mapokezi ya kishindo,ni mapokezi ya karne,ni mapokezi ya kihistoria ni mapokezi yaliyovunja...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo mbovu wa mahakama wakwamishan kesi ya kupinga zuio maandamano Mbeya

    Mheshimiwa JAJI KIONGOZI, kuna TATIZO la KUSAJILI KESI katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Mbeya) linalosababishwa na UBOVU wa MFUMO wa MALIPO (Control Number). Ili HAKI isicheleweshwe KINYUME na ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania, NAOMBA kesi hiyo ISAJILIWE kwa DHARURA.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: FFU Demo in Mbeya

  12. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandamano? Watu wa Mbeya tuambieni kama hizi picha ni za kweli

    Nini kinaendelea Mbeya kuhusu Maandaano? Watu wa Mbeya tuambieni kinachoendelea kama hizi picha ni za kweli =============== UPDATES... Hofu na wasiwasi vimetanda kwa wananchi jijini Mbeya kufuatia askari polisi kuzagaa kwa makundi maeneo mbalimbali tofauti na siku nyingine. Hata hivyo hakuna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Mbeya wapongezwa kwa kuwafuta kazi watumishi wabadhirifu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amepongeza uamuzi uliofanywa na Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ambalo ndio Mamlaka ya nidhamu ya Watumishi wa Halmashauri hiyo kwa kuchukua hatua kali ya kuwafukuza kazi watumishi wawili wa Halmashauri hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Chonde chonde wana Mbeya msikubali kutumika, msishiriki hayo maandamano haramu

    Ndugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa. Lakini, kuna njia sahihi na njia isiyo sahihi ya kupinga jambo. Njia sahihi ni kama ile aliyoitumia Lissu kwa kuelezea...
  15. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Maandamano ya Mbeya dhidi ya DP WORLD yanaungwa mkono na watu wote

    Hili ni swali kwa watu wote , kule Mbeya kumeandaliwa maandamano ya kupinga Mkataba wa aibu wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika . Sasa cha kushangaza ni hiki , Maandamano hayo yanaungwa mkono na Watu wote wa Mkoa huo pamoja na wa nje ya mkoa , yaani kwa Mbeya kesho ni kama Sikukuu . Unadhani...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa umoja wa mabunge duniani(IPU) leo Octoba 27, 2023. Kura 303 zilipigwa huku mshindi akihitaji angalau nusu ya kura hizo(kura 152) Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo Ms. Adji Diarra Mergane Kanouté(Senegal) kura...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yaingia makubaliano kufuta deni la bilion 170 la Mbeya Cement

    Serikali imeingia makubaliano na wawekezaji wa kiwanda cha Mbeya Cement ya kuboresha na kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa kiwanda hicho ikiwa ni Pamoja na kufutwa kwa Deni la Shilingi Billion 170 ili kukiwezesha kiwanda hicho kutengeneza Faida. Serikali inamiliki asilimia 35 ya hisa katika...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ajitathmini

    Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu. Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo. Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mbeya, Yasin Ngonyani apata ajali ya gari

    Taarifa iliyotolewa na mwenyekiti UVCCM wilaya ya Mbeya mjini amesema waliopata ajali wanendelea vizuri hospitali ya rufaa mbeya. Alikuwa akielekea katika ziara Chunya. wakukurupuka1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…