Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,332
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.

Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF

Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Ikulu ya Pentagon (White House)

Screenshot_2023-11-16-23-42-52-1.png
Screenshot_2023-11-16-23-43-00-1.png
Screenshot_2023-11-16-23-43-11-1.png

Pichani ni Bilionea Sugu akisisitiza jambo kwa umakini Mkubwa , huku balozi huyo akizingatia kwa kiwango cha Juu
 
Habari njema hii. Watu wema hufuatwa na watu muhimu bila hata ya tangazo la polisi kuwa eti muandame kumpongeza mtu.

Kama watu wamewiwa na mazuri si wataandamana kukupongeza bila ya kushawishiwa?

Hongera kwake bwana Sugu maana bila hata yavkuwa mwenyekiti wa mtaa, watu bado wanaona wana haja ya kumtafuta.

Kibaya chajitembeza, kizuri chajiuza.
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.

Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF

Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Pentagon .

View attachment 2816001View attachment 2816002View attachment 2816004
Sugu ni CIA?
 
Ujumbe kutoka Pentagon
 
Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Pentagon .
Asante kwa taarifa, kiukweli kutembelewa na a US Ambassador ni heshima kubwa!, hivyo Sugu yupo juu sana, ila sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinaendeshwa na Foreign Office na kusimamiwa na State Department, na zinalindwa na US Marines, hivyo kila kinachofanyika ubalozini Foreign office na state Department wanakiona na kumonitor, hata wanaokatiza tuu barabarani na majirani wote ni well monitored 24/7.
US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
 
Asante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinalindwa na US Marines, hivyo US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidpkomasia vila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Utakuwa umelogwa
 
Asante kwa taarifa, sii kweli kuwa US Ambassador hawezi kutembelea eneo lolote bila ruhusa ya Pentagon, Pentagon ni Wizara ya ulinzi ya Marekani ambayo ina manage the US army, American missions zote na their interests zinalindwa na US Marines, hivyo US Ambassador hauendi mahali bila securty clearance ya the US marine, na sio Pentagon, huyo Balozi ameweza kufika hapo kwa ruhusa ya MFA kupitia NV.

Mabalozi wote hawaruhusiwi kutembelea maeneo ambayo sio ya kidipkomasia bila kuomba ruhusa kwa maandishi kutoka MFA na kupewa kibali kupitia NV. Hivyo Balozi huyo ameweza kufika hapo kwa hisani ya kibali cha serikali ya CCM!.
P
Huchelewi kujichetua /kujizima data
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba siku ya leo Mkoa wa Mbeya ulibahatika kutembelewa na Balozi wa Marekani , Ambaye hakuwa na jambo jingine Mkoani humo , zaidi ya kukutana na Mwekezaji Mzalendo Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.

Bado Timu ya Balozi huyo haikuweka wazi kilichojadiliwa , wala timu ya Sugu , lakini tutawawekea hapa kila kitakachovuja kutoka kwenye mazungumzo hayo , Usiondoke JF

Kumbuka kwamba Balozi wa Marekani hatembelei eneo lolote bila ruksa kutoka Pentagon .

View attachment 2816001View attachment 2816002View attachment 2816004
Sio kwamba alikwenda desderia hotel kwajili ya malazi mkuu!?

Maana ni hotel... Na taarifa ya pentagon imethibitisha hili!.
 
Back
Top Bottom