Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ajitathmini

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,101
2,715
Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.

Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.

Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu

Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".

Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?

Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.

Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"
 
Hata sijakuelewa ulitaka kuandika nini na kuwasilisha nini ndugu yangu maana naona hata wewe mwenyewe ukirudia kusoma unaweza usielewe ulichokiandika hapa jukwaani. Andika kwa kutulia ili tujuwe unataka kutueleza nini na tuelewe nini.
 
Watakaondama Mbeya 9)11,wanatafuta kuvunjwa miguu. Ndio maneno ya polisi Mbeya.
Mdude kauliza,"Mnasema vipi mtatuvunja mguu?"
Kwa hiyo yeye amekuwa singled out for particular attention. Yeye ameitwa mjeuri.
 
Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.

Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.

Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu

Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".

Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?

Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.

Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"
sasa mkuu,
si ungemweleza dereva bodaboda wako asimame kwanza ndipo uandike,
sasa hii kuandika mara uende mbele mara uende kushoto mara usite, mara urushwerushwe kwenye mashimo na bodaboda dah,
mbona kazi sana aise, na wewe unafahamika vizuri sana ni miongoni mwa waandishi mahiri sana ktika sana ya uaandishi.....
 
Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.

Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.

Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu

Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".

Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?

Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.

Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"
we mwenyewe umejitathmini kwanza? Fanya shughuli zako mambo ya ukuu wa mkoa yako juu sana ya uwezo wako.
 
Hata sijakuelewa ulitaka kuandika nini na kuwasilisha nini ndugu yangu maana naona hata wewe mwenyewe ukirudia kusoma unaweza usielewe ulichokiandika hapa jukwaani. Andika kwa kutulia ili tujuwe unataka kutueleza nini na tuelewe nini.
Wee Koro juzi nilikupigia nikakuambia angalia email yako Kuna barua ya uteuzi ukasema "nashukuru Sana mkuu" kumbe ufala wote unajifanyaga mtandaoni unatarajia uteuzi? Kiazi Kama wewe nani akiteue?
 
Wee Koro juzi nilikupigia nikakuambia angalia email yako Kuna barua ya uteuzi ukasema "nashukuru Sana mkuu" kumbe ufala wote unajifanyaga mtandaoni unatarajia uteuzi? Kiazi Kama wewe nanieakiteue?
Naona unaandika kwa kujifariji ukijua unajadili na wajinga wenzio
 
Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.

Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.

Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu

Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".

Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?

Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.

Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"
Pls aliyeelewa hii passage atufanyie hisan ya to crack codes
 
Wakipiga Raia wanapandishwa Vyeo ni Hatari sana hapa tulipofikia.🤔

Wezi wamejaa huko Serikalini na kwenye CCM lakini houni wakitaka kuvunjwa viuno.
 
Yaani familia yako ni baba,mama,watoto.
Au pamoja na ukoo wako.
Lakini unaweza kwenda hatua mika zaidi,unaweza kitanda ngazi mika na kuwatambua wakazi wa wilaya yako miwa ni nf
ndugu zako,ni familia yako.
I am not saying you should have a vivid imagination and pretend that the people of the district are your family. It is true na wewe unapaswa kutambua.
Halafu you can go a step further na watu wa mkoa unaweza kuwaita ndugu zako .
Actually hii ni aya niliipata jana imenishukia jana. Wilaya ni familia,mkoa ni familia. Lakini sikumbuki mention ya taifa pale kuwa ni familia.
Huu umoja wa kitaifa ni myth. Umoja ni wa kitaifa nadhani ni wakati wa vita tu.
 
Kazi ya Mkuu wa Mkoa ni kuwafanya watu katika mkoa wake wawe wazalendo,pia wajione kama watu wote wa mkoa mmoja ni ndugu.

Sasa kama Wakili Mwabukusi na Mdude wanaitisha maandamano,hicho kitedo cha uzalendo.

Unaona pale kuna faulty reasoning ambapo watu wanawaza",Tundu Lissu akomtukana Magufuli Dar
es Salaam,basi lazima auawe na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam. Tundu

Lissu akimtukana Magufilo basi lazima apigwe na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya." "Watu wanataka kuutumia Mkoa wa Mbeya kiinuka kisiasa,polisi msikubali".

Kazi ya mwanasiasa sasa ndio imekuwa kuzuia shughuli za kisiasa?

Mtu anaposema familia yake ni baba yake tu na mama yake,huyo mtu hajakomaa kisiasa. Kama akiita wilaya familia yake au mkoa familia yake,huo ndio mwanzo wa kupata political conciousness.

Watu wamesikika mitaani wanasema "Rais Samia akamatwe awekwe gerezani. Mkataba gani huu.?"
Mkuu wa mkoa wa Mbeya ni usalama asiyetumia nafasi yake kwa hekima na busara ili mradi anamfurahisha aliyemteua bila kujali siku moja atakuwa mtaani na biala kuwa na uwezekano wa kuburuzwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya ofisi kisha akaomba kutetewa na wanasheria mahiri mmojawapo ni 'BAK' Mwabhukusi
 
Back
Top Bottom