mbeya

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Shangwe la Msigwa akirejesha fomu Kanda ya Nyasa latikisa Mbeya

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa . Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa . Ilibidi Jeshi la Polisi lifanye kazi ya ziada kupanga misululu ya wat
  2. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Battle: Lilongwe VS Mbeya

    Kulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mby wale wa Lilongwe wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wawapa mahitaji Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto iliyopo Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wamepatiwa mahitaji ya Shuleni na nyumbani kutoka kwa Polisi Kata ya Ilemi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki Mambuye. Akizungumza mara baada ya kukabidhi mahitaji hayo Aprili 19, 2024 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki...
  4. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

    Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice. Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita Wanyakyusa lakini ukiongea nao unakuta wana asili ya kitusi ni kama mababu zao walikuja siku...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Salaam, shalom!! Mlima kawetele ulioko ITEZI, Uyole, jijini Mbeya umeripotiwa kumeguka na kuziangukia nyumba zaidi ya 20. Chanzo Cha janga Hilo inasemekana ni mvua nyingi zinaonyesha Nchi nzima, zilizoloanisha udongo Kwa kiasi kikubwa. Mwanzoni, iliaminika walioko milimani wako katika...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

    Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano mingine Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wajita...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Slaa Kumbuka waonee huruma wananchi wa Sae Mbeya

    Leo alfajiri Tarehe 13/4/2024 limepita gari la matangazo katika jiji la Mbeya na vitongoji vyake kwamba waziri wa ardhi atakuwa ukumbi wa mkapa kusikiliza na kutatua KERO. Slaa unajua uamuzi wako uliotofautina na WA mtangulizi wako Lukuvi unavyowatesa wananchi wanaotakiwa kubomolewa makazi Yao...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya apongezwa

    Wadau mbalimbali kote Duniani Wamempongeza Mwenyekiti mpya wa Chadema Mkoa wa Mbeya . Baadhi hawa hapa
  9. Chinu Mkodoli

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo ya Mbeya ni mbaya

    Habari za muda huu wana JF, Licha ya kuwepo kwa mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji katika mkoa wetu huu wa Mbeya lakini maeneo mengi yamekumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Kwakweli hali ni mbaya, mfano, hapa mtaani kwangu ni kama mwezi hivi sasa hakuna maji na kama yakitoka basi hutoka usiku...
  10. Vivax

    JamiiForums Tanzania Bajaji Mbeya hazizingatii usalama barabarani

    Katika jiji la MBEYA Tunashindwa kujua USALAMA BARABARANI MSIMAMIZI NI NANI. Kuna hivi vigari vya tairi tatu. Maarufu bajaji uhusiano wavyo na usalama barabarani haupo kabisa. Mbele ya askari wa usalama barabarani hizo bajaji zina over take kushoto, na cha ajabu zikiwa na abiria ndani...
  11. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Mbeya inalindwa na sungusungu, kulala saa sita usiku kama kijijini

    Igweeeeeeee Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala...
  12. amshapopo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa mishahara mkononi hamna payee kwa serikali. -Anakata NSSF kwa wafanyakazi lakini hawasilishi michango...
  13. jumamwaki

    JamiiForums Tanzania KERO Soko la SIDO mkoani Mbeya na changamoto zilizopo

    Habari wapendwa. Tukiwa tupo mbioni kumsaidia mh rais samia kwenye kuleta maendeleo kuna baadhi ya mambo ambayo huenda yanasababishwa na viongozi kwa kujua yaani makusudi au kwa kutojua. Nianzie kwenye mambo yafuatayo kwenye jiji letu la mbeya ambayo kwa kweli yanakera sana . #soko la sido ni...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dar naomba anicheki

    Yeyote anayesafiri kutoka Mbeya kwenda Dsm; Nahitaji lift. Gari lazima liwe 2.8 GD6 Hilux 2024/Mercedes Benz 2024 yenye leather seats, AC inayofanya kazi na cooler box. Tukifika Dsm mimi ndio nitaendesha gari. Tafadhali, inbox me
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mashabiki wa Simba kutoka Mbeya, Wapata ajali Vigwaza!

    Kuna taarifa kuwa mashabiki wa Simba kutoka Mbeya wamepata ajali maeneo ya Vigwaza Pwani, wakiwa njiani kuelekea Dar, kushuhudia mechi ya Simba na Ahly. Ajali hii imetokea baada ya gari lao kigongana na roli Alfajiri ya Leo! Mungu wape wepesi ndugu zetu! Tutaendelea kupata taarifa kamili...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mbaroni wakitorosha Madini yenye Thamani ya Shilingi 1.5 Bln. Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni zao ndani ya nchi

    Watu 10 wamekamatwa Jijini Mbeya Wakitorosha Madini ya Dhahabu kilo 9.5 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.5 na kuisababishia Serikali hasara. Waziri wa Madini Antony Mavunde ameagiza Kamishna wa Madini kufuta leseni za watu hao popote pale ndani ya Nchi.Tukio hili la utoroshaji limekuwa ni la...
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kati ya Kahama na Mbeya wapi pako vizuri kwa mzunguko wa pesa?

    Wakuu Hivi kati ya kahama na mbeya wapi pako vizuri kwa mazunguko wa pesa,unafuu wa gharama za maisha na ubora wa miundombinu?
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    #Habari: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kusimamia tatizo la wizi wa fedha unaofanywa na watumishi wa umma kwa kushirikiana na mitandao mingine nje ya serikali. Rais Samia ameyasema hayo leo tarehe 13 Machi, 2024 wakati...
  19. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Radi kali Mbeya

    Kuna radi zimepiga Kali sana hapa Mbeya mchana huu, hadi kuku kafa
  20. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
Back
Top Bottom