Kengold na Pamba zimepanda ligi kuu, Mbeya kwanza na Biashara kucheza playoff na vibonde wa ligi kuu

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
226
638
Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship

Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu

Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao

  1. KenGold FC
  2. Pamba FC
  3. Mbeya Kwanza FC
  4. Biashara United FC
  5. TMA FC
  6. Mbeya City FC
  7. Mbuni FC
  8. Polisi Tanzania FC
  9. Cosmopolitan FC
  10. FGA Talents FC
  11. Stand United FC
  12. Green Warriors FC
  13. Transit Camp FC
  14. Copco FC
  15. Pan Africans FC
  16. Ruvu Shooting FC
 
Wakishapanda watakuja kuwasajili kina kongwe Sabatho badala ya kutafuta wachezaji vipaji wenye morali wadogo wao watataka kwenda na wazee kisa uzoefu
Anyway kwa hao biashara na mbeya kwanza watarudi huko huko
 
Kwa mtazamo wangu timu nayoona inaenda kuleta ushindani ni Pamba Fc tu, wanaujua uchungu wa kuwa nje ya ligi miaka 23,

Kengold wageni wa ligi wakileta mbwembwe kama Tabora united wanashuka tena
 
Hapo timu nayoona inaenda kuleta ushindani ni Pamba Fc tu, wanaujua uchungu wa kuwa nje ya ligi miaka 23,

Kengold wageni wa ligi wakileta mbwembwe wanashuka tena
Hakuna ushindani mwanza wanapigana fitna za hovyo sana kwenye soka utaona wanarudi walikokuwa na wanapotea mazima
 
Waambia
Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship

Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu

Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao!

  1. KenGold FC
  2. Pamba FC
  3. Mbeya Kwanza FC
  4. Biashara United FC
  5. TMA FC
  6. Mbeya City FC
  7. Mbuni FC
  8. Polisi Tanzania FC
  9. Cosmopolitan FC
  10. FGA Talents FC
  11. Stand United FC
  12. Green Warriors FC
  13. Transit Camp FC
  14. Copco FC
  15. Pan Africans FC
  16. Ruvu Shooting FC
Tunaomba uwanja ujengwe mbeya maana mbeya ndiko zinako toka timu za mipira,,, kongole kwao Kengold tunaomba na mbeya kwanza wapande nao!!!!
 
Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship

Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu

Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao

  1. KenGold FC
  2. Pamba FC
  3. Mbeya Kwanza FC
  4. Biashara United FC
  5. TMA FC
  6. Mbeya City FC
  7. Mbuni FC
  8. Polisi Tanzania FC
  9. Cosmopolitan FC
  10. FGA Talents FC
  11. Stand United FC
  12. Green Warriors FC
  13. Transit Camp FC
  14. Copco FC
  15. Pan Africans FC
  16. Ruvu Shooting FC
Namuona Ruvu shooting anaongoza ligi kwanyuma
 
Ni kweli Mbeya imetoa timu kibao

Tukuyu stars (imewahi kuchukua ubingwa)
Prisons (imewahi kuchukua ubingwa)
Mecco
Mbeya city
Mbeya Kwanza
Kenglold
Ihefu,
Hebu tuone na timu za Mwanza
1. Toto Africans
2. Pamba
3. Mbao Fc
4. Gwambina
5.
 
Kwan kanda ya kaskazin Arusha tumelaaniwa na mosh au shida nini mikoa
Hii miaka nenda rud hakuna team kabisa
 
Wakishapanda watakuja kuwasajili kina kongwe Sabatho badala ya kutafuta wachezaji vipaji wenye morali wadogo wao watataka kwenda na wazee kisa uzoefu
Anyway kwa hao biashara na mbeya kwanza watarudi huko huko
Mi nadhani wa ligi kuu wacheze wenyewe atayefungwa ashuke .. na WA championship wacheze wenyewe atayeshinda apande..... Hii kuwapambanisha wa ligi kuu na championship sio sawa.
 
Hebu tuone na timu za Mwanza
1. Toto Africans
2. Pamba
3. Mbao Fc
4. Gwambina
5.
Hazina ushindani, Ni kawaida Mwanza kukaa miaka bila kuwa na timu ligi kuu

Mbeya hapo majuzi tu misimu ya 2021 na 2022 wameingiza timu nne
 
Mi nadhani wa ligi kuu wacheze wenyewe atayefungwa ashuke .. na WA championship wacheze wenyewe atayeshinda apande..... Hii kuwapambanisha wa ligi kuu na championship sio sawa.
Imeshapigiwa sana kelele lakini haifanyiwi kazi wao wajipange hakuna namna
 
Kwani tatizo lipo wapi,

Timu dhaifu za ligi kuu zikiona zina uwezo kuzidi za championship wamepewa nafasi ya kujitetea kwenye playoffs.
 
Back
Top Bottom