DOKEZO Mkurugenzi City Casino Mbeya ambaye ni raia wa kigeni atishia kuua Waandishi wa Habari wanaofuatilia tuhuma za kumfanyia ukatili mke wa mtu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mwanongwa

Senior Member
Feb 15, 2023
170
205
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na kingono katika hoteli moja maarufu hapa Jijini Mbeya.

Baada ya tukio hilo, Dimitrov akamtuma dereva wake ambaye alimrudisha mwanamke huyo nyumbani kwake Uyole anakoishi na mume wake majira ya saa saba usiku.

Baada ya kufikishwa nyumbani kwake na kuingia ndani huku akilia, aliulizwa na mume wake nini kimetokea, akamuelezea kilichotokea kwamba boss wake huyo alimchukua kwa nguvu kabla hata ya muda wa kufunga ofisi huku akimtishia Kwamba endapo atafanya chochote atamfanyia kitu kibaya.

Mwanamke huyo anasema Mkurugenzi huyo wa City Casino inasemekana alianza kumkaba na kumvuta na kumsukumia ndani ya gari kisha kufunga mlango wa gari na kumuamuru dereva wake anayejulikana kwa jina la Miraji Rashid Swaibu ambaye pia ni fundi wa mashine za PS kuwasha gari na kuondoka eneo la Casino na kwenda Hotelini.

Mume wa Mwanamke huyo baada ya kusimuliwa kila kitu aliamua kuchukua uamuzi wa kwenda kuripoti Kituo cha Polisi Mwanjelwa.

Baada ya kufungua kesi kijana huyo aliamua kuwatafuta SMAUJATA ili waweze kumsaidia kupata Mwanasheria ambaye atasimamia kesi hiyo.

Tarehe 10 Aprili, 2024, Dereva wa Mkurugenzi huyo alionekana maeneo ya Casino na hivyo kumfanya Mume wa Mhanga kupiga simu Polisi na Dereva huyo akakamatwa na kufikishwa Kituo cha Polisi.

Dereve huyo hakukaa muda mrefu akaachiwa kutoka Kituo cha Polisi.

Baada ya kuachiwa kwa Dereva huyo akaenda moja kwa moja kwa Mume wa Mwanamke aliyefanyiwa ukatili na kuanza kumtolea maneno ya kebehi, akimwambia mkewe amefanywa kwa nguvu na Mzungu na Hana cha kumfanya.

Baada ya mume kuona hapati Haki yake kutoka na kudai Mzungu kutumia nguvu ya kiuchumi kumzunguka kwa Vyombo vya Usalama, ndipo akaamua kuwatafuta Waandishi wa Habari na kuwapa kisa kizima alichofanyiwa mke wake na Mkurugenzi huyo.

Waandishi wa Habari baada ya kupata maelezo kutoka kwa Mhanga na Mume wake wakaamua kwenda kwa Meneja wa Casino hiyo ili kupata ukweli wa jambo husika lakini walikosa ushirikiano baada ya meneja huyo anayefahamika kwa jina la Winrose James Muro kudai hamfahamu huyo Mwanamke aliyefanyiwa ukatili.

Waandishi walivyoondoka tu eneo la Casino, meneja huyo akampigia simu yule mwathirika na kuanza kumtishia na kumwambia kwanini amemtumia Waandishi wa Habari.

Kutokana na kitendo hicho cha kumpigia simu Mhathirika na kumtishia, Mwanamke huyo akaamua kuwatafuta Waandishi na kuwapa taarifa ya kile kinachoendelea kutoka kwa Meneja huyo,

Waandishi wakaamua kumpigia simu meneja na kumhoji kwamba kwanini anampigia simu Mhanga wakati alisema hamfahamu na wala hakuna tukio lolote ambalo lilitokea pale.

Baada ya kupigiwa simu na Waandishi akachukua namba za Waandishi hao na kuzituma kwa Boss wake (Mzungu) ambaye siku ya leo majira ya saa nne asubuhi (Aprili 29, 2024) akaanza kuwapigia simu na kuwatukana matusi mazito ya nguoni na kuwatishia maisha kwa kusema atafanya kila awezalo ili awatoe Uhai sababu anadai wanafuatilia mambo yasiyowahusu.

Waandishi hao baada ya kutishiwa maisha wakaamua kwenda kuripoti Kituo cha Polisi cha Kati Mbeya Mjini na kupewa RB.

MAJIBU YA KAIMU KAMANDA WA POLISI MBEUYA
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Abdi Isango alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema:

"Hiyo taarifa imetufikia Wahusika wote wanaoshtaki wamefungua mashitaka Polisi na uchunguzi unaendelea.

"Sijawasiliana na Mkuu wa Polisi wa Wilaya kujua mtuhumiwa amekamatwa au la, nitafuatilia kama amekamatwa au bado, na kama bado tujue ni kwa nini kwa kuwa mtuhumiwa yupo tu karibu anapatikana.

"Tuhuma ni mbili, kwanza iliyofunguliwa ni kumnyanyasa Mwanamke kingono, ilifunguliwa Kituo cha Mwanjelwa, pia kuna Waandishi wa Habari nao walifungua wakidai kutishiwa na mtuhumiwa na kutolewa lugha ya matusi wakati wanafuatilia suala hilo."
 
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2Usiku katika kata ya iyela wilaya ya mbeya mjini inasadikika mkurugenzi wa kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na kingono katika hotel moja maarufu hapa jijini Mbeya na kisha akamtuma dereva wake ambaye alimrudisha mwanamke huyo nyumbani kwake Uyole anakoishi na mume wake majira ya saa saba usiku.

Baada ya kufikishwa nyumbani kwake na kuingia ndani huku akilia aliulizwa na mume wake nini kimetokea akamuelezea Kilichotokea Kwamba boss wake huyo alimchukua kwa nguvu Kabla hata ya muda wa kufunga ofisi huku akimtishia Kwamba endapo atafanya chochote atamfanyia kitu kibaya.Mkurugenzi huyo wa City Casino inasemekana alianza kumkaba na kumvuta mwanamke huyo na kumsukumia ndani ya gari kisha kufunga mlango wa gari na kumuamuru dereva wake anayejulikana kwa jina la Miraji Rashid Swaibu ambaye pia ni fundi wa mashine za PS kuwasha gari na kuondoka eneo la Casino na kwenda Hotelin.

Mume wa mwanamke huyo Baada ya kusimuliwa kila kitu aliamua kuchukua uamuzi wa kwenda kuripoti kituo cha Polisi Mwanjelwa .

Baada ya kufungua kesi pia kijana huyo aliamua kuwatafuta SMAUJATA ili waweze kumsaidia kupata mwanasheria ambaye atasimamia kesi hiyo.

Manmo tarehe 10 ya mwezi huu Dereva wa Mkurugenzi huyo alionekana maeneo ya Casino na hivyo kumfanya Mume wa Mhanga kupiga simu Polisi na Dereva huyo akakamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi,lakini baada ya muda mfupi akaachiwa.

Baada ya kuachiwa kwa Dereva huyo Mume wa Mhanga akaamua kuwatafuta waandishi wa Habari na kuwapa kisa kizima alichofanyiwa mke wake na Mkurugenzi huyo.

Waandishi wa habari baada ya kupata maelezo kutoka kwa Mhanga na Mume wake wakaamua kwenda kwa Meneja wa Casino hiyo ili kupata ukweli wa jambo husika lakini walikosa ushirikiano baada ya meneja huyo anayefahamika kwa jina la Winrose James Muro kudai kuwa hamfahamu huyo Mhanga.

Waandishi walivyoondoka tu eneo la Casino,meneja huyo akampigia simu Mhanga na kuanza kumtishia na kumwambia kwanini amemtumia waandishi.

Kutokana na kitendo hicho cha kumpigia simu Mhanga na kumtishia,Mhanga huyo akaamua kuwatafuta waandishi na kuwapa taarifa ya kile kinachoendelea kutoka kwa Meneja huyo na ndipo waandishi wakaamua kumpigia simu meneja na kumhoji Kwamba kwanini anampigia simu Mhanga wakati alisema hamfahamu na wala hakuna tukio lolote ambalo lilitokea pale.

Baada ya kupigiwa simu na waandishi akachukua namba za waandishi hao na kuzituma kwa Boss wake ambaye siku ya Leo majira ya saa nne asubuhi akaanza kuwapigia simu na kuwatukana matusi Mazito ya Nguoni na kuwatishia Maisha kwa kusema atafanya kila awezalo ili awatoe Uhai sababu nadai wanafuatilia mambo yasiyowahusu.

Waandishi hao baada ya kutishiwa maisha wakaamua kwenda kuripoti kituo cha Polisi cha Kati Mbeya mjini na kupewa RB .
Huyo Mkurugenzi angekuwa Dar wadangaji wengi wanataka mambo kama hayo wala asingelazimisha.

Hata akilazimisha huko huko anapewa mambo mpaka anauza hotel.

Sema kipele kimempata asiye na kucha. Jinsi wadada siku hizi walivyochoka
 
Uraia wake unahusu nini hapa, mwandishi ws habari anahusika na nini, ni mwanasheria? Acheni kumtisha tumieni vyombo vya sheria.
 
Pesa ndio kila kitu unaweza ukawa unapoteza knguvu kumtetea huyo mwanamke kumbe mumewe na bosi wake washamalizana siku nyingi. Pesa ina nguvu sana ukiwa na pesa na una shida jua haujui kuitumia vizuri.
 
Back
Top Bottom