mbeya

  1. Saint Anne

    JamiiForums Tanzania Anne Cakes Mbeya

    Hello my lovely customers. Asanteni kwa kunisapoti sana ,kipindi naanza hadi sasa nilipofika Sasa Cake zetu tutazipata Mbeya mjini na viunga vyake vyote. Karibu kwa ajili ya Oda,cake za matukio yote ikiwemo Birthday,mahafali Kipaimara, Ubatizo, Harusi, Kitchen party, Send off, nk nk Kuanzia...
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Aursburg Kabwe- Mbeya

    Wakuu, Leo nipo hapa Kabwe- Mbeya wapi kuna Banda zuri la kucheck hii mechi ya Yanga & Augsburg
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Walimu watakaofaulisha Mbeya kupelekwa Dubai

    Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kuwapeleka walimu 10 wa shule za msingi na sekondari Dubai kwa watakaofanikisha ufaulu mwakani, imeonekana kuwaamsha walimu kila mmoja akiahidi kufundisha kwa bidii ili kupata nafasi hiyo. Akizungumza leo Julai 16 katika kikao cha tathimini ya elimu...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa vyoo Stendi Kuu Mbeya abiria wajisaidia kwenye ndoo

    Licha ya jitihada mbalimbali za Serikali kuhamasisha matumizi ya vyoo bora lakini maeneo yenye mikusanyiko ya watu, hali imekuwa siyo shwari kwa Stendi Kuu jijini Mbeya. Miongoni mwa maeneo hayo ni pamoja na stendi za mabasi na sehemu za biashara za vileo hali inayowalazimu kuwa na ndoo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Mbalizi Mbeya DC Bi. Getruda Japhet Lengesela - CHADEMA tupo vizuri, CCM imekufa

    MWENYEKITI CHADEMA MBEYA DC AWAKUMBUSHA WANAKYELA JINI MAGUFULI ALIVYODHIHIRISHA KUWA CCM IMEKUFA Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mbeya vijijini Getruda Japhet Lengesela Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kyela, Mbeya. John Pombe Magufuli alidhihirisha CCM ilikufa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni ubaguzi, Lissu anachangisha hela apate gari hamhamasishani, dogo kafungwa kule Mbeya familia ya Mbowe inachangisha

    Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake kumchangia Lissu apate gari jipya. Fuatilieni vzr hawa chadema, yaan watu wa kabila la Mbowe wako wamoja...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Matukio Yaliyojiri kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa mkoa wa Mbeya

    Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mkoa iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watukatika Mkoa wa Mbeya ni 2,343,754; wanaume 1,123,823 na wanawake 1,219,926 Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo...
  8. lugoda12

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza kukata umeme kwa saa tatu Mbeya

    Basi ndio hivyo bana ndugu zangu wa Mbeya kama mlivyoona, kikubwa wekeni mambo yenu sawa kabla ya Tanesco kufanya yao!
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA Mbeya hawaoneshi njia mbadala wanapofunga barabara kwa ajili ya ukarabati

    Kuna huu mtindo wa Tarura jiji la Mbeya hasa pale wanapofanya marekebisho ya barabara mbovu zile za ndani, huwa wanaweka kibao cha kuonesha barabara imefungwa (kwa watumiaji wa vyombo vya moto) lakini hawaoneshi njia mbadala ya kupita, sasa je wanaomiliki vyombo vya moto watumie barabara zipi...
  10. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Mchele kutoka Mbeya

    Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya Kwa jumla Debe 45, 000 , 35000 Mawasiliano 0627109582
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Suma Fyandomo Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati

    MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati "Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo wako huo unaokutuma kufanya kazi za Watanzania, sina mashaka na wewe unafanya kazi kubwa sana...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ukiongea ndiyo watu hukujua uelewa wako. Nimemsikiliza Juma Homera RC Mbeya. Makonda na mauza uza yake ya nyuma ni RC bora.

    Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu Waziri Mkuu. Mkuu huyu wa mkoa ni mweupe kanisa, hajui itifaki, kwanza amepewa nafasi kumkaribisha...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya na kutofanya tetemeko likipita?

    Limepiga la 4.5 tu lakini kiwewe kilichonipata. Vipi huko yanapiga ya 7! Nini cha kufanya na kutofanya litokeapo tetemeko.
  14. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Hivi wale wauza Bagia mbeya wapo mikoa mingine?

    Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu. Wapo uko mikoani?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Mpunga Mbalali, Mbeya Wadai Serikali Kutazama Upya Kodi za Kilimo

    Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watatu wakamatwa kwa kumteka mtoto Mbeya

    Jeshi la Polisi limesema limefanikiwa kumpata mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 05 mwanafunzi wa Shule ya awali Isaiah Samartan iliyopo jijini Mbeya aliyeripotiwa kupotea mei 15,2024 muda wa saa 11:45 jioni huku Jeshi hilo likiwashikilia watuhumiwa watatu kuhusiana na tukio hilo...
  17. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Kubadili Bajaji kwenda Mabasi katika Jiji la Mbeya: Njia Mpya ya Kuelekea Usafiri Bora

    Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Wakili aelezea kilichotokea sakata la Mkurugenzi City Casino anayetuhumiwa kumnyanyasa kingono mke wa mtu

    Suala la Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia, Vasil Dosev Dimitrov kudaiwa kuwatishia kuwaua Wanahabari wawili waliokuwa wakifuatilia madai kuwa anatuhumiwa kumfanyia unyanyasaji wa kingono aliyekuwa mtumishi wake wakike ambaye pia ni mke wa mtu, uchunguzi bado unaendelea...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo hapa RC Chalamila alihalalisha watu kuua tena, aagiza Polisi wafanye hilo waziwazi

    “Ukikuta kijana ameingia ndani kwa kuvunja dirisha ujue kuna mambo mawili ameyadhamiria. Jambo la kwanza amedhamiria kuiba na jambo la pili amedhamiria kuua na jambo la tatu amekubali kuuawa. Naomba nisisitize, jambo la tatu amekubali kuuawa, naomba nirudie, jambo la tatu amekubali kuuawa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa kukutwa na bunduki aina ya Shotgun Pump Action bila kibali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Nerbat Bwiga (33) mkazi wa Ifumbo na Isaya Zumba (38) mkazi wa Airport Songwe kwa tuhuma ya kupatikana na silaha bunduki moja aina ya Shotgun Pump Action bila kibali. Akizungumza na waandishi wa habari Mei 15, 2024 Kamanda wa Polisi...
Back
Top Bottom