Aina za mbegu za ng'ombe wa maziwa

Aina za mbegu za ng'ombe wa maziwa

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
95
Habari wafugaji Leo napenda kuwaletea somo juu ya aina ya mbegu za ng'ombe wa maziwa.karibi sana uwe kujifunza

✅AINA ZA MBEGU ZA NG'OMBE WA MAZIWA;

---

Breed za Ng’ombe wa Maziwa (Dairy Breeds)
1. Friesian (Holstein-Friesian)
- Maziwa mengi sana, rangi nyeusi na nyeupe
- Uwezo wa kuzalisha maziwa kwa wingi sana

2. Jersey
- Maziwa yenye mafuta mengi (high butterfat content)
- Rangi ya kahawia nyepesi hadi giza

3. Ayrshire
- Maziwa yenye ladha nzuri na wastani wa uzalishaji
- Rangi mchanganyiko wa nyekundu, kahawia na nyeupe

4. Guernsey
- Maziwa yenye mafuta na ladha nzuri
- Rangi ya kahawia na nyeupe

5. Brown Swiss
- Maziwa mengi yenye ladha nzuri na mwili mzito
- Rangi ya kahawia mpaka kijivu

6. Fleckvieh (Simmental)
- Dual purpose: Maziwa na nyama
- Rangi ya kahawia na nyeupe, spots
- Uwezo wa kuzalisha maziwa na nyama kwa faida

NI BREED NZURI SANA HII👆👆👆

Karibu sana kwenye huduma zetu za mifugo ujipatie huduma bora zaidi
Kwa mawasiliano zaidi
0674740836
0792263640
 
Hizi habari zinatuchanganya, huyu anasema maziwa ni hatari kwa afya
View: https://web.facebook.com/reel/1813330166707631 huku nako hamasa
 
Back
Top Bottom