mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu wote ni mpango wa kulegeza vyuma,Rais Samia bado hana slogan lakini si mbaya akichukua ile ya kazi na bata

    Habari wakurugenzi..! Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile "kazi na bata" mkamuazima mara moja mpaka miaka yake itakapokwisha 2025. Mama kweli amekusudia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Afadhali Magufuli amekufa wakati ameshashinda Urais, angekufa wakati wa kampeni hali ingekuwa mbaya CCM

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mh Chalamila amesema ni heri Magufuli amekufa baada ya kuipatia CCM ushindi wa kishindo vinginevyo hali ingekuwa tete. Chalamila amesema hapati picha hali ingekuwaje iwapo Magufuli angekufa wakati wa kampeni ambako...
  3. JamiiForums Tanzania Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya?

    Anaandika Mtozi Alloyce Nyanda Nimeona Video ya Mfanyabiasha Cathbert imepostiwa na @kumbushodawson Kumbuso ni rafiki yangu sana na kwa kuwa sisi sote huwa ni waumini wa ujenzi wa hoja basi kabla ya kuingia katika mjadala wa msingi napenda maswali haya yajibiwe kisha tuje sasa kwenye Hoja hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Athari mbaya za Bongo Movies kuwa na Vilaza wengi ndani ya jamii

    ATHARI MBAYA ZA BONGO MOVIE KUWA NA VILAZA WENGI NDANI YA JAMII Kwa Mkono wa, Robert Heriel Wapo watu wataona nimewaandama hawa ndugu zetu, lakini lazima ukweli tuuseme. Hatuwezi sema kuwa hakuna athari chanya walizotupatia Bongo Movies ndani ya nchi yetu, zipo faida kadhaa, kama vile, kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

    Poleni na msiba wakuu, na poleni Kwa vifurushi pendwa Mambo ni mengi mda hautoshi, Paula Kajala amezidi kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu mzima na anafaa Kwa matumizi yoyote Yale .... Baada ya CEO wa Next Level Music anayetamba na albam yake ya sound of Africa ,Vanny boy mtu mbaya...
  6. JamiiForums Tanzania Uingereza yatuma kikosi maalum cha makomandoo wa SAS Msumbiji kumuokoa raia wao aliyetekwa

    Makomandoo wa kikosi maalum kiitwacho Special Boat Service: Picha na Royal Marine ya Uingereza. Uingereza imetuma makomandoo watatu wa SAS kwenda nchini Msumbiji kusaidia kumuokoa raia wa nchi hiyo bwana Phillip Mawer ambae ametekwa na kikundi cha kigaidi cha ISIS. Gazeti la The Times la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ukipokea Taarifa nzuri au mbaya Usiku kupitia Television Usingizi nao unakata ghafla na Unakesha tu?

    Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ofisi za serikali acheni roho mbaya

    Mwaka huu nilikua nafatilia maswala ya mirath ya mzee, so ilinifanya nikatembelea ofisi nyingi za kiserikali. Kwa kawaida ukiwa unafatilia mirathi hizi ofisi lazima ufike zote au chache: Mtendaji Vizazi na vifo Mahakama ya mwanzo Mahakama kuu Bank PSSF Na nyingine ambazo inategemea carrier ya...
  9. JamiiForums Tanzania John Mrema akanusha taarifa za kifo chake zilizoenea mtandaoni

    Jamii ikifikia mahali watu wanahasimiana hadi kuombeana vifo na majanga, jee, hiyo jamii ipewe sifa gani? Mimi nitakuwa nimekosea kweli kuiita ni jamii ya watu wenye roho mbaya na unyama unyama? The Tanzania I used to see and know under Mwalimu (RIP mzee wetu) is totally unrecognizable today...
  10. JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya sana, nazidi kudhoofika

    Hali ya sasa ya kimaisha hairidhishi hata kidogo. Kimbilio la vijana wengi lilikuwa ni viwandani ila kwa sasa hata huko viwandani kazi hakuna. Viwanda vingi uzalishaji ni mdogo mno kiasi kwamba hata wale vibarua permanent nao hawapati nafasi ya kuingia kazini Viwanda vingine navyo vimefungwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Suala la Covid19, nimegundua Wachina, Wazungu wana roho mbaya

    Covid 29 na HIV aids vyote ni virus. Siku zote HIV aka Ngoma inakwanyua Waafrika hakuna pupa wala uharaka wa kutafuta chanjo. Hapa kamdudu kamewagusa na wao basi wako bize kutafuta chanjo wanaumiza vicha hadi wanapata vipara. Hii inaonyesha Covid ingekuwa afrika tungeachwa tupambane tujifie...
  12. JamiiForums Tanzania Tiger Wood apata ajali mbaya ya gari, akimbizwa hospitali

    Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake . Huenda akafanyiwa upasuaji . ====== Bingwa mara 15 wa mchezo wa gofu, Tiger Woods amepata ajali ya gari Los Angeles na anafanyiwa upausaji kufuatia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnaojua aina za Roho Mbaya zenye Ukatili na Udhalilishaji wa Kisiasa ndani yake, hii inaitwaje?

    Namlazimisha Mgonjwa wa Kisiasa ambaye uwiano wake wa ama Kufariki au Kuendelea Kuishi uko sawa ajitokeze Mtaani Kwetu ili Kuwaumbua Watesi na nionekane Mshindi kisha baadae anarudishwa tena Hospitalini halafu Hali yake inabadilika na Familia yake inaanza Kumuuguza huku Mioyoni mwao wakiumia kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni nani anawajibika endapo vijidudu vya maradhi vinavyofanyiwa utafiti kwenye maabara vikiambukiza binadamu kwa makusudi au kwa bahati mbaya

    Ndugu wana JF, salaam. Naomba nitoe ushuhuda hapa kwamba wakati nafanya masomo yangu ng'ambo, nilihudhuria semina moja ambayo mtafiti alikuwa anawasilisha mada kuhusu namna anavyoweza kufufua (resurrect) virusi ambavyo vilileta milipuko na kuua mamilioni ya watu miaka mingi huko nyuma na...
  15. JamiiForums Tanzania Waamuzi hawavurundi kwa bahati mbaya, kuna fungu wametengewa

    Kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya clubu moja kumbwa kwenye VPL ameniambia kuwa club imetenga fungu kubwa kwaajili ya kuhakikisha timu hiyo inautwaa ubingwa wa VPL. Pesa hizo zitakwenda kwa waamuzi na wachezaji wa timu pinzani. Baada ya waamuzi kupokea fungu hilo ambalo ni vigumu sana kulikataa...
  16. JamiiForums Tanzania Azam TV ndo kampuni inayoongoza kwa huduma mbaya kwa mteja

    Azam TV japo wanatoa huduma nzuri za TV, lakini linapokuja suala la customer service kwa mtazamo wangu na uzoefu wa kuhudumiwa, ndo kampuni inayoongoza kuwa na huduma mbovu kuliko wote! Kwanza hawaanzi kupokea simu wala kutatua matatizo ya wateja wao mpaka ifike saa 2 asubuhi katika siku za...
  17. JamiiForums Tanzania Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Habari za jioni wakuu Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali.. Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Siku mbaya kwa makanjanja redioni leo

    nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports dah aisee poleni makanjanja mengine yako busy ksuimulia jinsi y azam kuifunga simba kesho..MO KAZA...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo ili kuondoa tatizo la mdomo kutoa harufu mbaya

    Safisha kinywa kwa kutumia dawa ya meno na mswaki, kisha sukukutua na maji safi na kutema. Pata matibabu ya magonjwa ya kinywa- endapo kinywa chako kina maambukizi, utapatiwa dawa za kutibu maambukizi hayo. Kuna wakati utahitaji kusafishwa meno na daktari wako ili kuondoa bakteria kwenye...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za kinywa kutoa harufu mbaya

    Kinywa kutoa harufu mbaya huweza kuwa kero kwako binafsi au kwa watu wanaokuzunguka. Visababishi vya harufu mbaya kinywani ni kama vifuatavyo:- Aina ya vyakula Vyakula jamii ya vitunguu, tangawizi, na viungo vingi vinavyotumika kwenye chakula endapo vitameng'enywa na bakteria katika kinywa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…