Umasikini mbaya jama...mweh!

Umasikini mbaya jama...mweh!

Mwezeshaji1

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2023
Posts
234
Reaction score
558
Mhh..ukiweza, usiache watoto mikono mitupu dunia iwachachafye.
(Hivi sisi tunazaa halafu watajijua mbele kwa mbele kwenye sehemu ambayo hata huduma za elimu na afya KUBWA unalipia😂?)

Kama hauna riziki unalala njaa KWELI, hakuna 'food stamps' wanazosemaga kwa wenzetu.

Wape elimu sawa, halafu jenga tunyumba, tubiashara hutu na tule ili wapate ahueni kupata shilingi, hali si shwari kwa waanza na moja alooh, kwa yote tunashukuru🙏🏿!
 
Watoto wangu wote lazima niwaache na kitu, siwawezeshi kielimu pekee, Kwa sehemu kubwa nawawezesha na Mali...wakiharibu ni wao wenyewe maana nitakuwa tayari nishawapa karibu Kila kitu cha kuanzia wao ni kuendeleza tu, Msemo wa watatafuta wenyewe Mimi huo nilishaufuta takribani miaka 20 iliyopita,...Siwezi kumaliza Vyote nilivyopewa lazima niwe na wasaidizi wa kuendeleza au kuharibu.
 
Hii nchi ni tajiri mnoo sema hawa wakuitwa viongozi hawana uwezo wa kutumia rasilimali zilizopo nchini. Huwa nashangaa sana wanaposema nchi imebalikiwa lakini la maana wanalofanya hakuna, mazingira wezeshi kwa wananchi wqke hakuna. Halafu nenda nchi kama Dubai ni jangwa lakini maisha ya wananchi wake ni mazuri. Njoo hapa Bongo watu wamepigika mpaka aibu. Akili na maarifa hakuna, majungu, wivu, uchawa n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom