mbao

  1. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo na asili ya mbao kwa uchumi endelevu, ustawi jamii na mazingira bora

    Fursa za uwekezaji Teknolojia ya mbao na bidhaa zisizo za mbao zinatupa fursa nyingi za uwekezaji kama Taifa. Mianzi nchini kwetu ni kitu cha kawaida lakini ni malighafi inayotumika kuongeza minyororo wa thamani wa bidhaa za mbao na kukuza uchumi kwenye mataifa yaliyoendelea kama china...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

    NA BADO KUNA KODI YA STOO Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba, Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia Januari 2024 linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na sio Watu wote

    Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Katazo la kutumia Kuni na Mkaa kuanzia January linahusu Taasisi zinazolisha zaidi ya Watu 100 na siyo Watu wote. Awali Waziri wa Mazingira Dr Jaffo alisema kuanzia January 2024 itakuwa ni marufuku mtu yoyote kutumia kuni na Mkaa kama nishati ya...
  4. I and myself

    JamiiForums Tanzania Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki

    Tunauza mbao za dawa na zisizo na dawa kwa bei rafiki kabisa mbao ndefu za dawa 2*4 ni shilingi 13,000 mbao za futi 12 za 2*4 ni shilingi 5000,2*2 za dawa ni 2800 ofisi zetu zipo mbezi mwisho karibuni sana
  5. U

    JamiiForums Tanzania Unatatuaje tatizo la Milango ya mbao kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua?

    Nimekuwa nikisumbuliwa Sana na milango kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua, ushauri wenu wadau wa nini nifanye!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

    Ngoja tuambizane ukweli kuhusu bahari! Kuna wakati unaweza hisi umejifunza yote! Kumbe unachokijua hapa duniani hakifikii hata theruthi ya theruthi ya maajabu ambayo huyajui hapa duniani! Hata mengine ukisimuliwa unaweza fikilia ni chai! Ukweli ni kwamba kila kitu Mungu kakibalansi! Ukibeba...
  7. Bexb

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa vibali katika Biashara ya mbao

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba maelekezo na mwongozo kwa vibali ambavyo mtu/kampuni inapaswa kuwa navyo ili iweze kufanikisha kusafirisha mbao/magogo kwenda nje ya nchi hasa Kenya na nchi za Asia. Pia kama kuna mamlaka nyinginezo zozote ambazo nitapaswa kupita kabla ya chochote ili...
  8. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Nimetumia mbao mwanzo mwisho..kila anayepita analishangaa banda hili...

    Kama picha inavyojionyesha,nimejenga hili banda kwa kutumia mbao mwanzo mwisho,wengine wananiambia ni gejenga banda la chuma,wengine wananiambia nimetumia gharama sana kujenga banda hili maana mbao zimekuwa ghari,wabongo wanakatisha sana tamaa,yani wanaona nina pesa kwa kuwa nimejenga kwa mbao...
  9. Mapand

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayeweza kuniunganisha na masoko ya mbao DSM bila dalali

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa. Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili iliyopita na katika kuendelea kufikiria namna ya kupata mtaji wa kufungua biashara yoyote yenye kunifanya...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania una 'Makomandoo' wa 'Majanga' au ni hawa tu wa Maonyesho ya Karate na Kuvunjiana Mbao Migongoni katika Uhuru / Muungano Day?

    Kama wapo huwa wanakuwa wapi katika Majanga ya Mafuriko, Moto ( Mioto ) kama huu wa sasa wa Mlima Kilimanjaro na Ajali? Nasubiri Mirejesho yenu na leo GENTAMYCINE Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Maoni yenu nyie 'Great Thinkers' wa JamiiForums na najua mtakuwa na Madini ya kutosha juu ya hili.
  11. resonanceiduufu

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu huu ‘Mkeka wa mbao’ (Floor Decor)

    Mwenye idea kuhusu "mkeka wa mbao" au "Floor decor" __ nimekuwa nikiona katika movies za nje (Ufilipino) na kwenye matangazo vifaa vya ujenzi hasa kenya. Uzuri? wake na Ubaya? wake__ nimekuwa nikiona matangazo wakisema warranty miaka 25! Vipi ubora wake unaweza kupiku tiles (vigae)? Nawasilisha!
  12. AH architectural

    JamiiForums Tanzania Karibu tukupaulie nyumba yako

    Karibuni sana tuwahudumie.
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine watumia ujanja wa kutengeneza HIMARS za mbao, Urusi wanazipiga na kutangaza

    Jameni Mrusi anateswa hadi basi tu, Ukraine wamekua wanatengeneza mifano ya HIMARS za mbao, kisha wanazianika Urusi wanazinyeshea kwa mvua ya mizinga kisha wanatangaza "leo tumelipua HIMARS 20".... Ukraine is reportedly using wooden decoys of advanced US rocket systems to trick Russia into...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wavuvi wa Laos wavua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao

    Tarehe 25 mwezi Agosti mwaka 2022, Visiwa vya ForThousand, Laos, wavuvi wa huko walivua samaki kwa kutumia nyavu za jadi zilizotengenezwa kwa mbao karibu na maporomoko ya Khone yaliyoko kwenye sehemu ya Mto Mekong.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wadudu wa mbao za paa unawadhibiti vipi?

    Jamani, nyumba yangu inashambuliwa na wadudu walao mbao, wanatoa sauti kama msumeno. Je, ni kitu gani nifanye kuwazuia ili wasilete madhara? Niko Dar Es salaam, kama kuna dawa labda niambieni inatwaje na inapatika wapi hapa Dar Es Salaam?!
  16. May Day

    JamiiForums Tanzania Tunalalmika njaa, ukame, ukosefu wa mvua ili hali Mkaa unapatikana wa kutosha, kuni zipo tele, Yadi zimejaa mbao za kila aina.

    Imeandikwa "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...na ndio kinachoendelea kwa sasa. Kuna wakati ukijaribu ku imagine huyu Mungu anatuchukuliaje ni ngumu sana kupata jibu. Tunachojaribu kumfanyia Mungu kwa sasa ni kama Mtu usikie kilio kikali cha Mtoto ndani alafu ukiingia unamkuta kaweka...
  17. salehek

    JamiiForums Tanzania Kabati la mbao used

    Bei: 160000 Location: Chanika kwazoo Lipo katika hali nzuri 0787969674
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Sofa bed ya mbao

    Sofa bed inafaa sana pale hali ya uchumi inapokuwa na changamoto na unalazimika kupanga chumba kimoja. Unaamka asubuhi unaangalia vitu vyote unavyomiliki. Kuna kitanda, jiko, ndoo ya kuogea na ndoo ya maji ya kupikia. Kuna wale wanaosoma mchana anahitaji kuwa na meza ya kusomea na wengine...
  19. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Hii EAC ya sasa ipo siku watu watagawana Mbao

    Hii jumuia ni ya ajabu sana kwa sababu moja ya sifa za Jumui ni kwa wanachama kuwa na umoja na upendo pia, ila sasa kwa EAC ni full kutafutana. Uganda ana bifu na Kenya kuhusu Biashara, bado ana bifu na Rwanda ya mambo ya usalama. Pia Burundi na Rwanda sio kihivyo sana zina bifu ya hapa na...
  20. Wiwachu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mbao nilizotumia kupaua nyumba zinaliwa na wadudu, nipake dawa gani kuzinusuru?

    Habari za wakati huu ndugu na jamaa, mimi ni mhanga wa tatizo la mbao za nyumba yangu niliyopaua miezi 9 iliyopita toka mwezi wa 9 mwaka jana ila kufika leo hii nasikia juu kwenye dali kelele za wadudu kama wanakula mbao asubuhi pia nikiamka naona kuna uchafu wa mbao kuliwa kama unga unga...
Back
Top Bottom