mbao

  1. BigTall

    JamiiForums Mnada ambao NHC wamenunua eneo la Urafiki kwa Ekari 50 kwa Bilioni 3 ulifanyika lini? Wapi? Nani walioshirikishwa?

    Nimesoma hapa JF kuhusu NHC kununua eneo la urafiki kwa njia ya Mnada kwa Shilingi Bilioni 3, nikahisi labda wamekosea au walimanisha Dola Bilioni 3, nilipoenda kwenye kurasa rasmi za NHC nikakutana na taarifa ileile. Taarifa ya Ununuzi - NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo...
  2. A

    JamiiForums INAUZWA Kabati la Milango mitatu Mninga (Mbao ngumu) linauzwa

    SOLD...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Biashara haramu ya mbao kwenda China inavyofadhili uasi Msumbiji

    Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu pamoja na mtandao mkubwa wa uhalifu kaskazini mwa nchi hiyo. Biashara hii haramu ya miti ya...
  4. P

    JamiiForums Kuna tatizo lolote kuezekea na mbao zenye ubichi?

    Habari zenu wakuu. Nataka kupiga kenchi na mbao ninazotaka kuezekea Bado mbichi Je Kuna changamoto yoyote kupiga kenchi na mbao za aina hii?
  5. vumiliag

    JamiiForums Nauza viti vya mbao vyakutumia bar, grocery au mgahawani

    Nauza viti vya mbao ambayo unaweza kutumia bar,grocery au mgahawani... viti vinapatikana shekilango nyuma ya ofisi za abood bus au shabiby ■ kiti cha watu 2 vipo vi3 ■meza 3 ■stuli 6 inamaanisha kiti cha watu2+meza+stuli 2=150000 (mzunguko uko mara 3) inamaana ukichukua vyote ni laki450000 bei...
  6. Muxt

    JamiiForums Biashara ya mbao

    Wakuu kwema!! Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza. Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa Vitu muhimu navyotaka kujua 1. Bei ya chainsaw 2. Bei za miti 3. Bei za wachananji/fundi 4.Bei za mbao...
  7. The Puncher

    JamiiForums Shamba ekari 60 linauzwa Mufindi, linafaa kwa Parachichi au Miti ya mbao

    Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
  8. N

    JamiiForums Mashamba ya miti ya mbao yanauzwa

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana. Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa. La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  9. N

    JamiiForums Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  10. Edward Mwesongo

    JamiiForums Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

    Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia Miembe aina zote. Parachichi aina zote za biashara na nyumbani. Mipera iko...
  11. MIXOLOGIST

    JamiiForums Dawa ya wadudu wanaokula mbao ni ipi?

    Habari wana JF Nimetoka kumtembelea ndugu yangu kwa bahati mbaya dari lake lina shambuliwa na mdudu ambaye anapiga kelele kama msumeno. Nilishtuka kidogo na huyo mdudu naambiwa anachoronga mbao within short time unakuta unga unga hivi. Je dawa ya huyo mdudu ni ipi, tafadhali hili ni jambo la...
  12. Imole

    JamiiForums Msaada kutengeneza picha mbao.

    Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
  13. MEGATRONE

    JamiiForums Ushauri kuhusu mbao nzuri za kujengea makabati ya jikoni ukutani

    Habari za humu? Nilikuwa naomba kujuzwa mbao gani ni nzuri kwa kujengea makabati ya ukitani na pia Jikoni. Natanguliza Shukurani
  14. Tanki

    JamiiForums Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  15. Kitchener

    JamiiForums Duka gani nitapata original Tanalith C kwa ajili ya mbao?

    Kwa mwenye kujua, ni duka gani naweza kupata hii dawa original? tafadhali.
  16. M

    JamiiForums Tunatengeneza furniture za epoxy na mbao

    Wadau habari, Karibuni kwa biashara Sisi ni mafundi wa furniture ambazo zinatumia material za epoxy/resin zikichanganyika kitaalam na mbao na kuleta mvuto . Tunapatikana maeneo ya makumbusho. Naweka mfano wa baadhi ya furniture mniunge mkono. Karibuni kwa dm tupeane mawasiliano na taarifa...
  17. Desierto

    JamiiForums Ni kitanda gani kizuri; mbao, chuma au sofa?

    Ni kitanda gani kizuri na sifa zake nikanunue Hatimaye kama nilivyonuia kwamba mwezi wa tisa hautaisha bila kuwa na kitanda ni karibia mwaka Sasa mimi na mama mtoto wangu tunatupa godoro yetu chini asanteni Wote mlionipa matumaini tokea siku ya kwanza nilipolalia mabox MUNGU ASIFIWEEEE
  18. Ester505

    JamiiForums Naomba kujuzwa kuhusu biashara ya mbao banzi

    Naomba mwenye uzoefu na hii Biashara jamani anieleze A-Z. Nataka kuianza
  19. P

    JamiiForums Serikali iangalie Watoza Ushuru wa Mbeya wanatunyanyasa Wafanyabiashara wa mbao

    Sisi Wafanyabiashara wa mbao tuliopo Mbalizi, Mbeya Vijijini tuna malalamika kuhusu Watoza Ushuru wanaosimama kwenye mageti. Wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kutaka kutupiga faini na kututaka tukate ushuru wa TP (Transportation Permit) mara mbilimbili. Utaratibu uliopo tunaopewa na Wakala...
  20. THE BIG SHOW

    JamiiForums Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
Back
Top Bottom