mbao

  1. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA (WOODMIZER)mashine ya kisasa ya kuchana magogo

    Sifa zake. Ni mashine imara. Huchana magogo mengi kwa mda mfupi na kwa ulaji mdogo wa mafuta na umeme kwa ile ya motor engine. Inaweza kubebeka. Inapatikana Arusha,Tanzania. Bei ni shillingi million 17. Usiogope piga simu kwa namba hapo chini tutaelewana zaidi. Kwa mawasiliano na malelezo...
  2. Removers

    JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za namna ya kujenga nyumba ya kisasa ya mbao

    Habarini ,wakuu Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu/walio na ujuzi na pia waliofanikisha ujenzi wa Nyumba za mbao ,,mfano mzuri Nyumba za wenzetu wa ulaya, wanipe msaada na maelekezo juu ya mahitaji muhimu ya kuanzisha ujenzi huu, mazingira yanayofaaa kujenga.. Nimeamua nianze ujenzi huu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani wanachongesha vitanda vizuri vya mbao Dodoma?

    Wakuu sehemu gani Dodoma wanachongesha vitanda vizuri quality vya mbao kama vile mninga au mkongo?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kilimo cha matunda, miti na viungo pamoja na uuzaji wa miche yake

    Habari wanajamvi, Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi. Kabla hatutajatangaza bidhaa tutoe nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kilimo cha matunda, miti na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbao wanavuna walichokipanda, walifanya kosa la kwanza kumfukuza Ndailagije wakapata bahati ya kumpata Amri Saidi wakarudia kosa wakamuondoa

    Mbao wanavuna walichokipanda. Walianza kufanya makosa kwa kumfukuza ndailagije aliekua akiijenga timu taratibu wakapata bahati wakampata Amri Saidi akaanza na timu vizuri. Sijui wakawaza nini wakafanya kosa lingine kwa kumletea Ali Bushiri kocha mzoefu aliemzidi elimu ya ukocha eti awe msaidizi...
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

    Huduma ya INTANETI sasa imerejea. Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu ulioupata leo. Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia kesho asubuhi. Ila kwa uhalisia bado haifungui chochote bado isipokuwa Facebook tu labda.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Simba Leo anapoteza dhidi ya mbao

    Binafsi me ni mshabiki wa Simba na namna timu yangu inavyocheza ni ngumu Sana kupata matokeo mechi za mikoani tupo slow, atutumii energy kubwa kwenye game na ukiangalia na mbao wanavyocheza Leo tutafungwa tukijitaidi Sana ni draw
  8. Tembele

    JamiiForums Tanzania Mbao na nguzo zilizotengenezwa kwa taka za plastiki

    Tunapenda kukufahamisha kuwa tuna MBAO na NGUZO ZA PLASTIKI (zilizotengenezwa kwa mabaki ya plastiki 100%) zilizo katika urefu na saizi tofauti, imara na madhubuti kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa makazi, bustani na Alama za Barabarani, kukutengenezea muonekano mzuri sana. Mbao na Nguzo hizi za...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa mliopo Mufindi na kwingineko, nataka nijitose kwenye biashara ya mbao, naombenini ushauri na uzoefu

    Wadau wa JF, Mada hapo imeeleweka bila shaka. Nataka nijitose katika biashara ya mbao baada ya kuhisi itanilipa kwa maoni yangu. Nataka ninunue kutoka mikoa ya Njombe na Iringa na kuzisafirisha kuuza mkoani Dodoma ambapo kuna fursa kubwa ya ujenzi hivi sasa. Ni mgeni katika biashara hii na...
Back
Top Bottom