mbao

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mlango wa mbao vs geti la chuma

    Hivi wanaoweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni nini?
  2. Zogolo1550

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hili ndilo jengo refu zaidi kwa makazi linalojengwa kwa mbao

    Uswizi inatazamiwa kuwa ndiyo nchi ya kwanza duniani kuwa na jengo refu zaidi la makazi litakalojengwa kwa mbao. Mradi huo uliopewa jina la Rocket & Tigerli, utajumuisha majengo manne likiwemo moja litakalokuwa na mnara wa urefu wa mita 100 (futi 328). Ujenzi wa jengo hilo unatazamiwa...
  4. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Anayejua Bei ya shelf za mbao za Duka la dawa tafadhari

    Msaada tutani! Naomba anayejua Bei ya shelfu za mbao Kwa ajili ya Duka la dawa tafadhali. Natanguliza Shukrani
  5. yvonne mtete

    JamiiForums Tanzania Tunauza mbao zenye dawa/treated

    Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja. Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure! Tunapatikana Buguruni chama Dar es salaam Tupigie[emoji3513] 067 898 0404 Tupigie[emoji3513] 062 316 0404
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC nawatahadharisha msiidharau Mbao FC leo kwani hata Wababe na Matajiri wa DTB FC hawakuamini kilichowakuta

    Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa ichukuliwe mno na Yanga SC kwani katika Mpira wa Miguu lolote laweza Kutokea na Mifano ya hili iko mingi...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Jeff Leah: Kwa udhaifu wa Mbao, Yanga atashinda goli nyingi maana Yanga hahitaji kuhonga nje ya uwanja

    Mchambuzi Jeff Lea amesema udhaifu wa Mbao Fc, itapelekea Yanga ashinde goli nyingi hiyo kesho katika mchezo wa Azam Sports Federation. Hivyo Yanga hawezi kuhonga pesa nje ya uwanja kwakuwa Mbao Fc ni dhaifu kwasasa. Aliongeza Jeff Jeff alienda mbali zaidi akasema "Kwa Yanga hii ambayo ndani...
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

    Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
  9. Mbao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hadi Mama Dangote amekuja Mbao Tanzania, sijui anajenga ghorofa!

    Habari zetu kupitia JF zinafika mbali sana. Ishukuriwe platform hii kwa kutusaidia kuonekana kupitia mijadala yenye tija hasa kwa sisi eneo letu la ujenzi na hamasa tunazopeana humu. Tunapenda kuwajuza tu kuwa Mama Dangote ni miongoni mwa wateja wetu waliofika #MbaoTanzania kuchukua mzigo wa...
  10. Graphics Joker

    JamiiForums Tanzania Karibu tukutengenezee picha mbao iliyo bora zaidi

    Hello! PICHA ZA UKUTANI Kulingana na mabadiliko ya teknolojia tumekuletea mfumo mpya wa picha za ukutani zisizokua na kioo ni mbao tupu. Ni imara na haziloani na maji kulinda ubora wa picha. Karibu tukutengenezee picha mbao iliyo Bora zaidi A4 15,000/= A3 25,000/= A3+ 35000/= A2 55,000/= A1...
  11. love life live life

    JamiiForums Tanzania Siku tukigawana mbao Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda Zenj?

    EAC ilipovunjika Kenya alihodhi mali nyingi za EAC je, ikitokea tumegawana mbao Tanganyika itarudishaje mali na mikopo iliyoenda zenji?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naomba soko la mbao aina ya Mahogany na mvule toka Congo DRC

    Ndugu wana JF naomba mwenye taarifa ya soko la mbao aina ya MVULE AU MAHOGANY toka DRC anijulishe tafadhali nimepata msitu mkubwa DRC nimeshaanza kuzalisha hivyo nahitaji soko la uhakika.Niko tayari kutoa kamisheni kwa mtu atakayenipa connection ya masoko. Namba yangu 0783881930
  13. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupigwa kabari, roba ya mbao tukutane hapa

    Mwaka 1998 nilipigwa roba ya mbao mchana kweupe. Ilikuwa ni Mwananyamala, nina backpack 🎒 naenda kwa Taki Mdeng'o shosti wangu kumringishia visa yangu ya USA 🇺🇸. Safari na ndoto za kuingia nchi pendwa zikaniisha. Taking yuko Uingereza. Hadi leo
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tazama vile viumbe tunavyotumia mbao kwa wingi! Lakini kuna mtu humu hajawahi hata kufikilia kupanda mti hata mmoja

    Binadam tunalalia vitanda asilimia kubwa ni mbao! Ebu waza idadi ya kaya mtaani kwako halafu uzidishe kwa taifa zima utagundua ni miti mingi imepotea kutengenezea hivyo vitanda! Waza idadi ya majumba, kila nyumba ina milango ya mbao, kenchi za mbao, madilisha ya mbao na makabati ya mbao hakika...
  15. Zinnob5

    JamiiForums Tanzania Pata mbao bora na nzuri kwa bei poa

    Mbao Tanzania⚠️je,unatafuta MBAO IMARA zenye Dawa(TREATED),zilizokomaa kwa zaidi ya miaka 15 Na Zisizoharibika kwa kuliwa na MCHWA? kwa BEI POA KABISA 💥 ⚠️Tupo ILALA BUGURUNI,karibu na daraja la buguruni. Jina la ofisi ni MBILINYI TIMBER ⚠️WASILIANA NASI KABLA YA KUJA KUEPUKA UTAPELI...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mbao za Mkongo vs Mninga

    Habari wanajamiiforum, Napenda kuuliza kati ya mbao za Mkongo na Mninga, zipi ni nzuri zaidi au bora zaidi kwa kutengenezea furnitures kama vile kitanda na kabati? Ahsanteni
  17. diamond d

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka kufungua yard ya mbao Dar es Salaam

    Kwa wazoefu naomba kujua faida na changamoto za kufungua Yard ya mbao jijini Dar es Salaam au Arusha na Mwanza. Ushauri wako ni Muhimu sana ndugu.
  18. Guru Master

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Milango ya Mbao na Frame kwa Mbao za Mninga, Mkongo, Mbanda Kwa bei rahisi sana

    Tunachukua order za kutengeneza Milango ya Mbao,Imara na Misafi toka Urambo Tabora. Mbao Maarufu za Mninga ,Mkongo na Mbanda. Inapatikana. Kwa order kuanzia milango 5 na kuEndelea. Karibuni Kwa order na mawasiliano zaidi. Huo ambao haujawa polished Tsh. 300,000. Pure Mninga. Ule wenye vibox...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya mbao na saruji inapendeza

    Ukifanikiwa kujenga nyumba hii hakikisha au muombe Mungu usiwe na marafiki wanaonunua petrol mkigombana.
  20. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Idadi ya ya mabati na mbao

    Ninaomba wenye utaalamu wa kukadiria vifaa/gharama za ujenzi anisaidie kupata idadi ya bati kwa hali yenye ukubwa wa 15.3 x 13.5. Paa nne
Back
Top Bottom