Wadudu wa mbao za paa unawadhibiti vipi?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,340
5,574
Jamani, nyumba yangu inashambuliwa na wadudu walao mbao, wanatoa sauti kama msumeno.

Je, ni kitu gani nifanye kuwazuia ili wasilete madhara? Niko Dar Es salaam, kama kuna dawa labda niambieni inatwaje na inapatika wapi hapa Dar Es Salaam?!
 
Jamani..nyumba yangu inashambuliwa an wadudu walao mbao ,,wanatoa sauti kama msumeno.Je nikitu gani nifanye kuwazuia ili wasilete madhara?niko Dar Es salaam.Kama kunadawa labsa jiambieni inatwaje na inapatika wapi hapa dar es salaam?
hao wapuuzi wanakula vibaya sana hasa nyumba ikiwa kimya, nilichojifunza siku ya kupiga dawa za mbao za kupaulia unakuwa na dawa yako nyingine kwa pembeni unaenda jioni kabisa utaponunua mbao na kuweka dawa, wakiweka dawa yao wakimaliza na wewe unaweka yako halafu mbao zinalala asubuhi ndio unaenda kuzichukua kuelekea site kupaua ila kwa sasa tumia hiyo aliyoelekeza dronedrake hapo juu kuna lita 1 yake inauzwa kitu kama 30K-40K.
 
Saw a,,dawa inaitwaje ili niakununue.Na kama liishaezeka nakuweka gypusm..je naitumiaje..ukweli mwaka umeisha wanatesa sana ..naogopa paa lisije likadondoka
 
Saw a,,dawa inaitwaje ili niakununue.Na kama liishaezeka nakuweka gypusm..je naitumiaje..ukweli mwaka umeisha wanatesa sana ..naogopa paa lisije likadondoka
Unatumia kitambaa kupaka kwenye mbao
 
Mbao ulizo nunua na kuziweka
Zilikuwa zimepigwa dawa au ni zile ambazo hazina dawa

Ova
 
Huyu bwana kama sijakosea ameshaezeka. Wadudu wanakula mbao zilizoezekwa tayari. Sasa zitakuwa kwenye paa zimefunikwa na mabati na silingi bodi.
Afanyeje kwa hali hiyo?
 
Saw a,,dawa inaitwaje ili niakununue.Na kama liishaezeka nakuweka gypusm..je naitumiaje..ukweli mwaka umeisha wanatesa sana ..naogopa paa lisije likadondoka
nunua spray tank ile kubwa (au kodi kwa watu wa fumigation),
zimua dawa tajwa hapo juu, weka kwenye tank then panda juu darini fanya ku spray
 
Back
Top Bottom