mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini watu wengi walitamka kwamba utawala wa Mwendazake hautafika mbali

    Wakati wa mwendazake karibu Kila mtu alikuwa akitamka kwamba utawala wa mwendazake hautofika mbali. Ilikuwa unaweza ukakutana na kajamaa kametoka kijijini kwako huko Isungachupi , hakajui chochote kuhusu utabiri lakini kanakwambi Kwa confidence kabisa kwamba " Ndugu yangu wee huyu jamaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky wa Ukraine anapoomba NATO waweke "No fly zone" nchini Ukraine, je anajua athari yake kwa nchi yake? achilia mbali athari kwa NATO

    Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine. Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine. Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani...
  3. JamiiForums Tanzania Venance Shitindi angefika mbali Kisiasa lakini alijikoroga akakorogeka

    Wakuu Kwema! Wangapi mnamkumbuka Venance Shitindi? Huyu jamaa alikuwa Kiboko, watu wengi walikuwa wakimkubali Sana Kwa misimamo yake isiyoyumbishwa, alitetea wanyonge wasinyongwe, alijihatarisha masomo yake Kwa ajili ya watu. Taikon nilikuwa navutiwa na Siasa za huyu jamaa kipindi tunasoma...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Maji iende mbali zaidi kwani miji mingi tunauziwa Maji kwa bei kubwa

    Maji ni uhai wa vitu vyote vinavyopumua Dunia, nichukue nafasi hii kumpongeza Waziri kwa kushugulikia tatizo hili ambalo limekuwa sugu hasa kwa wauza Maji ya ku pump kutumia pump za dezel au uneme. Imekuwa kawaida kwa wasambazaji wa huduma hii kujiongezea kiwango Cha pesa pasipo washirikisha...
  5. JamiiForums Tanzania Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

    Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
  6. JamiiForums Tanzania Hebu tuiangalie nchi ya Ukraine katika kurunzi ya kiuchumi

    UTANGULIZI Mambo mengi sana yameongelewa, lakini kuna yaliyofichika nyuma ya pazia. Unapoangalia mgogoro wa Ukraine na kuuchambua hebu tujitahidi kuzingatia haya mambo muhimu yafuatayo. Tuzingatie umuhimu wa kiuchumi wa nchi ya Ukraine kwenye siasa za Urusi, Marekani na Ulaya. Hapa nazungumzia...
  7. JamiiForums Tanzania Ukraine: Mataifa ya magharibi yanatuangalia kwa mbali, njooni mtusaidie

    Volodymyr Zelensky ametoa ombi jingine kwa washirika wa nchi za Magharibi kuisaidia Ukraine na kukomesha mashambulizi ya kikatili ya Urusi. "Leo asubuhi tunalinda taifa letu peke yetu. Kama jana, majeshi yenye nguvu zaidi duniani yanatazama kutoka mbali," Zelensky alisema katika hotuba yake kwa...
  8. JamiiForums Tanzania MAHUSIANO YA MBALI NA KERO ZAKE

    Wasalaam, bila shaka muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya usiku hapo kitandani. Bila shaka wengi wetu tuna mahusiano ya kimapenzi na watu ambao kutokana na mihangaiko ya maisha wamesambaa mikoa mbalimbali. Binafsi nnao kama watano ktk mikoa tofauti. Na kwa sasa nimeoa na kujaliwa watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

    Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai. Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Australia: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya Djokovic kupinga Visa yake kufutwa

    Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini. Mahakama inaamuru kwamba rufaa itupiliwe mbali kwa gharama ya mlalamikaji," umebaini uamuzi huo ulioidhinishwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

    Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa. Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
  12. JamiiForums Tanzania Marehemu Njonjo wa Kenya alikuwa mtata sana

    Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 kaa mbali, wapinge na wadharau watu wote wenye tabia za ki-antsocial

    Watu wenye tabia za ki-antsocial huwa na tabia zifuatazo. 1.Hawajali haki za wengine. 2. Huwa ni wenye hila(Manipulative). Wanafanyafanya ujanja ili wakutake advantage. 3. Waongo. Ni watu waongo waongo ili wafanikishe mambo yao au kucover uovu wao. Uingo wa kujirudiarudia 4. Hawajutii makosa...
  14. JamiiForums Tanzania James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

    Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani. James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua...
  15. JamiiForums Tanzania Kwakweli tumetoka mbali sana

    Naomba tujikumbushe, kwanini kwa matamko haya tusiidai katiba? MSIWABATIZE WATU KWA JINA LA UGAIDI,KISA ....
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rosa Ree na Abby Chams Moto wa Kuotea Mbali Wametuletea Hii

    A beautiful love song from the Goddess #RosaRee and as always she never disappoints. In this amazing love story she has featured singer songwriter and violinist #AbbyChams and it’s a MUST WATCH. Rosa Ree never seizes to surprise us with her amazing talent. Can’t wait for what’s next.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Picha mbali mbali za wakristo duniani kote wakisheherekea Krismasi

    St Basilica Vatican St patrick's basilica Manhattan New YorkSri lanka Syria Kenya Moscow Urusi
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe biological weapons zilianza mbali

  19. JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali. Iangalie Tanzania ya mwaka1999

    Kwenye makala ya hawa jamaa tunaona Dar es salaam ya zama hizo, barabara ya Dar kwenda Kilwa, Reli ya Dar Kigoma, meli ya MV Mwongozo zama hizo na mengine mengi. Kweli tumetoka mbali. Hebu tuambie, unakumbuka nini cha enzi hizo? Ulikuwa wapi? Unadhani jambo gani limebadilika kwa kiasi kikubwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako - Mahusiano ya kidiplomasia

    UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji zaidi ya 120 kutoka Nchini Misri hii imetokana na Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwezi Novemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…