mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. MAHUSIANO YA MBALI NA KERO ZAKE

    Wasalaam, bila shaka muwazima na mnaendelea vema na majukumu ya usiku hapo kitandani. Bila shaka wengi wetu tuna mahusiano ya kimapenzi na watu ambao kutokana na mihangaiko ya maisha wamesambaa mikoa mbalimbali. Binafsi nnao kama watano ktk mikoa tofauti. Na kwa sasa nimeoa na kujaliwa watoto...
  2. Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

    Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai. Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo...
  3. Australia: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya Djokovic kupinga Visa yake kufutwa

    Mahakama ya Shirikisho la Australia siku ya Jumapili Januari 16 ilikataa rufaa iliyoletwa na Bingwa wa Tennis duniani Novak Djokovic dhidi ya kufutwa kwa visa yake na kufukuzwa nchini. Mahakama inaamuru kwamba rufaa itupiliwe mbali kwa gharama ya mlalamikaji," umebaini uamuzi huo ulioidhinishwa...
  4. M

    Kusubiri uchaguzi wa mwaka 2025 ni mbali sana, kuna namna tunaweza kuwaondoa madarakani hawa wanaCcm kabla hawajakomba mali za taifa letu?

    Ukweli ndio huu, mpaka tuje tufanye uchaguzi mkuu mwaka 2025 tutakuwa tumeshaumizwa sana. Maana kuna dalili za safu ya kulipiga na kulimaza kabisa hili taifa. Sasa kuna uwezekano wa kutumia bunge au nguvu ya umma wakaachia ngazi? Maana tusikubali kuibiwa na kufanywa watwana.
  5. Marehemu Njonjo wa Kenya alikuwa mtata sana

    Muda mfupi uliopita nilikuwa nasoma habari kwenye tovuti ya The citizen kuhusu huyu mzee Njonjo ambaye aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa Kenya kwa takriban miaka 17. Kilichonivutia hasa kuhusu habari hii ni uhusiano kati ya Mwai Kibaki na marehemu mzee Njonjo. Mwandishi anadai wazee hawa waliishi...
  6. Mwaka 2022 kaa mbali, wapinge na wadharau watu wote wenye tabia za ki-antsocial

    Watu wenye tabia za ki-antsocial huwa na tabia zifuatazo. 1.Hawajali haki za wengine. 2. Huwa ni wenye hila(Manipulative). Wanafanyafanya ujanja ili wakutake advantage. 3. Waongo. Ni watu waongo waongo ili wafanikishe mambo yao au kucover uovu wao. Uingo wa kujirudiarudia 4. Hawajutii makosa...
  7. James Web Telescope: Darubini kali kwa ajili ya kutazama anga la mbali yaondoka rasmi duniani

    Chombo anga kwa ajili ya kusaidia shughuli za kiuchunguzi katika anga la mbali James Web TELESCOPE 🔭 kimeondoka rasmi duniani na kuelekea katika eneo lake la kiuchunguzi huko katika space mile 1500000 kutokea duniani. James Web telescope ni mradi uliutumia zaidi ya trillion 22.3 na kuchukua...
  8. Kwakweli tumetoka mbali sana

    Naomba tujikumbushe, kwanini kwa matamko haya tusiidai katiba? MSIWABATIZE WATU KWA JINA LA UGAIDI,KISA ....
  9. U

    Rosa Ree na Abby Chams Moto wa Kuotea Mbali Wametuletea Hii

    A beautiful love song from the Goddess #RosaRee and as always she never disappoints. In this amazing love story she has featured singer songwriter and violinist #AbbyChams and it’s a MUST WATCH. Rosa Ree never seizes to surprise us with her amazing talent. Can’t wait for what’s next.
  10. M

    Picha mbali mbali za wakristo duniani kote wakisheherekea Krismasi

    St Basilica Vatican St patrick's basilica Manhattan New YorkSri lanka Syria Kenya Moscow Urusi
  11. Kumbe biological weapons zilianza mbali

  12. Tumetoka mbali. Iangalie Tanzania ya mwaka1999

    Kwenye makala ya hawa jamaa tunaona Dar es salaam ya zama hizo, barabara ya Dar kwenda Kilwa, Reli ya Dar Kigoma, meli ya MV Mwongozo zama hizo na mengine mengi. Kweli tumetoka mbali. Hebu tuambie, unakumbuka nini cha enzi hizo? Ulikuwa wapi? Unadhani jambo gani limebadilika kwa kiasi kikubwa...
  13. J

    Ukitaka kwenda mbali, nenda na wenzako - Mahusiano ya kidiplomasia

    UKITAKA KWENDA MBALI, NENDA NA WENZAKO - MAHUSIANO YA DIPLOMASIA Matokeo Chanya ya Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan yashusha neema kwa Watanzania leo tunashuhudia Ujumbe wa Wawekezaji zaidi ya 120 kutoka Nchini Misri hii imetokana na Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan mwezi Novemba...
  14. Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  15. Viongozi wetu waliogomea suala la kuunganisha Tanzania, Uganda na Kenya waliona mbali

    Kuna siku mzee fulani alinisimulia jinsi Nyerere alipambania sana Afrika Mashariki iwe nchi moja, ila viongozi wa Kenya wakasuasua na hatimaye wakapiga chini hilo wazo. Nikawaona viongozi wetu kama ambao hawakua na upeo wa kuona mbali, ila nimekua nasoma hizi taarifa za mkanganyiko wa Zanzibar...
  16. Kwa wanaoona mbali, Waziri Ndalichako ni sumu kwenye mfumo wa elimu

    Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu...
  17. K

    OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  18. Unyanyasaji wa haki za msingi za watotoa mashuleni umulikwe. Kiambatanisho kwa thread kifike mbali

    Wazazi tuungane kukemea hili. Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance. Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani. Siku za michezo ni michezo kwelikweli Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa Na bado tulifaulu vizuri msingi...
  19. Kukosekana kwa maji kumenisabisha kujisaidia haja kubwa mbali na ofisi

    Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji. Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna. Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji...
  20. L

    Mradi wa Wancuntong wawezesha wanavijiji wa mbali barani Afrika waungane na Dunia

    Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China ilifunga vipokezi vya televisheni vya kidijitali nyumbani kwake, na sasa anaweza kutazama TV ili kuelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…