mbali

Enhle Mbali Mlotshwa (born 3 March 1988), is a South African actress, TV presenter and fashion designer. She is known for her breakthrough role on the South African Television Series, Tshisa. She launched the maternity wear range SE Preggoz in South Africa and New York in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Command centre ya Hezbollah yasambaratishiwa mbali, yafichua IDF

    Wanaume kazini. ========== The IDF says it has hit a Hezbollah "command centre" in Lebanon in retaliation for strikes towards Israeli territory. An Israeli fighter jet carried out the strike in the town of Blida in Lebanon. "Earlier today, numerous launches were identified from Lebanon...
  2. JamiiForums Tanzania Hezbollah wazidi kusonga mbali na mpaka wa Israel, licha ya makelele yote yale

    Tumekuwa tukiambiwa humu kwamba Hezbollah watafanya....haya hao sasa wanaepuka kichapo... Hezbollah has withdrawn its forces from the Israeli border by two to three kilometers, Maariv reported Thursday, citing a report from The Economist. It is a “tactical withdrawal” and a signal to Israel...
  3. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Wageni Kutoka Mbali na Karibu

    IMEPOKEA WAGENI KUTOKA MBALI NA KARIBU Maktaba leo imepokea wageni kutoka mbali na karibu. Kulia ni Mwalimu Juma Nyuni kutoka MUM, Prof. Kai Kresse wa Zentrum Moderner Orient, Berlin, Ujerumani, Mohamed Said, Prof. Ibrahim Noor Shariff kutoka Muscat, Oman na Afisa wa MUM Mohamed Ali. Ndugu...
  4. JamiiForums Tanzania Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  5. JamiiForums Tanzania NHIF kaeni mbali na mchakato wa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote

    Wasalaamu wanaJF Herini ya Krismasi na maandalizi ya funga mwaka 2023. Leo tena ninarudi jamvini nikija na ushauri kuntu kwa wizara zote zinazohusika na afya pamoja na wadau wa sekta ya afya. Utambulisho Nirejee kwa kujitambulisha kuwa kwa miaka kadhaa kama raia, mwanaJF, mdau wa maswala ya...
  6. JamiiForums Tanzania Israel yakatalia mbali ombi la HAMAS kwamba iache vita kabisa ili mateka waachiwe

    Hivi kwa anayejua atusaidie kuelewa, baada ya HAMAS kuteka hao watu, walitoa sharti gani mwanzo ili kuwaachia, maana naona sasa wamekubali yaishe almradi Israel iache mapigo zaidi, na hii ni baada ya Israel kuua Wapalestina 20,000 na kuifanya Gaza kuwa shamba. Je sharti la mwanzo la HAMAS kabla...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara hii imefika mbali?

    Unabomoa vibanda wanahamia mtandaoni. Ni kuachana nao, hawawezekaniki.
  8. JamiiForums Tanzania Ni tukio gani lilitokea ukiwa mbali na mazingira husika ukatamani ungekuwepo kwa muda huo?

    Habari wakuu, maisha yana mjumuiko wa matukio mengi sana. Kuna matukio ambayo wengi wetu tunapenda kuyasikia sana na hayatupi shida yeyote, haya ni matukio mazuri au habari njema mfano, kupata mtoto, mavuno mazuri n.k Kuna matukio tusiyopenda kuyasikia ni mwiba mkali maishani mwetu kwa wakati...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

    Habari wakuu Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa, mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu. Kabla sijajisajili kwa uvccm ili...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya Uteuzi na Uhamisho wa viongozi mbalimbali leo tarehe 14.12.2023

    UTEUZI: Rais wa Tanzania, Dtk. Samia Suluhu Hassan amemteua Michael Kachoma kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega akichukua nafasi nafasi ya Veronica Vicent Sayore ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Rais Samia pia amemteua Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Wanging’ombe Maryam...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda hatafika mbali na atakuwa sababu ya CCM kupoteza mvuto kanda ya ziwa na maeneo mengine

    Mike Tyson alipozidiwa ujanja na Evander Holyfield, Tyson alimng’ata Evander sikio na ilikuwa aibu kwelikweli siku hizo na pia ulikuwa mwisho wa umaarufu wa Tyson. Je watanzania mnajua kwanini nchi nyingi barani Africa ukabila ni tatizo kubwa? Na ni akina nani walianzisha ukabila huo na kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiwa kama abiria unasafiri safari ya mbali ni vizuri ule nini njiani na uepuke kula nini

    Safari ni hatua, Safiri salama. Mpendwa, Mthalani abiria anasafiri kwa basi kutoka mkoa moja kuelekea mkoa mwingine. Ni aina gani nzuri ya vyakula avitumie njiani na aina gani ya vyakula abiria huyu msafiri aviepuke kula njiani, ili hatimae safari yake iwe tulivu, huru, nzuri na salama kiafya?
  13. JamiiForums Tanzania Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo. Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana makini na wathamani hawezi kuwa mtu wa kuchezea wanawake.

    Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake . Hivyo katikati ya safari yako unaweza kumuhalika Mwanamke kuwa aje katika MAISHA yako kwa lengo la kutafuta ukamilisho na kukamilishana na sio...
  16. JamiiForums Tanzania Diamond anaona mbali sana, hakukosea kabisa alipoimba Makonda baba lao!

    Tuseme tu ukweli, mganga aliyempata Makonda ni kiboko, asimuache kabisa. Maana kutoka kuchukiwa na wengi mpaka kuwa kipenzi cha wengi si jambo dogo ujue. Ila yote tisa, kumi ni hili suala la kuwawawashia moto mpaka Mawaziri, jambo ambalo hata Mh Rais hawezi kulifanya. Ndio maana Mawaziri...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  18. JamiiForums Tanzania Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tafadhali litafutwe Neno lingine, ila hili la 'GOLI LA MAMA' libadilishwe kwani linafikirisha mbali

    Binafsi kila nikisia tu 'GOLI LA MAMA' si tu kwamba huwa Nashtuka lakini pia huwa nawaza mbali sana kama Mwanasayansi na Mdau mkubwa wa Somo la Baiolojia na Baiolojia ya Wanadamu / Mwanadamu. Nitashukuru sana hili likifanyiwa Kazi.
  20. JamiiForums Tanzania Watu wote wanaoandaa chakula, hasa kachumbari wanatakiwa kuvaa gloves

    Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu. Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…