mbadala

  1. Fohadi

    JamiiForums Tanzania SoC01 Muhimu Serikali kuunda Tume za kuzuia maafa ili ziwe mbadala wa tume za kuchunguza vyanzo vya maafa ambazo huundwa baada ya maafa kutokea

    Utangulizi Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa jamii kwa ujumla. Baadhi ya athari ambazo zimekuwa zikijitokeza ni pamoja na upotevu mkubwa wa nguvu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Asiyetaka tozo ya kizalendo atupe njia mbadala ya kupata fedha

    Spika Ndugai amesema wabunge wameshapitisha tozo ya kizalendo kwenye miamala ya simu na sasa ni sheria hivyo asiyeitaka atupe njia mbadala ya kutufikisha 2025 Roho wa Bwana akamshukia mtumishi wake Jerry Slaa mbunge wa Ukonga naye akajibu; Wabunge tuanze kulipa kodi. Labda kama Spika ana swali...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Huawei kuzindua mfumo wake wa uendeshaji simu janja mbadala wa Android

    Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google. Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Griffiths: Hakuna mbadala wa chanjo kwa wanaotaka kusafiri kimataifa

    Bosi wa Uwanja wa Ndege wa Dubai, Paul Griffiths amesema haoni mbadala wa Hati za Kusafiria ‘Passports’ ambazo zitaambatanisha na chanjo za COVID19 ambao hawatakuwa wamechanjwa hawatasafiri Hatua hiyo imekuwa ikikosolewa kuwa inabagua wale ambao hawana uwezo wa kupata chanjo, lakini Griffiths...
  6. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

    Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga. Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii mitandao kama 'Tinder' na 'Badoo' inaweza kutumika bila malipo? Maana siwezi hata kutuma meseji

    Leo katika kuchezea chezea simu nimekutana na mitandao ya kujuana, kuwa marafiki, kupeana kampani na hata kutafuta wapenzi. Sasa nmeingiza app inaitwa badoo, tagged na tinder zote naona bila malipo ni sawa na kutoweza kuzitumia. Unakuta unataka umtumie mtu meseji inakwambia ulipie elf 30 kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa mbadala wa Maalim Seif kwa Siasa za Upinzani upande wa Zanzibar?

    Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye mshindi. Jua lilichomoza na Sasa just limezama, Maalim nguvu na pumzi vimemuishia kiasi kwamba Sasa...
  10. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Nitaitoa CCM peke yangu tu, kwa njia mbadala

    Nimeamua kuachana kabisa na harakati za kisiasa kwa nia ya kuitoa CCM. Nimeamua kuachana na njia za kisiasa kama kupiga kura, maandamano ya amani na mikutano ya kisiasa kwa sababu CCM haiheshimu maamuzi ya wananchi wengi kwa njia ya kura,au sauti za walio wengi. CCM wameamua kutumia nguvu za...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio

    Tanzania inahitaji chama kipya cha upinzani chenye sera mbadala za kueleweka za kudumu kwa wananchi sio za matukio. Hivi vilivyopo hakuna hata kimoja chenye sera ya kudumu kinachoeleweka sera zake za kudumu hasa ni zipi. Hivi vya kwetu havieleweki kabisa vinaenda na matukio tu. Mfano CCM...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ipo haja kubwa kubambana na uonevu wa vyombo vya dola kwa njia mbadala

    Watanzania tumechoshwa na manyanyaso ya vyombo vya dola hasa polisi. Kila kukicha watu kupigwa risasi, kubambikiwa kesi na kuuliwa bila makosa. Hatuoni hatua stahiki zinazochukuliwa au adhabu kwa wanaofanya haya makosa. Wazee mlioko Rukwa, Kigoma, Handeni na Lushoto tunaomba mtusaidie, maana...
  13. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kama hauwezi kulipia VPN Tumia TOR circuit bure kama mbadala

    Hello bosses Kwa hali ya sasa kumekua na wimbi la watu kukimbilia VPN ili kuaccess internet kwa wanaopata shida ya internet breakdown. Kutumia VPN kuna madhara yake ukiachana na slow speed kwa baadhi ya VPN providers. Madhara makubwa ya kutumia VPN ni kwamba VPN provider wako anaweza kuona...
  14. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

  15. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Mwinyi uungwana wako wa hoja ni sharti ukupeleke Ikulu, Sijaona mpinzani mbadala dhidi yako

    Dkt. Mwinyi mgombea wa kiti cha urais Zanzibar ni kiongozi mwenye hoja mama na falsafa za ukombozi zenye kujikita kwenye uungwana wa utu kwanza katika kuwatumikia watu, anashawishi anapojenga hoja na ana jenga hoja zenye mwelekeo wa sura za kiutumishi kwa Wazanzibar, ni viongozi wachache wenye...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CHADEMA Kikanda ni mbadala wa TV na redio, ujumbe unafika hadi vijijini kwa muda mmoja

    Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni. Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni...
  17. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ila jamani sehemu alizopita Tundu Lissu ama kwa hakika CHADEMA ina makamanda, CCM sasa ijifunze kuishi na chama mbadala!

    Aisee haya mambo eti ya nunua nunua kwanza yanaikuza bure Chadema, unajikuta umenunua garasa halafu linakuwa replaced na CHUMA! Emb anzia Momba, Sumbawanga mjini, Mbeya mjini, Iringa mjini, Njombe mjini, Bikoba mjini, Mara yoteee, Nyamagana, Shinyanga, Arusha mjini, Karatu,Hai, Rombo, Handeni...
  18. aise

    JamiiForums Tanzania Kutumia mianzi kama mbadala wa nondo

    Hapa nazungumzia ile mianzi migumu, sina hakika na jina ( Bamboo) Nimekuta ujenzi unaendelea. Nashindwa kuweka picha.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji nini kutoka kwa Vyama mbadala?

    Ndugu wanabodi salaam, Kama tujuavyo kwa sasa tuko katika Msimu wa Siasa za Uchaguzi, lakini nimekuwa nafuatilia sana baadhi ya mikutano ya kampeni inayofanywa na wagombea mbali mbali waliotia nia kugombea hasa nafasi ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, naomba kuweka wazi mikutano mingi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mashine zinazotumika kufanya 'vipimo vya mwili mzima' katika tiba mbadala zinaitwaje?

    Watu ni wengi na wote wanataka kwenda kupima afaya zao kwa mtaalamu wa tiba mbadala na wanaeleza ya kuwa mtaalamu huyu ana kifaa cha kupima mwili mzima na kujua shida zako zote. Wadau, naomba mwenye kujua jina la kifaa hicho na gharama yake
Back
Top Bottom