Kutumia mianzi kama mbadala wa nondo

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,079
11,721
Hapa nazungumzia ile mianzi migumu, sina hakika na jina ( Bamboo)

Nimekuta ujenzi unaendelea.

Nashindwa kuweka picha.
 
Naweza vipi kuweka picha? najaribu lakini nashindwa.
 
Hapa nazungumzia ile mianzi migumu, sina hakika na jina ( Bamboo)

Nimekuta ujenzi unaendelea.

Nashindwa kuweka picha.
Duh kama mbadala wa nondo sijawahi ona? Ni kwenye nini?. Ila kama mbadala wa mbao hasa kwny kupaulia ni kitu cha kawaida pale must ( mbeya) tumeshawahi develop designing manual ya mianzi kutumika kama mbao kwny kupaulia na ni kitu cha kawaida wakazi wa kijiji cha jirani ikuti wanatumia mbadala wa mbao kwny kupaulia
 
Je wanayo Kama hii?View attachment 1837848
IMG_20210606_161016_9.jpg
 
Kila nikiona huu uzi huwa nacheka tu...kuna jamaa mbishi mjeshi aliwapa mafundi hela kidogo ya nondo...
Fundi nae alivyo kuwa jeuri akaweka milunda..heheheehehe jamaa alikuja kushituka baada ya kuona dirisha limepinda...heheheheh alianza kupiga mkwara.

Hehehhehe

..
 
Duh kama mbadala wa nondo sijawahi ona? Ni kwenye nini?. Ila kama mbadala wa mbao hasa kwny kupaulia ni kitu cha kawaida pale must ( mbeya) tumeshawahi develop designing manual ya mianzi kutumika kama mbao kwny kupaulia na ni kitu cha kawaida wakazi wa kijiji cha jirani ikuti wanatumia mbadala wa mbao kwny kupaulia
Ilikuwa mwaka gani mkuu
 
Nimemkumbuka mwalimu Sophia, alikuwa anatembea na fimbo yake ya muanzi.

Haivunjiki ukikutana nae kwenye anga zake muanzi utakuhusu.

Kumbe hata ujenzi inafaa ..👍🏼👍🏼.
 
Hapa nazungumzia ile mianzi migumu, sina hakika na jina ( Bamboo)

Nimekuta ujenzi unaendelea.

Nashindwa kuweka picha.
Yes inawezekana kabisa kutumika kama mbadala wa Nondo kwenye zege, hasa nchini India wanafanya hivyo. Sababu kubwa ni kuwa ina nguvu kubwa ya kuhimili nguvu ya Uvutano(Tensile Stresses) kama Nondo. Hivyo inaisaidia zege kuwa na nguvu sawasawa na Nondo inavyoisaidia.
 
kuna article niliwahi soma ikidai inafaa kwani ni migumu but yafaa kwa majengo madogo madogo
 
Kwa majengo ya kawaida(nyumba za kuishi zisizo za ghorofa) mianzi inafaa kabisa kwa plinth beam au lenta.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom