mbadala

  1. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa CHADEMA ni CCM wala sio NCCR

    Sasa hivi watu wanapiga ramli za kuwa NCCR inaweza kuwa mbadala wa Chadema. Hila ukweli uliopo hapa Tz mbadala wa Chadema ni CCM na mbadala wa CCM ni chadema. Siasa ni mbinu ...chadema wamewekeza kwa vijana wasomi 70% ccm 25% Act 4.7% Nccr 0.3% chauma 0.00% Tlp 0.00% , Undp 0.00% Namba...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tamko juu ya tiba asilia na tiba mbadala dhidi ya ugonjwa wa Corona litoke mapema

    Sera ya afya ya 2007 imekiri kuwa takribani asilimia sitini ya wananchi huanza kutumia tiba asilia wanapopatwa na maradhi kabla ya kwenda vituo vya kutolea huduma za afya. Aidha, hivi karibuni tiba mbadala imepata umaarufu miongoni mwa wananchi kutokana na uimarikaji wake duniani. Kadhalika...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amchenjia Makonda?

    Rais Magufuli leo kasema, kama Makonda alizitumia fedha za TASAF, basi na azirudishe. Vilisikika vicheko hafifu na vya chinichini baada ya Rais kusema hivyo. Kamera nazo zikamwonyesha Makonda, aliyekuwa kakaa mbele pamoja na viongozi wengine, akitabasamu kana kwamba hana wasiwasi wowote. Yaani...
  4. mama D

    JamiiForums Tanzania Tiba mbadala ya Cancer inapatikana wapi?

    Habari za Jumapili wapendwa. Kama kichwa habari kinavyojieleza, kuna dada wa rafiki yangu amepata hili tatizo la Cancer. Alianza kuumwa mwaka jana June alikwenda hospital wakampa rufaa ya kwenda Ocean Road ambapo walithibitisha ana Cancer ya ziwa, ila mgonjwa na mume wake hawakuanza tiba yaani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa mifuko mbadala ya Non woven GSM 70

    Tunauza mifuko ya Non woven materials GSM 70. Size tulizo nazo kwa sasa ni kama ifuatavyo 1. 35 x 45 Tsh 180@pc 2. 35 x 35 Tsh 170@pc 3. 25 x 35 Tsh 100 Pc 4. 26 x 40 Tsh 110@pc 5. 25 x 55 Tsh 200@pc 6. 29 x 55 Tsh 210@pc Kwa size zingine tofauti za hizi, tunapokea special order kuanzia pcs...
  6. Mr.genius

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nafikiria kuanzisha biashara ya duka la kuuza vifungashio na mifuko mbadala

    Salama wakuu? kwema? niende kwenye mada moja kwa moja. Nafikiria kuanzisha duka la kuuza vifungashio vya bidhaa mbali mbali mfano: asali, karanga, ubuyu wengine wanawekea pilipili kiujumla wale wanaofanya biashara ya ku process na ku - pack vyakula vilivyoongezewa thamani hua wanatumia sana...
  7. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanao mbadala mwingine pembeni ya kususa?

    Huku duniani kuna mifumo mingi sana ya kuondoa tawala yoyote ile madarakani,Baadhi ya njia hizo ni halalai na nyingine ni haramu. Katika kutafuta haki unaweza kuamua kutumia njia halali au kuamua kutumia njia haramu yote inategemea tu na malengo yako kisiasa. Je, ni kweli Chadema wamesihiwa...
  8. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu. Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
  9. Breezyman

    JamiiForums Tanzania Ni taratibu zipi natakiwa kuzijua kwenye uombaji wa cheti mbadala kutoka NACTE

    Msaada wa pendwa cheti changu cha Diploma kimungua kwa ajari ya moto, nimekwama baada ya kushindwa kupata muongozo kutoka kwenye website ya NACTE. Ni kiasi gani cha fedha na muda wa kupata hicho cheti mbadala ni upi?
Back
Top Bottom