MAZUNGUMZO YA BURIANI OCTOBER 1968
Hapo chini Aisha ''Daisy'' Sykes anaeleza mazungumzo ya buriani, mazungumzo ya kuagana kati ya baba yake Abdulwahid Kleist Sykes na Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwa Mwalimu Msasani.
Ilikuwa mwezi October 1968 wakati huo Daisy mwanafunzi wa Chuo Kikuu Cha...