Wadau kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa pamoja wametembelea Wizara ya Katiba na Sheria na kukutana na Waziri George Simbaachawene ambaye ameteuliwa kushika nafasi hiyo akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba Kabudi.
Msafara huo wa THRDC uliongozwa na Mwenyekiti...
Endapo Rais WA nchi akakuita Ikulu Kwa mazungumzo ukakataa kwenda kumsikiliza Kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata?
Ukitii unaweza ukamsikiliza na baada ya kumsikiliza ukaona anataka kukutoa Kwenye msimamo wako unaweza kumkatalia?
Ukimkatalia ukabaki na msimamo wako vyombo vya usalama vya...
Wajumbe wa Urusi na Wajumbe wa Ukraine wanatarajiwa kukutana leo kwa mazungumzo nchini Belarus ikiwa ni mara ya pili ya mazungumzo ya ana kwa ana tangu Urusi ilipoivamia Ukraine kijeshi siku nane zilizopita.
Ripoti zinasema kuwa Wawakilishi wa pande zote watakutana katika eneo la Brest nchini...
Mashambulizi ya Urusi Nchini Ukraine yameendelea kwa siku ya tano licha ya mazungumzo yanayolenga kusitisha mapigano.
Inaripotiwa kuwa, mashambulizi ya makombora yameua watu kadhaa katika Mji wa Kharkiv, huku ving'ora vya mashambulizi ya anga vikisikika tena katika Mji Mkuu wa Kyiv.
Rais...
Naona Ukraine hapa kamchagua Roman Abramovic sababu zinaiva na Putini.
---
Russian billionaire businessman Roman Abramovich, who owns Premier League football club Chelsea, has accepted a Ukrainian request to help negotiate an end to the war in Ukraine, his spokesperson said.
Word of...
Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje.
Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo...
Ukraine imekubali kushiriki mazungumzo ya amani na Urusi, ambapo wajumbe wa pande zote mbili wamepanga kukutana katika eneo la mpaka kati ya Belarus na Ukraine.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa ofisi ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, inaelezwa kuwa hakuna masharti yoyote yaliyowekwa katika...
Ukraine imeonesha utayari wa kufanya mazungumzo na Urusi mpakani mwa nchi hizo mbili ili kupunguza athari kwa raia wasio na hatia
Hatua imejili baada ya Urusi kuonesha kuwa angeweza kutumia bomu la nyuklia kuipiga Ukraine
Ripoti zimesema Japan inaweza kuweka vikwazo vya kifedha kama Urusi...
Baada ya kuonesha ubabe wake kwa Ukraine kwa kutangaza uhuru wa majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine na kisha kuingia kijeshi na kuchakaza miundombinu ya jeshi la Ukraine huku Ukraine ikiachwa kwenye mataa na wale iliyodhani watamsaidia (Marekani na NATO), Putin katoa ofa kwa serikali ya...
Baada ya kitabu cha nne, sasa tuone kitabu cha pili. Fuatana nami hadi kitakapoisha, pia hivi vyote na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya maktaba app.
MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ULELA
AU
SIKU ELFU NA MOJA
KIMEFASIRIWA KWA KISWAHILI NA
EDWIN W. BRENN
KITABU CHA PILI
YALIYOMO...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amemueleza Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz kuwa nchi yake haitaki vita barani Ulaya. Viongozi hao wawili walikutana jana mjini Moscow ikiwa ni juhudi za hivi karibuni za kuepusha vita.
Putin ameelezea utayari wa Moscow wa kufanya mazungumzo na Marekani pamoja na...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho ofisini kwake jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo yalikuwa ni kuimarisha ushirikiano baina ya shirika...
Wajumbe wa Taliban wanakutana na maafisa wa nchi za magharibi nchini Norway kwa ajili ya mazungumzo ya kwanza Ulaya tangu kundi hilo lichukue udhibiti wa nchi ya Afghanstan.
Mazungumzo hayo, yaliyopangwa kufanyika kwa muda wa siku tatu, yatakijita katika suala la haki za binadamu pamoja na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Mauritius Balozi Prof. Emmanuel Mbennah na kusisitiza juu ya utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kwa...
Habari za leo, nilikuwa napiga story na mwingereza mmoja ambaye amewekeza kwenye sekta ya utalii hapa nchini hususani katika hoteli za kitalii, tulizungumza mengi kuhusu utalii nchini Tanzania.
Nilipo muuliza kuhusu namna alivyojipanga kupokea lundo la watalii baada ya filamu ya Royal Tour...
Naomba Chadema mnielewe vyema na mjitafakari Sana kuhusu mjadala ulioanzishwa na Zitto na baadaye Mwandishi wa habari na ndugu yetu Erick Kabendera kuingilia Kati. Kwanza tunapaswa kujua Erick Kabendera ni nani kwenye mfumo wa siasa na amechangia vipi awamu ya tano kuingia madarakani kabla awamu...
Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.
WAZIRI WA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI (ZANZIBAR) AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA POSTA ZANZIBAR
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaazi wa Shirika la Posta Tanzania (Zanzibar)...
SADC imesema Mfalme Mswati III wa Eswatini amekubali nia ya kufanya mazungumzo ya kitaifa baada ya maandamano kuongezeka. Miongoni mwa walioandamana ni Wanafunzi na Madereva.
Wanaharakati wanasema Mfalme huyo amekuwa akipuuza wito wa mabadiliko ambayo yangehamisha Eswatini kuelekea Utawala wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.